OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

Chama chochote cha siasa kikishindwa uchaguzi mara nyingi hubadilika na kuwa cha kigaidi.
 
Kwani yaliyoendelea huko Kibiti haukuwa ugaidi ?
Ugaidi naona ccm wanajiandaa Kama walivyouandaa wa mwekiti chadema,hakika swala la ugaidi likifika Tanzania sijui tutakimbilia wapi,punguzeni jaziba za kisiasa jibuni kwa hoja na kutishana hii Ni nchi iliyosalama.
 
Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa Taifa LETU. Naomba tujiulize maswali yafuatayo;
1. Ni kweli lipo tishio la Ugaidi nchini?
2. Kama lipo, Nani alipaswa kutangaza uwepo wa tishio ilo?
3. Kama halipo, Nani atakwenda kuiambia Dunia kwamba Tanzania ni sehemu salama kiuwekezaji na haki tishio la Ugaidi?
4. Kama tishio lipo na OCD ametangaza bila kujua Nini madhara ya kauli yake, Je ni lini viongozi wanaoteuliwa watabaki kuwa wale tu waliosomea uongozi na siyo wale waliojikuta viongozi kwa mserereko wa vyeo.
5. Ni upi msimamo wa serikali kuhusu barua hii iliyozua taaruki mitandaoni?
Ndio hao vilaza wa div IV
 
Mimi ni darasa la 7 mkondo D maana darasa letu tulikuwa wanafunzi 600. Sera mbovu za chama chenu pendwa hizo. Wasiwasi wangu naona kama huyo OCD namzidi kwa ku-reason japo yeye ana form 4 ya kupiga gwaride na kulinda benki.
Majibu mazuri Sana ila mpokeaji Sasa sijui Kama atakuelewa.
 
NI KWAMBA OCD HAJUI MAANA YA UGAIDI.....NA PENGINE WANA SHAUKU YA KUSHUHUDIA UGAIDI KWENYE NCHI HII......

UGAIDI SIO JAMBO LA KUTAJWA TAJWA HASA KWENYE HII NCHI YETU INAYOCHECHEMEA KIUCHUMI.......
 
Au wakuu mnasemaje?

Hebu soma hii.

Wakati sekretariet ya ccm_tanzania ikiwa imemaliza kutembelea mikoa kadhaa ya ikiwemo Kagera,Kigoma,na Katavi huku wakifanya mikutano ya hadhara, jeshi la polisi @tanpol limezuia mikutano ya @ChademaTz kwa kile kilichoelezwa uwepo wa tishio la Ugaidi nchini Tanzania.
 
Au wakuu mnasemaje?

Hebu soma hii.

Wakati sekretariet ya ccm_tanzania ikiwa imemaliza kutembelea mikoa kadhaa ya ikiwemo Kagera,Kigoma,na Katavi huku wakifanya mikutano ya hadhara, jeshi la polisi @tanpol limezuia mikutano ya @ChademaTz kwa kile kilichoelezwa uwepo wa tishio la Ugaidi nchini Tanzania.
Hii katiba tuliyi nayo anaye ikubali ni mqenyekiti wa chama kinacho ongoza nchi tu
 
Intelijensia inayong'amua tishio la ugaidi kwenye vikao vya chadema peke yake🐒🐒🐒
0ON.jpg

oR9.jpg
rAU.jpg
1L0.jpg

NF.jpg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom