Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

Wednesday, 02 July 2008
STATUS REPORT OF THE CONDITION OF HIS EXCELLENCY THE PRESIDENT, DR LEVY P MWANAWASA, SC, AS AT 1 JULY, 2008
His Excellency Dr Levy P Mwanawasa, SC, President of the Republic of Zambia, was today, 1st July, 2008, evacuated to Paris, France, for further specialist medical treatment. His Excellency's condition still remains stable.

He was seen off by Dr H Elgabaly, Minister of Health of the Arab Republic of Egypt, Zambia's Foreign Affairs Minister, Honourable Kabinga J Pande, MP, Honourable Ng'andu P Magande, MP, Minister of Finance and National Planning, Honourable Michael Kaingu, MP, Minister of Tourism, Environment and Natural Resources, Honourable Sylvia Masebo, MP, Minister of Local Government and Housing, Honourable George Kunda, MP, Minister of Justice and Honourable Lameck Mangani, MP, Provincial Minister, Lusaka Province. His Excellency the President is accompanied by the First Lady, Mrs Maureen Mwanawasa, his daughter, Chipo, Honourable Dr Brian Chituwo, MP, Minister of Health and Honourable Cecil Holmes, MP, State House Minister for Presidential Affairs.

During his hospitalisation in Sharma El Sheikh, Egypt, His Excellency the President was visited by the following dignitaries:

His Excellency Hosni Mubarak, President of the Arab Republic of Egypt;
His Excellency Jakaya Kikwete, President of the United Republic of Tanzania;
His Excellency John Kufuor, President of the Republic of Ghana;
His Excellency Dr Bingu wa Mutharika, President of the Republic of Malawi; and
His Excellency Hifikepunye Pohamba, President of the Republic of Namibia.
http://www.statehouse.gov.zm/index.php?option=com_content&task=blogcategory&id=3&Itemid=66
 
Watu wanasemaga watu wema hufa mapema and the real bad people live for ever.

May the good Lord rest his soul in eternal peace.

Haya ni maneno katika wimbo wa Patrick Balisidya. Ukitaka kujua hasa soma thread yenye kichwa cha habari "MKUMBUKENI BALISIDYA PATRIC Vs MAFISADI.." Nimeandika jatu tu juu ya watu kama huyu Rais. Atakwenda ila Roho yake itabaki na sisi milele na milele, Amen. RIP Mwanawasa.
 
RIP Mwanawasa!MUNGU ampe faraja mjane mama maureen Mwanawasa pamoja na watoto na wananchi wote wa zambia na AFRICA kwa ujumla
 
Last edited:
Hivi hii habari in credibility yeyote au dinyo yaleyale ya Chenge katutoka kumbe yuko hai. Nimejaribu kuwasiliana na jamaa wa Zambia ambao wamecheck na jamaa zao nyumbani na ubalozini wamesema hii ni news kwao.
 
Habari za kuaminika nilizozipata sasa Mwanawasa bado ni mzima ilaa yuko semi-coma in a Parise hospital!!!
 
Nami nimecheki na mtu anafanya Cit Bank Zambia kaniambia hakuna hiyo habari kwao, aliyeweka atuhakikishie ama atupe contact za kulifuatilia
 
Haya ya kweli?nilikuwa nimepost RIP ila nikapata ka ujumbe he is still alive breathing with difficulties.Establish your source please kabla watu hawajaanza kumharakisha Mwanawasa peponi.
 
Naangalia Aljazeera ila hakuna taarifa hiyo na wakati najua wapo Misri je? uliyeweka ni hisia ama ni maneno ya mtaani ?
 
god Sometimes Anaonekana Hayuko Fair...kamchukua L. Mwanawasa Na Kumuacha R. Mugabe Mwenye Miaka 84 Akiwa Anadunda..!!??

r.i.p Levy Mwanawasa.

Wewe Binadamu Uzao Wa Mwanamke Hebu Usimkufuru Wala Kumlaumu Mungu Baba Wa Mbinguni Muumba Wako.usiseme Wala Kuthubutu Kusema Hayo Maneno Eti Mungu Hayupo Fair...wewe Ni Nani Hata Uthubutu Kusema Upumbavu Huo...?kumbuka Biblia Inasema Kuwa Mpumbavu Anasema Moyoni Mwake Hakuna Mungu...sasa Neno Mpumbavu Sio Matusi Ila Ni Mtu Asiyemuheshimu Mungu Wala Kutambua Uwepo Wake Kama Ulivyo Wewe....
Nakusihi Sana Uondoe Hii Post Yako Haraka Sana Kabla Mungu Hajaiondoa....
Siku Nyingine Usiwe Unakurupuka Kuropoka Upumbavu Huu.mwogope Mungu ....
Mungu Yupo Fair Sana Na Ndio Maana Hao Wakina Mugabe Unaowaowataja Wewe Bado Wanaendelea Kuishi Hadi Hii Leo..yeye Hana Kosa Na Kazi Yake Haina Makosa.ndio Maana Leo Hii Kuna Wazee Wanamiaka Zaidi Ya 100 Na Kuna Watoto Wa Umri Wa Miezi Au Siku Chache Na Wanakufa...bado Mungu Ni Mwema Sana Kwwtu Sisi Waja Wake Na Anatupenda Sana Na Hana Makosa Wala Hajawahi Kufanya Makosa Wala Hatafanya Makosa Ni Sisi Wanadamu Ndio Tunamakosa Na Hatupo Fair Ila Yeye Yupo Fair Sana...
Wasio Fair Ni Hao Wanaotetea Epa Na Kutaka Kuwasafisha Watu Wachache Wanaokula Utajiri Wa Nchi Hiyo Wakati Watanzania Wengi Wakifa Kwa Magonjwa Na Kukosa Dawa Mahospitalini...

Ubarikiwe Sana.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amin

Wasi wasi wangu Zambia ni succession.......... tusubiri
 
Mungu ailaze roho yake mahara Pema peponi.Amen
 
Wakuu, mbona hii habari haipo popote jamani?? Nadhani Mods wangeiweka kwanza kwenye Tetesi (au mtoa habari aiweke kama tetesi badala ya breaking news) mpaka itakapokuwa na uhakika manake so far inaonekana ni speculation!!

Naomba radhi kama nimepoteza mtiririko wa hoja lakini wakuu huyu ni Mkuu wa nchi anaongelewa na sidhani kama tungepende kuwa "speculation engine" kwa vitu at that degree!!

Naomba kuwakilisha!!!
 
Wakuu, mbona hii habari haipo popote jamani?? Nadhani Mods wangeiweka kwanza kwenye Tetesi (au mtoa habari aiweke kama tetesi badala ya breaking news) mpaka itakapokuwa na uhakika manake so far inaonekana ni speculation!!

Morani,

Nimewasiliana na kigogo mmoja aliyepo Egypt ameniambia kwamba hizo taarifa ni za kweli. Na ameifagilia JF kwa kupata habari kwa haraka sana. Sasa kama na yeye anadanganya basi nchi haina viongozi makini kabisa.
 
Masikitiko makubwa sana Mungu amemchukua kabla hajakamilisha kazi wazambia waliyompa.. Mungu amrehemu.
 
Morani,

Nimewasiliana na kigogo mmoja aliyepo Egypt ameniambia kwamba hizo taarifa ni za kweli. Na ameifagilia JF kwa kupata habari kwa haraka sana. Sasa kama na yeye anadanganya basi nchi haina viongozi makini kabisa.

Let me check with Zambian friends to confirm
 
Kama kweli umetangulia!, kapumzike salama Levy, uliyofanya si haba, at least utakumbukwa kwa kumshikisha adabu fisadi Chiluba. Ni changamoto kwa tuliobaki, tukitwaliwa leo tutakumbukwa kwa lipi!!!!
 
Back
Top Bottom