FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,580
10,818
Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.

Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.

Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Ikumbukwe Mechi ya Round ya kwanza kule Zambia kwenye dimba la Levy Mwanawasa timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Mpambano wa leo utaamua atakayeingia Makundi.

Je, ni Simba kama kawaida yetu?

Tukutane hapa kwa updates zaidi.

Unyama mwingi.
#nguvumoja#

Updates...
Dakika ya 16'
Power Dynamos wanapata Goli la kuongoza

Dakika 90 Zimemalizia
1-1.
Simba ameingia Makundi kwa faida ya Goli la Ugenini.
 
Attachments

  • 20231001_151948.jpg
    20231001_151948.jpg
    466.5 KB · Views: 2
Hongera Yanga, kwani asilimia 10 tu ya watazamaji waliokua Chamaz jana ndio walioiona Yanga ikiingia hatua ya Makundi klabu bingwa ya Afrika mara ya mwisho, na 90% ndio mara ya kwanza kuiona Yanga ikiingia hatua ya makundi na hii ni baada ya miaka 25 kupita! Kwa mantiki hiyo kuna mtu alizaliwa hadi kuwa na familia ndio anaiona Yanga ikiingia hatua ya makundi.
 
Simba SC 3-1 Power Dynamos

Leo ndo majibu yatakavyokuwa ..

Ila naweza nikapunguza kidogo ikawa

Simba SC 2-1 Power Dynamos

Kulingana na ushindani ulivyo sasa hivi
Au ikiwa power watakuwa na defensive team sana...

Simba SC 1-0Power Dynamos

Tunzeni haya majibu
 
Haya Sasa, Siku tuliokuwa tunaisubiria kwa hamu imetimia, Leo Tarehe 01/10/2023.

Mtanange wa Round ya Pili kuwania kuingia Makundi ya Club Bingwa Afrika.

Simba SC ya Tanzania dhidi ya Power Dynamos ya Zambia.

Mtanange huu utaanza majira ya saa 10 Jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

Ikumbukwe Mechi ya Round ya kwanza kule Zambia kwenye dimba la Levy Mwanawasa timu hizi zilitoka sare ya 2-2.

Mpambano wa leo utaamua atakayeingia Makundi.

Je, ni Simba kama kawaida yetu?

Tukutane hapa kwa updates zaidi.

Unyama mwingi.
#nguvumoja#
Kila la kheri Simba vijana wa MSIMBAZI. Ila pelekeni mashabiki wenu shule, wanawatieni aibu hapa JamiiForums
 
Leo Sasa mnaenda kujitia aibu Lile pira papatupapatu linaenda kupapatuliwa!.
Yule aliejipa jina la usimba atajiita mchumba dera lazima avikwe mtu.. kuhaha,kelele na tumbo gesi kumpatia mtu leo ..😂
 
Hongera Yanga, kwani asilimia 10 tu ya watazamaji waliokua Chamaz jana ndio walioiona Yanga ikiingia hatua ya Makundi klabu bingwa ya Afrika mara ya mwisho, na 90% ndio mara ya kwanza kuiona Yanga ikiingia hatua ya makundi na hii ni baada ya miaka 25 kupita! Kwa mantiki hiyo kuna mtu alizaliwa hadi kuwa na familia ndio anaiona Yanga ikiingia hatua ya makundi.
kuna watu wanawashwa kijampio
 
Back
Top Bottom