Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Kama kukosewa adabu basi ni hao CIA, mimi nimeleta report au kipande cha report kinachoonesha involvement yake katika suala la kuipindua Zanzibar.

Sasa kama huko ni kumkosea adabu mtakatafu wako JKN, basi nitaomba radhi maana haifai kuonesha kama alisababisha roho za viumbe zaidi ya 20,000 kupotea.

Oooh..nimesahau hizo roho za wazanzibari zilifaa kutolewa muhanga kwa ajili ya umoja wa TZ!

Au sio Juma Contena??..Kuwa mababu zetu walistahili kutolewa muhanga ili ndoto za Nyerere zipate kutimia za kuleta muungano? 😕

mr avatar sasa hao CIA kwanini waliamua kuchangia kwenye mapinduzi ,you are living in a dream world too much conspiracy theories hiyo source yako ya information ni fake sio genuine anyone can write that .anyway kuna source nyengine ya information inasema kwamba AMERICA hawataki seif sharif awe rais wa zanzibar kwasababu ana uhusiano na TALIBAN kutokana na ndefu zake.hiyo story nimeiona kwenye history channel .
 
mr avatar sasa hao CIA kwanini waliamua kuchangia kwenye mapinduzi ,you are living in a dream world too much conspiracy theories hiyo source yako ya information ni fake sio genuine anyone can write that .anyway kuna source nyengine ya information inasema kwamba AMERICA hawataki seif sharif awe rais wa zanzibar kwasababu ana uhusiano na TALIBAN kutokana na ndefu zake.hiyo story nimeiona kwenye history channel .

Unajua mapenzi ni sawa na kilema, sasa na huo ushahidi niliokuletea wa meli hadi jina la mwenye meli muizrael aliesafirisha silaha kutoka Dareselaam.

Nayo utapinga...kama utapinga na ushahidi huo wa meli, basi itabidi tubakie na hiyo theory ya kusomeshwa maskuli..kuwa hao wakwezi walipindua serekali kwa mishale....probably this is what make sense to you, doesnt it?🙄
 
Unajua mapenzi ni sawa na kilema, sasa na huo ushahidi niliokuletea wa meli hadi jina la mwenye meli muizrael aliesafirisha silaha kutoka Dareselaam.

Nayo utapinga...kama utapinga na ushahidi huo wa meli, basi itabidi tubakie na hiyo theory ya kusomeshwa maskuli..kuwa hao wakwezi walipindua serekali kwa mishale....probably this is what make sense to you, doesnt it?🙄

you know what!!you should be in a holllywood writing a movie .you do have a talent my friend the best script writer.
sasa wewe kinachokuuma nini the fact kwamba mwarabu kapinduliwa alafu watu weusi wamechukua uongozi?sasa nani alitoa ushauri kuhusu haya mapinduzi CIA walimshauri nyerere au nyerere aliwaomba CIA?
don't you think american back in that time they were more worrying about soviet union than zanzibar.we didn't have oil unless they wanted a cloves!!
 
you know what!!you should be in a holllywood writing a movie .you do have a talent my friend the best script writer.
sasa wewe kinachokuuma nini the fact kwamba mwarabu kapinduliwa alafu watu weusi wamechukua uongozi?sasa nani alitoa ushauri kuhusu haya mapinduzi CIA walimshauri nyerere au nyerere aliwaomba CIA?
don't you think american back in that time they were more worrying about soviet union than zanzibar.we didn't have oil unless they wanted a cloves!!

CIA ni chombo cha informations sikusema hiyo report yao haijasema kama wao ndio waliyapanga Mapinduzi.

Trust me hawa jamaa ni chombo smart sana duniani, informations zao apart from the Iraq data basi mara zote ni za kuaminika.

Mimi kinachoniuma sio ati nani kapinduliwa, Zanzibar ni sehemu yenye mchanganyiko wa watu wenye asili tofauti wakiwemo hao waafrika unaohisi kama wao ndio wana haki zaidi ya kuwatoa wenzao roho.

Sasa badala ya kuwauwa wameondoka?...bado wapo ni raia wa Zanzibar na tunaendelea kuishi nao hadi leo, na wengine wamo kwenye ngazi za juu.

Tatizo lako hujuwi historia, Zanzibar iliwahi kuwa koloni la Oman (waarabu)...lkn jiulize huo uongozi uliopinduliwa ulikuwa wa Omani au Zanzibar?...Mimi nitakujibia, waliopinduliwa ni wazanzibari, sasa wewe kama utapendelea kuwapachika labels za kuwa ni waarabu/terrorists...hiyo itakuwa ni haki yako ya kufanya utakavyopenda.

Lakini usiniambie mimi kuwa waliopinduliwa ni waarabu, hizo theory ni za kibaguzi na hazina misingi yoyote....NYERERE AMEPINDUA WAZANZIBARI NA KUTEKA NCHI YAO...THATS THE THEORY THAT DOES MAKE SENSE TO ME!
 
MrFrosty,
Collateral damage ya Mapinduzi ndiyo iliyosababisha roho za baadhi ya waarabu na waajemi kunyofolewa na sio wazanzibari. Waulize walichokifuata Africa wakaacha makwao Iran na Oman. I wish ingekuwa 20,000 maana leo vurugu za Muungano zisingekuwepo.

Kumbe waarabu na waajemi si watu? ha!

Wewe na roho yako mbaya utakufa kuomba wenzako wafe kwanza angalia usije Tangulia wewe kaburini, kosa frosty nini? zaidi ya kuwapa report inayosema mt. nyerere alihusika katika mauaji kinyume maelezo ya kumsifia?

ni vizuri ukakakubali hizo facts au ulite report tofauti na hizo ili sisi tupime nani mkweli?
 
Pengine niwaunge mkono waliochangia hoja hii ya Dr Who, frankly speaking dr umekuwa bias mno na unaukwepa ukweli halisi ambao naamini unaujua kuhusu mwl. Yako mabo mengi mno mazuri ambayo ukiweza kuyaainisha sana in comparison na waliomfuatia, unaweza usipate sababu za kumlaumu mbali na mapungufu aliyokuwa nayo kama mwanadamu wa kawaida. Licha ya kuingoza nchi katika mazingira magumu yaliokuwa yamegubigwa na dimbwi kubwa la umasikini wa kila aina (achilia mbali vipato vya wa tz), bado mwl alipambani kwa maslahi ya wa-tz. Binafsi nachelea kumlinganisha katika jambo lolote linalohusu uongozi wa nchi hii na hasa waliomfuata. Ati awamu ya pili????????, ya tatu?????? ya nne???????????. Pengine labda dr.Who ungekuwa wazi juu ya nini hasa ulitaka jamii ya wafikirio wajadili na siyo tuhuma dhidi ya mwl. Zipo changamoto kadhaa juu yake lakini sina imani kama suluhisho lake laweza patikana kwa mtazamo ambao umekuja nao.​
 
Not disputable that Nyerere was a great man who ruled during the time when Tanzanians were kinda of illiterates in a majority number compared to later times of Che Mkapa et al.

The fundamental question is what was the supernatural deed performed by him to warrant beautification as claimed by the Catholic church in Tz and Uganda?

Who does"nt know that at the time of Mwal. non of us possessed a minor info.media like TV and that he was almost himself who could access international news so he was every time in fornt of all of us knowledge wise? Does that culminates to anything like reasons for beatification?

The responsible church and the government should be able to clearly put in front of us the BASIC reasons and the rationale for Mwalimu to be pronounced a Saint. In my view a sainthood is rather a too clean phenomena beyond human imagination and not hypocrisy and urge to rule others in a reverse direction.
 
Mzee JK hakuwa malaika hivyo alikuwa na mapungufu yake na yeye mwenyewe alikiri hadharani baadhi ya mapungufu hayo.
Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa huyu mzee alikuwa mzalendo kweli kweli na aliipenda Afrika sana. Hivyo basi maamuzi mengi aliyafanya [kama aliharibu au alitengeneza] hakuwa anajifikiria yeye binafsi na aliamini kwa dhati kuwa anatenda yanayopaswa kutendwa.
Wote tunafahamu mwalimu alivyoishi, alivyolea watoto wake na kukosa zawadi toka kwa serikali pamoja na wananchi angestaafu akiwa maskini sana[kwa viwango vya sasa]
Uzuri mwingine ni kuwa kila mtanzania [wengi] walikuwa wanajiona fahari kuwa kiongozi wao na mwenzao. Hali hii imefanywa apendwe na wengi na hata yale mapungufu yake wayaone kwenye mizani yao kuwa ni machache kuliko mema yake na ndiyo maana suala likija kuhusu mwalimu wengi huweka staha siyo kwa woga bali kwa heshima.
Mungu amlaze mahala pema peponi
 
Mimi binafsi naliangalia hili suala toka mbali kwa sababu zifuatazo;

  • Hii ni suala la wakatoliki sasa mi si mkatoliki it means almost nothing to me wether JKN becomes a saint or not. Ni suala la kiroho na la kidini yake. Watakaoamua kama JKN atapewa Sainthood ni Vatican na wakatoliki na sio sisi watanzania kwa ujumla.
  • Navyojua (wakatoliki nikosoeni kama nimekosea) ili kupata sainthood inabidi uonyeshe kuwa umeperform some kind of miracle(miujiza), sasa sijui hili lina apply vipi kwa JKN.
  • Kingine ni kuwa inachukua muda mrefu sana kuthibitishwa hivo inaweza kuwa hata miaka 100. Hivo basi wengi wetu si ajabu tusiwe hai iwapo kweli vatican wataamua kumpa JKN utakatifu
  • M7 na Jack Mrisho wanajaribu kupata brown pointi za kisiasa hapa hamna cha zaidi kwa maoni yangu
  • Binafsi sidhani kama JKN alikuwa mtakatifu pamoja na kuwa alikuwa anaenda kanisani karibu kila siku, sababu ni vigumu kuwa saint na kuwa mwanasiasa yaani haviendani ni ngumu. Anyway kama nilivyosema mwisho ya yote sisi yetu macho Vatican ndio watakaoamua.
 
Unajua mtu anayeleta udini humu ana nina mbaya na inauma sana!

hebu juislize wakristu(wasabato. waruteli, waroma, walokole nk) tukisha weka udini mbele na chuki tutaanza kujuiliza kuwa kama rais ni mroma basi ameonea wasabato wangapi nk? haitaishia hapo tujituliza kuwa waluteli wangapi katika jiombo etc.

Hivyo hivyo mkisha tuletea udini (uislamu eti mnaonewa kwa uongo tu!)

Mkisha jifanya kuwa ok sisi ni waislima baadaye mtaanza washia wanatunea wasuni nk

Huko Iraq wanaouana ni waisilamu wenyewe kwa wenyewe! sasa nchi yetu inasifika kwa kuwa na amani katika dini zetu(imani zetu).

Lakini huyu Mswahili anakuja na lawama kibao kuonesha kuwa waislamu wamekuwa wakionewa saana na hadi kusema Malima aliuawa na mwl je hiyo inaingia vichwani mwenu?

Sasa anakataa kuus account za malima etc!

Kila tukijadili kitu cha maana kwa maslahi ya taifa yeye anaongia udini. Si ajabu ataona kuwa Dr Msabaha anaonea, ref Mengi na NSSF thread etc!

Kwa hiyo forum inaanza kupteza mwelekeo kwa ajili ya huyu mtu

DrWHO+mswahili +j=mswahili tu!!

yangu macho lakini anatuvuruga sana sasa ni kama wiki mbili hatujadili mambo ya maana ila manung'uniko ya uongo ya DrWHO+mswahili+j=mswahili tu!!.


Angalia thread zake!
Maoni yangu nikuwa, bora mambo haya kuzungumzwa hadharani kama tunavyofanya sasa [jazba na busara ni wazi kujitokeza] kuliko kuacha mambo yakalimbikizwa na kuwa jaka la moyo kwa kuogopa kusema kwani kufanya hivyo siku yanapolipuka inakuwa vigumu kudhibiti
TANZANIA NI MOJA NA WOTE NI HAKI YETU KUISHI KWA AMANI NA USAWA
 
Asante GT Mungu angekuwa anasikia sauti na sala zetu kumfufua nyrere mana yanayoendelea nchi kila mtu anachukua cha kwake JK kaishavuna anawapiga wenzake rungu
 
sure nyerere was completely human being!!! he had a lot of human errors and this thing of beautification makes us to believe those so called saints were not faultless
 
Tanzania should request for the strengthening of sanctions against Burundi, according to SADC diplomatsTanzania should request for the strengthening of sanctions against Burundi, according to SADC diplomats

Paul-Henri Dandurand and Sylvio D'Almeida
Great Lakes Press
Nairobi
01.13.99

Whereas Western lobbies are hounding to plead in favour of the lifting of the embargo that strikes Burundi since the coup d'etat of major Pierre Buyoya (Tutsi) on July 25,1996, many African diplomats, as for them, estimate that lifting the embargo would be a fatal error because of the implication of Burundi in the war of Congo aside of the invading forces.

Rwanda, Uganda and Burundi form a Hima-Tutsi coalition which invaded the Democratic Republic of Congo under cover of a prefabricated Congolese rebellion to overthrow the government of the DR-Congo president Laurent Kabila, their former allie.

"A lifting even partial of those sanctions would make the search of peace in DR-Congo more hypothetical because Burundi is the main entrance of troops and weaponry which the Hima-Tutsi coalition is using against the Congolese people"
, said, indignant, an SADC diplomat who preferred to keep anonymity.

The invasion of Congo by Burundi is particular by the fact that the government of Bujumbura results from a military coup d'etat. By its presence in Congo with the aim to topple a government and a legitimate president, Burundi is exporting his putschist tradition out of its borders.

"It's enough to drive you mad!"
, shouted a Zimbabwean diplomat. "Where does Burundi, a poor country under embargo, find the means to engage in war at home and abroad?", he added, obviously worried and frustrated.
The SADC countries, especially Zimbabwe, Angola and Namibia, by the fact that they are engaged in war to stop this expansionist Hima-Tutsi coalition, are the first to financially suffer from consequences and drawbacks of this war.

Many African diplomats based in Nairobi estimate that the SADC countries should encourage the Tanzanian president William Benjamin Mkapa to do not give away to the pressure and to the blackmail of those Western lobbies. The later are arming and financing all the ethnic minorities which are spreading death and destruction in Africa.

Indeed, the last word on the maintenance or the lifting of the embargo should belong rightly to Tanzania which already lodges the peace process negotiations on Burundi. To raise the embargo at the present stage would only reinforce the military capacity of the Tutsi led government of Bujumbura, which already practises the policy of the nazi like concentration camps against the Hutu (a Bantu tribe) population.

In the case of the war that the Democratic Republic of Congo and its SADC allies are carrying out against the Hima-Tutsi coalition, Tanzania is already accomplice by its displayed neutrality. It is already known that arms intended to the forces of destabilization (like RCD in Congo and UNITA in Angola via Museveni of Uganda) are transiting to the port of Dar Es Salaam. In addition, GLP obtained testimonys worthy of faith according to which regular troops from the Tanzanian army are fighting aside of the Hima-Tutsi coalition.

According to a source close to the Tanzanian government who preferred to keep anonymity, these troops would be in DR-Congo under the own initiative of some high rank officers close to the former president Julius Nyerere. According to the same source, the government of Mkapa seems to be well-informed about the matter, but does prefer to close the eyes in order to do not thwart the man that all Tanzanians call "Baba wa Taifa" (the Father of the Nation).

A thorough survey carried out by GLP to try to understand the motivations behind the Mwalimu Julius Nyerere behaviour led to revelations that are as overwhelming as worrying.

The sympathy of Nyerere towards Hima-Tutsi would not go back to yesterday, because he is said to be himself from a Tanzanian tribe belonging to the Hima-Tutsi ethnic group. In the case of Burundi, he was always the spiritual adviser of all the Tutsi governments, from the monarchy to the republic. In the Sixties, Nyerere has financed the Tutsi political parties like the UPRONA party led by Louis Rwagasore, a Tutsi prince, by providing two land-rover and a quantity of fuel to facilitate its election campaign. In memory and to perpetuate the name of his late protected, Nyerere gave the name of Rwagasore to one of his grandsons born in the last spring in 1998.

More dramatic, GLP discovered that in 1972 president Julius Nyerere sent sixteen tons of weapons and ammunition to help the Hima-Tutsi government of Micombero in order to subdue a hearth of a Hutu revolt in the south of the country. More than 300,000 Hutu have perished during these massacres which were wide in all the country. Massacres that some qualified as acts of genocide, and now identified and highlighted as one of the main origins of the Burundi conflict.

The nature and the origins of the Burundi conflict is one of the points on the agenda and constitutes the first of the five commissions established within the framework of the peace talks negotiations process on Burundi which began on June 15, 1998 in Arusha, in the North of Tanzania. Whereas the 1972 drama does fit in one of the origins of the Burundi conflict, none of the concerned delegations present in Arusha condescended to underline the responsibility of Nyerere in the crisis which tears Burundi.

Irony of the fate, it is the same Mwalimu Julius Kambarage Nyerere who is the mediator in these peace talks negotiations on Burundi.
 
:sorry::sorry:Hey...give him a break people...Mwacheni basi hata mifupa yake inyauke huko ardhini!
 
Mbona unatu-disrurb na hii wakati Watz tuko kwenye Slaa-mania?? Sasa hivi ni huyu Muiokozi wetu tu, na siyo mtu aliyekwisha kufa zamani. Umetumwa na ssiemu? Watu wengine bana!!!
 
Back
Top Bottom