Hakuna kiongozi asiye na mapungufu (kila mwanadamu ana mpungufu). Hatutamshtaki kiongozi hata siku moja kwa matokeo bila kuangalia NIA na DHAMIRA.
Jiulize swali, kipindi anafanya maamuzi kulikuwa na mazingira gani?? Ungekuwa wewe ungechukua uamuzi gani kwa maslahi ya taifa kipindi hiko unatakiwa uamue?? JE ALICHUKUA HUO UAMUZI KWA NIA YA KUJISTAWISHA YEYE AMA KIKUNDI FLANI, AU KWA USTAWI WA TAIFA?? Je mambo yaliyotakiwa kuzingatiwa wakati wa maamuzi yalizingatiwa??? (ikiwemo kupokea ushauri wa kutosha, kuruhusu kura n.k)
Tumia hayo maswali kuhukumu uongozi na sio matokeo.... Viongozi wetu 'sio' miungu wa kuona kila kitu cha mbele!!
No one is perfect, the person who does his best deserves credits!