Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Mitanzania imerogwa na nyerere. Hii nchi nyerere hakupigania uhuru. Amepewa tu na hajui uchungu wake. Hii nchi kabla ya uhuru ilikuwa na maendeleo makubwa sana, nyerere katika uongozi wake ameyaharibu maendeleo yote na amewafanya mitanzania kuwa mijinga ya kutupwa na waoga
 
Kazi ya redio Heri hiyo na magazeti ya Alhuda na Alnuur....tehe kumbe nawewe unayasomaeee?? endelea tu na wano waambie wayasome sana yatawasaidia sana maishani kuliko hata shule....
 
Mitanzania imerogwa na nyerere. Hii nchi nyerere hakupigania uhuru. Amepewa tu na hajui uchungu wake. Hii nchi kabla ya uhuru ilikuwa na maendeleo makubwa sana, nyerere katika uongozi wake ameyaharibu maendeleo yote na amewafanya mitanzania kuwa mijinga ya kutupwa na waoga

wewe BOFLO kutuita sisi mijinga,tutakuriport kwa mods,you have been warned
 
Kwa kila mwanasiasa wa Tanzania anaetaka kuungwa mkono na wananchi wengi amekuwa akijitahidi kujionesha kuwa ni mfuasi wa Rais wa kwanza wa Tzania Mwl Nyerere. Anasifiwa kwa kila kitu lakini kwangu mimi simkubali kabisa Mwl Nyerere. Siamini kama alikuwa na kipaji cha uongozi. Alikuwa ni dikteta. Alifinya uhuru wa habari, aliwafunga wapinzani wake, alileta umasikini mkubwa kwa taifa na wananchi wa Tzania. Si kwamba alikuwa anapendwa bali alikuwa anaongoza wananchi wengi wasiojua dunia inakwendaje"wajinga".

Huyo ndio Nyerere. Kwa miwani yangu namuona kuwa ana mabaya mengi kuliko mazuri kama tunavyolazimishwa kuamini. Kutojilimbikizia mali au kutoa huduma za jamii bure si kigezo cha kutokuwa dikteta maana hata Pinnochet, Hitler na Mussolin walikuwa wanatoa huduma za jamii bora na bure kabisa kwa watu wao.

Kwa sababu ulizotaja hapo juu,sioni haja ya kukupinga,ila nakushauri jaribu kusoma kwanza vitabu,fuatilia tangu Mwalimu alivyoanza kuiandika falsafa yake ya ujamaa akiwa masomoni huko scotland na lengo lake lilikuwa ni nini kwa Tanzania kama nchi, alivyoifanyia kazi,mpaka aliposhindwa na baadaye kung'atuka,alafu ndo uje na hoja na vigezo vya maana.Ma great thinkers wapo wengi tu,watatoa michango yao.Vinginevyo utakuwa unadiscuss with small thinkers in the home of great thinkers
 
Ukiona mtu anakimbilia kutukana ktk hoja ujue huyo amefilisika na hajui chochote ktk dunia hii. Yupo yupo tu ilimradi siku zinaenda. Mambo ya Rostam, Radio Kheir, magazeti ya Alhuda, Annur yanatoka wapi? Kama Nyerere si kitu, si kitu tu.
 
Kwa kila mwanasiasa wa Tanzania anaetaka kuungwa mkono na wananchi wengi amekuwa akijitahidi kujionesha kuwa ni mfuasi wa Rais wa kwanza wa Tzania Mwl Nyerere. Anasifiwa kwa kila kitu lakini kwangu mimi simkubali kabisa Mwl Nyerere. Siamini kama alikuwa na kipaji cha uongozi. Alikuwa ni dikteta. Alifinya uhuru wa habari, aliwafunga wapinzani wake, alileta umasikini mkubwa kwa taifa na wananchi wa Tzania. Si kwamba alikuwa anapendwa bali alikuwa anaongoza wananchi wengi wasiojua dunia inakwendaje"wajinga".

Huyo ndio Nyerere. Kwa miwani yangu namuona kuwa ana mabaya mengi kuliko mazuri kama tunavyolazimishwa kuamini. Kutojilimbikizia mali au kutoa huduma za jamii bure si kigezo cha kutokuwa dikteta maana hata Pinnochet, Hitler na Mussolin walikuwa wanatoa huduma za jamii bora na bure kabisa kwa watu wao.

Umechimba dawa na kula kongolo kidogo? Huwa inasaidia sana kwenye hang-over ya aina yako.
 
kama nyerere alikuwa kiongozi bora kwa nini hakufuata ushauri wa edwin mtei aliyekuwa gavana wake? Refer mkutano wa Nec pale arusha na akithibitisha udikteta wake kwa kumvua ugavana, then baada ya muda kupita akasema mtei was right, julius hakuwa kiongozi bora bali dikteta mwenye kauli nzuri thats why alimprefer kawawa aliyekuwa yes man kama pinda afu jiulize why sokoine hakulast long. Tumsikuuze saana nyerere hakuwa kiongozi kivilee ndo ametufikisha hapa tulipo now
 
Kwa kila mwanasiasa wa Tanzania anaetaka kuungwa mkono na wananchi wengi amekuwa akijitahidi kujionesha kuwa ni mfuasi wa Rais wa kwanza wa Tzania Mwl Nyerere. Anasifiwa kwa kila kitu lakini kwangu mimi simkubali kabisa Mwl Nyerere. Siamini kama alikuwa na kipaji cha uongozi. Alikuwa ni dikteta. Alifinya uhuru wa habari, aliwafunga wapinzani wake, alileta umasikini mkubwa kwa taifa na wananchi wa Tzania. Si kwamba alikuwa anapendwa bali alikuwa anaongoza wananchi wengi wasiojua dunia inakwendaje"wajinga".

Huyo ndio Nyerere. Kwa miwani yangu namuona kuwa ana mabaya mengi kuliko mazuri kama tunavyolazimishwa kuamini. Kutojilimbikizia mali au kutoa huduma za jamii bure si kigezo cha kutokuwa dikteta maana hata Pinnochet, Hitler na Mussolin walikuwa wanatoa huduma za jamii bora na bure kabisa kwa watu wao.

Good Point. Nyerere alikuwa Dictator mkubwa duniani.
 
...all in all.. Hatujapata kiongozi mzuri kama nyerere... Au unataka kusema heri ya kikwete, Mwinyi au mkapa??
 
Nyerere kweli mimi sioni mazuri yake zaidi shida tupu, nchi gani eti wananchi hawaruhusiwi kuwa na akiba ya chakula ndani. mpaka wote mkapange foleni kila mtu lazima ununue vitu kwa lazima kama sukari kilo 3 sigara pakiti 3 kama uvuti utajua mwenyewe. jembe, tairi za baisikeli, unga wa yanga kilo 3, tena kwa kugombania duka lenyewe moja kila kata, shuleni ndio balaa darasa zima wanafunzi 50 wenye viatu labda watano. kiongozi gani huyu wa kumpa sifa zote hizo eti baba wa taifa
 
Nyerere alikuwa msanii mkubwa na alikuwa anaongoza nchi kisanii na kwa kuthibitisha hilo mpaka leo mfumo wa uongozi ni usanii mtupu, bunge letu ni sawa na mchezo wa kuigiza.Kwa mwenye ufahamu hawezi kupoteza muda kuangalia vipindi vya bunge kupitia tv
 
Wewe na watu kama wewe najua magazeti mnayopenda kununua na kusoma, redio mnazosikiliza, dini mnazoabudu pamoja n a elimu zenu....
Haya endeleeni lakini wala siwalaumu...kwani hata manabii wengi tu tunaowajua kuna watu hawawakubali hata kwao....lakini mara nyingi watu wasiowakubali ni ni wachache mno!
Ukiacha nabii mmoja hivi wa alizaliwa Makka watu wengi hawamkubali na wengi waliomkubali walilazimishwa.
Endelea na msimamo wako/wenu.......Mwinyi ndiye hasa kamzidi hata Mandela..!!
Mkuu,
Ukipata muda tembelea hapa.
The 100 - Wikipedia, the free encyclopedia

http://web.hallym.ac.kr/~physics/course/a2u/evolution/img/toptenlistweb.pdf
 
Watu wanafata mkumbo tu hii mifumo yote ya kiutawala tunayopambana nayo ni matunda ya Nyerere.
Ulaya na Marekani mpaka leo huwa wanawashangaa watanzania kumpa sifa Nyerere.
Gazeti la Newsweek la marekani lilitoa makala yake October 1999.
The death of Julius Nyerere. African independece leader andlongtime Dictator of Tanzania, evoked a flood of encomiums worldwide. Thepraise is mis-placed. Nyerere's approach devastated much of postcolonial Africa (Forbes 1999).
How does a leader wreck a country's economy yet Diea national Hero? Julius Nyerere's inefficient leadership dried Tanzania of fund, but his personality was irresistible...ni habari ndefu tembelea newsweek.com
 
We ****** kweli.. Si ajabu unataka kutetea upupu wa Kikwete.. Nyerere pamoja na yote alikuwa na mapungufu yake,lakini huwezi kumlinganisha na mapunguani ya leo yanayotutawala.. Hata nje ya nchi aliheshimika vya kutosha. Hata waandishi wa habari waloenda shule walipenda kusikiliza Falsafa zake na walijiandaa kumhoji kwakujua ni kichwa,siyo huyu mtalii wenu *****..
Wakuu,
mimi sijaona sehemu anayolinganishwa Nyerere na viongozi waliofuatia badala yake katika mada hii...au mtoa mada amechokoza nyuki?
 
You are.....also among those guys ,right?
wenzenu kwa sasa wako buszy wakizalisha vitu mbalimbali katika viwanda vyao
wengine wanadai uhuru wao huko Libya,Bahrain etc
wewe bado unaleta mabifu yako na Nyerere,, mtu aliyejipumuzisha maisha yake.
Hta kama alikuwa na mabaya,si alishakufa ? yatatusaidiaje sisi kwa sasa?
tujadiri je ni jinsi gani tutakapojitoa ktk hili wimbi la umaskini ?
ni jinsi gani tutakapokutana na kumtoa huyo CCM?
NA MENGINEYO
 
Watu wanafata mkumbo tu hii mifumo yote ya kiutawala tunayopambana nayo ni matunda ya Nyerere.
Ulaya na Marekani mpaka leo huwa wanawashangaa watanzania kumpa sifa Nyerere.
Gazeti la Newsweek la marekani lilitoa makala yake October 1999.
The death of Julius Nyerere. African independece leader andlongtime Dictator of Tanzania, evoked a flood of encomiums worldwide. Thepraise is mis-placed. Nyerere's approach devastated much of postcolonial Africa (Forbes 1999).
How does a leader wreck a country's economy yet Diea national Hero? Julius Nyerere's inefficient leadership dried Tanzania of fund, but his personality was irresistible...ni habari ndefu tembelea newsweek.com
Weewe ndio hujui USA walikuwa na mpango gani behind the scene?
Nyerere aliwapinga kwa nguvu zote wala hakutaka kudharauliwa , na wao walimjua ndio maana walimchukia sana mwanzo ingawa baaday walikuaj kumkubali.
Kiindi kile kulikwa na COLD WAR ambapo ilikuwa either uwe upande wao au upande wa USSSR/CHINA
Nyerere pamoja na Kahunda baada ya kuomba wajengewe TAZARA, wale wazungu alikataa, Ndipo nYEREE alipokwenda China kuongea na MAO, bahati nzuriChina walikubali
Tokea hapo Taz ikawa katka Ujamaa na kuukataa Ubepali, maana yake mojakwa moja walikuwa ni maadui wa USA.
Acha kuwa mtumwa wa fikra kwa wazungu
ni wabaya sana hao watu wala usiwaone wanapojifanya wanatoa misaaada kumbe ni wanafiki tu
Nyerere alikuwa ni mtu anayesimamia msimamo wake, hakutetereka hata siku moja.
 
Mitanzania imerogwa na nyerere. Hii nchi nyerere hakupigania uhuru. Amepewa tu na hajui uchungu wake. Hii nchi kabla ya uhuru ilikuwa na maendeleo makubwa sana, nyerere katika uongozi wake ameyaharibu maendeleo yote na amewafanya mitanzania kuwa mijinga ya kutupwa na waoga

Haaa haaa haaa! Nafikiri nimeshaanza kuelewa mjadala huu unaelekea wapi, maana kuna notion kwamba Waislamu ndio walioleta uhuru wa nchi hii na ndio sentensi kwamba eti Nyerere "alipewa tu nchi na hajui uchungu wake!" We jaribu kuwatafuta wapinzani wakuu wa Nyerere utakuta ni Waislamu!
 
Kuna watu wamo humu Jamvini kuwa ni Great Thinkers lakini kumbe ni Non Thinkers. Anayehoji alichofanyia nchi hii Nyerere na anayediriki kusema kuwa Nyerere hakufabya chochote humu hatufai japo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni yake!!

Tunafahamu, kwa sasa yapo mafundisho yanayotolewa upande wa pili wa dhehebu fulani ( I will no mention it here) kutaka kuonesha Nyerere did nothing to Tanzania and to Tanzanians. We know that, and we have all their preachings at hand.

Wana JF hayo yanaitwa Watu wenye Mawazo Mtindi. Nadhani ni busara kutokujadili mawazo yao humu. Tunahitaji kujadili - DOWANS, MABOMU YA GONGO LA M, na mengine current yahusuyo nchi yetu.
 
Weewe ndio hujui USA walikuwa na mpango gani behind the scene?
Nyerere aliwapinga kwa nguvu zote wala hakutaka kudharauliwa , na wao walimjua ndio maana walimchukia sana mwanzo ingawa baaday walikuaj kumkubali.
Kiindi kile kulikwa na COLD WAR ambapo ilikuwa either uwe upande wao au upande wa USSSR/CHINA
Nyerere pamoja na Kahunda baada ya kuomba wajengewe TAZARA, wale wazungu alikataa, Ndipo nYEREE alipokwenda China kuongea na MAO, bahati nzuriChina walikubali
Tokea hapo Taz ikawa katka Ujamaa na kuukataa Ubepali, maana yake mojakwa moja walikuwa ni maadui wa USA.
Acha kuwa mtumwa wa fikra kwa wazungu
ni wabaya sana hao watu wala usiwaone wanapojifanya wanatoa misaaada kumbe ni wanafiki tu
Nyerere alikuwa ni mtu anayesimamia msimamo wake, hakutetereka hata siku moja.

Nakubali mkuu mimi sijui naomba unisaidie hivi na kile chakula cha farasi marekani nadhani unakumbuka Unga wa njano tumekula sana UGALI wake mzuri kweli wewe ndio uliomletea Nyerere? nisaidie mkuu
 
Back
Top Bottom