Kuntakinte
JF-Expert Member
- May 26, 2007
- 701
- 31
Inna lillah wa inna ilayhi raji'oon
Hakuna aliyesema MWANAWASA NA BALLALI SI BINADAMU!
Ila wewe umekuwa na UWEZO WA KUTULETEA HABARI KUWA MWANAWASA YUKO HOSPITALI ALIYOLAZWA YASSER ARAFAT HUKO UFARANSA.
Sasa mbona huleti na HOSPITALI ALIYOLAZWA BALLALI KAMA KWELI UNAAMINI WOTE NI BINADAMU?
Hollo...Umepoteza mawasiliano na Kikwete?
Sasa badala ya kumpigia simu ili akueleze kwa kiswahili...Wewe unaenda kuangalia kifaransa na una copy na ku paste!
Du...! Uncle are you ok?
.............hivi ni nani anastahili kumuuliza mwenzake swali hilo??.........
What?
Kati yangu mimi na nani?
Mi si fisadi! MAFISADI NDIYO WAKU ULIZWA NA SI MIMI!
Watu waliopora mabilioni ya DOLA ndio wa kuulizwa!
Na nyie mnaoamini BALLALI KAFA BILA ANY PROOF!
SITAKI UNAFIKI!
NB:Kama kweli Hollo ni Chenge.Kwanini hana connection ya habari muhimu kama ilivyo wazi kuhusu Uvijisenti wake?
Ama yeye na KIKWETE HAZIIVI TENA?
Ninavyojuwa mimi...Kama bado wangekuwa na uhusiano mzuri..Basi asingekwenda ku copy na kupaste hiyo habari ya kifaransa.Kwani naamini Kikwete pia huzungumza kiswahili.
Ama wewe si MZARAMO?
Le président Zambien transporté en France pour y être hospitalisé
SHARM EL-SHEIKH (Egypte) - Le président zambien Levy Mwanawasa a été transporté en France mardi après avoir subi une commotion cérébrale en Egypte, a-t-on appris de source officielle.
"Le président zambien est parti dans la soirée pour la France afin d'y recevoir de nouveaux soins", a déclaré à l'AFP le docteur Sait Essen, qui dirige les service d'urgence du Sud Sinaï. "Son état était stable quand il est parti".
A Paris, de source diplomatique française, on confirmait que le président zambien devait arriver dans la nuit de mardi à mercredi à l'hôpital militaire de Percy-Clamart, près de Paris.
M. Mwanawasa devait participer dimanche à Sharm-el-Sheikh au Conseil de paix et de sécurité de l'Union africaine, un organe chargé de la prévention des conflits. Il avait du y renoncer après avoir souffert de douleurs aiguës à la poitrine et il avait été hospitalisé.
Lundi, son adjoint, Rupiah Banda, avait déclaré que le président souffrait d'une commotion cérébrale. Il avais été admis dans le service des soins intensifs de l'hôpital de Sharm el-Sheikh, sur la mer rouge, où les dirigeants africains tenaient leur sommet.
M. Mwanawasa, 59 ans, dirige la Zambie depuis 2002.
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...............hivi tunazungumzia nini vile......somebody help me........hihihihihi.....aaaggh hahahahaha,
jmushi1.............hebu punguza mseto ndugu yangu......hahahah
Du,hii habari! Hebu nivute subira kusema RIP.Halafu huyu mtu Wa Pwani analeta habari na kupotea,tuwe makini sana na huyu mtu.Huwa Ana tabia ya kukurupuka sana
Sorry,namaanisha mtu kwao
Bado ni habari ambayo hatupaswi kuipokea 100 kwa 100 kama wabunge wa kule mjengoni ila naamini tutapata ukweli soon na haswa baada ya kufahamu hosipitali alikolazwa ,kuna mtu anafuatailia kupata jibu kutoka ndani ya hosipitali .