Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,104
- 43,357
Hivi ni sehemu gani duniani ambako wamewahi kupata viongozi wazuri watupu tangu kuanzishwa kwa mataifa yao?
Hivi ni sehemu gani duniani ambako wamewahi kupata viongozi wazuri watupu tangu kuanzishwa kwa mataifa yao?
Mwalimu HAKUCHEMKA kumpigia debe MKAPA,kipindi kile jamaa kweli alikuwa CLEAN
Kasheshe ilianza baada ya jamaa kuingia ikulu akajifanya MJASIRIAMALI akajikopesha na kujichotea vya kutosha na akatoka ameshiba kwelikweli
Kama alichemka ,wewe ulitaka ampigie debe nani MREMA,KIKWETE?
Bana eeh...kuchemka ni ubinadamu!! Mimi mwenyewe huwa nachemka. Wewe huwa unachemka. Yule huwa anachemka. So what's the big deal kwa Nyerere kuchemka? Kuchemka (whatever your definition may be...) ni sehemu ya ubinadamu. Mijitu mingine bana....yaani kila kitu analaumiwa Nyerere tu. Unajua katika maisha yangu mafupi hapa duniani nimekuja kugundua kuwa watu hawapendi kuwajibika kwa matendo yao wenyewe na hivyo inakuwa convenient kumtupia lawama mtu mwingine. Ooh alichemka....so what? Wewe hujawahi kuchemka au huchemki?
Naomba kutofautiana na wale wanaosema kwamba Mwalimu alimtaka Mkapa kwa manufaa yake mwenyewe (Mwalimu). Mwalimu hakuhitaji lolote kutoka kwa Mkapa zaidi ya kutaka nchi ipate kiongozi safi atakayeiongoza nchi bila ubinafsi kama alivyofanya yeye Mwalimu katika kipindi chote cha uongozi wake.
Bana eeh...kuchemka ni ubinadamu!! Mimi mwenyewe huwa nachemka. Wewe huwa unachemka. Yule huwa anachemka. So what's the big deal kwa Nyerere kuchemka? Kuchemka (whatever your definition may be...) ni sehemu ya ubinadamu. Mijitu mingine bana....yaani kila kitu analaumiwa Nyerere tu. Unajua katika maisha yangu mafupi hapa duniani nimekuja kugundua kuwa watu hawapendi kuwajibika kwa matendo yao wenyewe na hivyo inakuwa convenient kumtupia lawama mtu mwingine. Ooh alichemka....so what? Wewe hujawahi kuchemka au huchemki?
Tatizo wanamtandao walikuwepo kabla hata mwalimu hajajua kuwa wanaplan gani!
Walimsapoti na kumbe wao ndio waliokuwa wakilipia kampeni zake!
Je siku za mwalimu zilikuwa numbered kama za ballali?
Je mkapa alijua kuwa wanamtandao hao ambao walimsaidia kumkapenia kwa kumtumia mwalimu walikuwa ndio hao hao maadui wakubwa wa mwalimu mwenyewe?
Jmushi1,
You sound like you know more than you are letting on. Kama unazo dataz zimwage hapa ndio pahala pake. Ninachojua ni kwamba Msasani ilikuwa bugged na maejenti wa Mkapa. Mazungumzo yote ya Mwalimu na wageni wake Mkapa alikuwa ahapelekewa tapes.
Weka mambo wewe mi nshaitwa mzushi!
Ila nitakaa pembeni na kuhakikisha hakuna upotoshaji!
ccm ni lazima izaliwe upya!
Mwalimu walishamtengeneza na kama sikosei mwaka kabla hajafa alisema akifikiria siku yake ya kufa anachanganyikiwa!
NCHI ILIUZWA NYUMA YA MGONGO WAKE KWASABABU STYLE YA UBINAFSISHAJI AMBAYO MKAPA ALIIKUMBATIA..ILIKUWA KINYUME KABISA NA MATAKWA YA MWALIMU!
Tanzania tukitaka kuendelea CCM lazima ife maana ile ni sumu mbaya sana na ndio inatuletea matatizo yote sasa tuliyonayo...sijui kwa nini hamuoni hilo?
Hivi ni sehemu gani duniani ambako wamewahi kupata viongozi wazuri watupu tangu kuanzishwa kwa mataifa yao?
Tanzania tukitaka kuendelea CCM lazima ife maana ile ni sumu mbaya sana na ndio inatuletea matatizo yote sasa tuliyonayo...sijui kwa nini hamuoni hilo?
Mi naona ukifa wewe ndio tutaendelea.....
...ooh for god's sake...just shut up,fool!