Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

##That man should burn in hell, he is also involved in sending troops from Tanganyika via Tanga to Zanzibar in 1964.Seems like he has done a lot he ?
 
Mnataka kumshtaki maiti?
Nyerere atabaki ICON ya vuguvugu la uhuru afrika hata kama hamumpi heshima hiyo.

Mungu awarehemu ninyi mnaodhania kuwa nyerere was wrong than wajomba na shemeji zenu wamarekani ambao wanawafanya ninyi puppets wa hulka zao
 
Kile kizee sijuwi kama hakikuwa kichawi...he should be burned to hell fire.
 
I thought it was a new story. January 1999?
mkuu wanajitahidi kututoa kwenye kujadili yanayojiri kwenye kampeni hawa.

Nyerere did all he had to for the love of AFRICA na watu wake
 
ni hadithi za kufikirika zilizotungwa kujaribu kumchafua mwalimu, hakuwahi kuwa na interest na Burundi huu ni uzandiki tu wa baadhi ya waandishi
 
mkuu wanajitahidi kututoa kwenye kujadili yanayojiri kwenye kampeni hawa.

Nyerere did all he had to for the love of AFRICA na watu wake
Exactly Msanii, wacha wabwabwaje wee, sie tunasonga mbele. Mwaka huu hakuna mtu wa kututoa kwenye track mpaka kieleweke. Tujihadhari nao maana wakishindwa kimaneno kututoa kwenye track,wanaweza kuja na suala la fujo
 
Kwa kila mwanasiasa wa Tanzania anaetaka kuungwa mkono na wananchi wengi amekuwa akijitahidi kujionesha kuwa ni mfuasi wa Rais wa kwanza wa Tzania Mwl Nyerere. Anasifiwa kwa kila kitu lakini kwangu mimi simkubali kabisa Mwl Nyerere. Siamini kama alikuwa na kipaji cha uongozi. Alikuwa ni dikteta. Alifinya uhuru wa habari, aliwafunga wapinzani wake, alileta umasikini mkubwa kwa taifa na wananchi wa Tzania. Si kwamba alikuwa anapendwa bali alikuwa anaongoza wananchi wengi wasiojua dunia inakwendaje"wajinga".

Huyo ndio Nyerere. Kwa miwani yangu namuona kuwa ana mabaya mengi kuliko mazuri kama tunavyolazimishwa kuamini. Kutojilimbikizia mali au kutoa huduma za jamii bure si kigezo cha kutokuwa dikteta maana hata Pinnochet, Hitler na Mussolin walikuwa wanatoa huduma za jamii bora na bure kabisa kwa watu wao.
 
Kuna kitu kinaitwa "programmed mind" watu wengi wanakariri kwamba nyerere ni kiongozi mzuri si kweli

Pamoja na hayo uliyoysema pia alikuwa haambiliki japo hana maarifa (mjinga) ameshauriwa sana kuhusu uchumi lakini akawa sideline wapinzani wa mawazo yake.

Alipoondoka nchi ilikuwa taabani kiuchumi, na wananchi walikuwa hohehahe (nguo viraka, sabuni hakuna wala sukari acha bei zake)

Alikuwa mchoy na mnafiki..kila mwenye hela kwake ni mwizi..

Aliwadhulumu watu wengi mashamba na majumba yao ambayo wengi wao wamenunua na kujenga kwa mikopo..

Mtu anayejitambulisha na kumsifia nyerere ana maradhi makubwa.
 
Unaonyesha dhahiri umetumwa. Nyerere ndie aliesababisha madudu kama haya ya Dowans? Mmetoa ahadi kede kede zisizotekelezeka, sasa mnamtafuta mchawi. Wacha kutupotezea, tunataka suluhisho la matatizo yaliyopo sasa, umeme, elimu kushuka viwangob uchumi mbovu n.k. Mtaendelea kulia Nyerere kaleta matatizo mpaka lini? Robo karne imekwisha tangu Nyerere aondoke madarakani. Time to deliver, wacha porojo.
 
Kwa kila mwanasiasa wa Tanzania anaetaka kuungwa mkono na wananchi wengi amekuwa akijitahidi kujionesha kuwa ni mfuasi wa Rais wa kwanza wa Tzania Mwl Nyerere. Anasifiwa kwa kila kitu lakini kwangu mimi simkubali kabisa Mwl Nyerere. Siamini kama alikuwa na kipaji cha uongozi. Alikuwa ni dikteta. Alifinya uhuru wa habari, aliwafunga wapinzani wake, alileta umasikini mkubwa kwa taifa na wananchi wa Tzania. Si kwamba alikuwa anapendwa bali alikuwa anaongoza wananchi wengi wasiojua dunia inakwendaje"wajinga".

Huyo ndio Nyerere. Kwa miwani yangu namuona kuwa ana mabaya mengi kuliko mazuri kama tunavyolazimishwa kuamini. Kutojilimbikizia mali au kutoa huduma za jamii bure si kigezo cha kutokuwa dikteta maana hata Pinnochet, Hitler na Mussolin walikuwa wanatoa huduma za jamii bora na bure kabisa kwa watu wao.

Nakubaliana na wewe, Nyerere ameongoza wajinga na akaendelea kututia ujinga, kwani alihakikisha wa-Tz hawajui chochote kinachoendelea duniani, hebu angalia nchi gani duniani inapata uhuru baada ya miaka zaidi 30 haina TV yake ya taifa!, hata kinchi kidogo kama Zanzibar kimekuwa na TZ tangu 1972, hii Nyerere aliifanya kwa makusudi kuwanyima watanganyika elimu ili waendelee kumuona mtukufu asiyekosea. Wenye kutafakari tunajua mabaya ya Nyerere.
 
Unaonyesha dhahiri umetumwa. Nyerere ndie aliesababisha madudu kama haya ya Dowans? Mmetoa ahadi kede kede zisizotekelezeka, sasa mnamtafuta mchawi. Wacha kutupotezea, tunataka suluhisho la matatizo yaliyopo sasa, umeme, elimu kushuka viwangob uchumi mbovu n.k. Mtaendelea kulia Nyerere kaleta matatizo mpaka lini? Robo karne imekwisha tangu Nyerere aondoke madarakani. Time to deliver, wacha porojo.

Umedandia treni kwa mbele. Kilichoongelewa hapa ni kuwa Nyerere hana sifa anazopewa. Ni dikteta na wala si mwanademokrasia
 
Wewe na watu kama wewe najua magazeti mnayopenda kununua na kusoma, redio mnazosikiliza, dini mnazoabudu pamoja n a elimu zenu....
Haya endeleeni lakini wala siwalaumu...kwani hata manabii wengi tu tunaowajua kuna watu hawawakubali hata kwao....lakini mara nyingi watu wasiowakubali ni ni wachache mno!
Ukiacha nabii mmoja hivi wa alizaliwa Makka watu wengi hawamkubali na wengi waliomkubali walilazimishwa.
Endelea na msimamo wako/wenu.......Mwinyi ndiye hasa kamzidi hata Mandela..!!
 
Ametunyima elimu. Ana dhambi kubwa sana huyu mzee. Na ndio maana mpaka leo Mitanzania inaongoza duniani kwa ujinga
 
Unaonyesha dhahiri umetumwa. Nyerere ndie aliesababisha madudu kama haya ya Dowans? Mmetoa ahadi kede kede zisizotekelezeka, sasa mnamtafuta mchawi. Wacha kutupotezea, tunataka suluhisho la matatizo yaliyopo sasa, umeme, elimu kushuka viwangob uchumi mbovu n.k. Mtaendelea kulia Nyerere kaleta matatizo mpaka lini? Robo karne imekwisha tangu Nyerere aondoke madarakani. Time to deliver, wacha porojo.

Kwanza, Dowans ina kosa lipi?

Halafu, kumbuka kuwa Nyerere hakuweka misingi mizuri katika nyanja zote, na haya matatizo ya umeme, maji, elimu, umasikini, maradhi, yote yanatokana na Nyerere, ni lipi jema na lililofanikiwa alilifanya Nyerere? Nakuhakikishia hakuna! Mpaka haya matatizo ya katiba ni yake, katiba zake alikuwa akitunga yeye na watu wake wa karibu kwa siku mbili tatu anazi-implement kidikteta na hakuna wakukataa, na ukiuliza tu, kosa.

Sasa unachokataa nini? Mtoa mada hajaona jema kwa Nyerere nami namuunga mkono, hata mimi sijaliona jema lolote, na kumbuka, nilikuwepo wakati wa Nyerere, kabla yake na sasa awamu ya tatu baada yake.
 
Nakubaliana na wewe, Nyerere ameongoza wajinga na akaendelea kututia ujinga, kwani alihakikisha wa-Tz hawajui chochote kinachoendelea duniani, hebu angalia nchi gani duniani inapata uhuru baada ya miaka zaidi 30 haina TV yake ya taifa!, hata kinchi kidogo kama Zanzibar kimekuwa na TZ tangu 1972, hii Nyerere aliifanya kwa makusudi kuwanyima watanganyika elimu ili waendelee kumuona mtukufu asiyekosea. Wenye kutafakari tunajua mabaya ya Nyerere.

We ****** kweli.. Si ajabu unataka kutetea upupu wa Kikwete.. Nyerere pamoja na yote alikuwa na mapungufu yake,lakini huwezi kumlinganisha na mapunguani ya leo yanayotutawala.. Hata nje ya nchi aliheshimika vya kutosha. Hata waandishi wa habari waloenda shule walipenda kusikiliza Falsafa zake na walijiandaa kumhoji kwakujua ni kichwa,siyo huyu mtalii wenu *****..
 
Misingi mizuri ndio nini? hebu onyesheni alichofanya mkwere hata kwenye umeme pekee?!! acheni ujuha hapa, nyerer amefanya mambo makubwa mazuri na pia alikua na mapungufu yake ila hajaiba hata senti sasa mtasemaje hakuisaidia nchi??!! wake uuuuuppp??!! bwawa la mtera,chuo kikuu cha dar,mzumbe, CBE, DAR,DOM,SINGIDA,MBEYA TEC,DAR TEC, HOSPTAL ya bugando,mhimbiri hivi nyie mmelogwa??!

si alisema kuna mengine alokosea sasa hawa waliopo zaidi ya wizi what else??!! kaaeni kimya nyie mmetumwa na Rostam
 
Back
Top Bottom