Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Sasa Mkapa anabeba jukumu lolote la makosa yake? na mambo yake...? Ni watu wangapi ambao Nyerere alijua mambo yao na aliwaacha serikalini na walikuwa na mwelekeo wa ubepari? Dr. Salim si alikuwa na miradi yake muda wote aliokuwa mtumishi? Je ni Mkapa peke yake wakati wa Mwalimu aliyesomesha watoto wake nje ya nchi? Je ni Mkapa peke yake ambaye alikuwa na familia waliokuwa wakifanya kazi nje ya nchi?
Ni lini Mkapa atabeba lawama zake mwenyewe kwa kuwajibika kwake mwenyewe?
Ni lini Mkapa atabeba lawama zake mwenyewe kwa kuwajibika kwake mwenyewe?