Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Umeliangushia kichuguu hilo chawaHoja yangu, ni kuwa elimu ya chini ya mti haikukusaidia chochote Bora ungechungatuu.
Umeliangushia kichuguu hilo chawaHoja yangu, ni kuwa elimu ya chini ya mti haikukusaidia chochote Bora ungechungatuu.
Unategemea awe kundi gani wakati boss wao keshasema kuwa ndiyo sera zao ?Huyo OCD ana elimu gani? Hasije akawa kwenye kundi la kulinda benki hapo kawekwa kwa bahati mbaya.
Huyo OCD ana elimu gani? Hasije akawa kwenye kundi la kulinda benki hapo kawekwa kwa bahati mbaya.
Ugaidi naona ccm wanajiandaa Kama walivyouandaa wa mwekiti chadema,hakika swala la ugaidi likifika Tanzania sijui tutakimbilia wapi,punguzeni jaziba za kisiasa jibuni kwa hoja na kutishana hii Ni nchi iliyosalama.
Mimi ni darasa la 7 mkondo D maana darasa letu tulikuwa wanafunzi 600. Sera mbovu za chama chenu pendwa hizo. Wasiwasi wangu naona kama huyo OCD namzidi kwa ku-reason japo yeye ana form 4 ya kupiga gwaride na kulinda benki.Na wewe una elimu gani ?
Ndio hao vilaza wa div IVIpo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa Taifa LETU. Naomba tujiulize maswali yafuatayo;
1. Ni kweli lipo tishio la Ugaidi nchini?
2. Kama lipo, Nani alipaswa kutangaza uwepo wa tishio ilo?
3. Kama halipo, Nani atakwenda kuiambia Dunia kwamba Tanzania ni sehemu salama kiuwekezaji na haki tishio la Ugaidi?
4. Kama tishio lipo na OCD ametangaza bila kujua Nini madhara ya kauli yake, Je ni lini viongozi wanaoteuliwa watabaki kuwa wale tu waliosomea uongozi na siyo wale waliojikuta viongozi kwa mserereko wa vyeo.
5. Ni upi msimamo wa serikali kuhusu barua hii iliyozua taaruki mitandaoni?
Vipi nakile kinachoiba chaguzi mara nyingi hugeuka kuwa Cha kiharami sio?Chama chochote cha siasa kikishindwa uchaguzi mara nyingi hubadilika na kuwa cha kigaidi.
Maoni Yako mwaisaKama kiongozi wenu ni gaidi kwa nini nyinyi muaminiwe!
Majibu mazuri Sana ila mpokeaji Sasa sijui Kama atakuelewa.Mimi ni darasa la 7 mkondo D maana darasa letu tulikuwa wanafunzi 600. Sera mbovu za chama chenu pendwa hizo. Wasiwasi wangu naona kama huyo OCD namzidi kwa ku-reason japo yeye ana form 4 ya kupiga gwaride na kulinda benki.
Vipi nakile kinachoiba chaguzi mara nyingi hugeuka kuwa Cha kiharami soon.
Mwl JK Nyerere alishawahi kukemea juu ya mapungufu ya katiba tuliyo nayo na akatamka maneno kama haya yako.Katiba hii inampa mamlaka makubwa sana rais. Anaweza kuamua kuuwa wapinzani wote na asishitakiwe popote
Hii katiba tuliyi nayo anaye ikubali ni mqenyekiti wa chama kinacho ongoza nchi tuAu wakuu mnasemaje?
Hebu soma hii.
Wakati sekretariet ya ccm_tanzania ikiwa imemaliza kutembelea mikoa kadhaa ya ikiwemo Kagera,Kigoma,na Katavi huku wakifanya mikutano ya hadhara, jeshi la polisi @tanpol limezuia mikutano ya @ChademaTz kwa kile kilichoelezwa uwepo wa tishio la Ugaidi nchini Tanzania.
Umenikumbusha kuwa Hamza alikuwa ni mwana ccm lialiaIntelijensia inayong'amua tishio la ugaidi kwenye vikao vya chadema peke yake
View attachment 2026049View attachment 2026052View attachment 2026053
View attachment 2026057