Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

MR.GEORGE NYERERE
345 LUISE BOTHA ROAD
JHB2001.
SOUTH AFRICA.
TEL: 27-833-676-420

Email: g_nyerere_00_2@yahoo.ca

My dear friend

I do foresee the surprise this letter will bring to you as it comes from a stranger. But rest assured as it comes with best of intentions. However, your address was courtesy of the Internet. But after due consideration from your profile, I became aware and assured of your credibility of handling this trust and my future. Thus, after my humble decision to solicit for your understanding and co-operation in this transaction, as it will be beneficial to all of us involved.

My name is Mr. George Nyerere, from Tanzania. I am the son of the Late President of Tanzania JULIUS NYERERE, who died on the 14 October 1999 about seven years ago. My father used his position then to make for him self and us some fortune. My father died after a protracted illness. I was studying overseas when my father died and I was forced to return for the funeral. His attorney notified me and my family about my father's will with his chambers.

When I was going through the will, I discovered that my late father had used his position then to make some money, which he brilliantly transferred and deposited it with a private Security Company here in Johannesburg, Republic of South Africa. He deposited this consignment as valuables. The Security Company does not know that this consignment contains cash money, except the attorney and me.

The amount is Eight million United States Dollars (USD 8MILLION). However, my aim of contacting you is to help me and take this sum into your nominated account in your country or any other part of the world. Secondly, you will also help me look for a profitable investment overseas because I don't have knowledge of international investments. As a result of my present situation, I won't be able to conclude this transaction alone.

If you are interested in helping me out, try and contact me with the above phone number, or-mail address indicating your interest to help me, not forgetting to include your private phone and fax numbers for easier communication. I will then furnish you with more details. I have mutually agreed to compensate you with 25% of the total sum for your assistance, 5% for expenses in the course of the transaction. Then the remaining 70% will remain for my family and me, which you will help us invest.

Be informed that this transaction needs utmost trust and confidentiality. Note also that the transaction attracts no risk on your side hence all the modalities for safe, smooth and successful transaction have been arranged by me. My above email address is private to me and I will prefer your anticipated response through it. ( g_nyerere_00_2@yahoo.ca )

Looking forward to receiving your urgent reply.
God bless you,

GEORGE NYERERE(JNR)(FOR THE FAMILY

Is there any body who can still fall for this kind of trap?.
George can do better than this though.
 
Na hapa Mtoto wake (at least ndivyo anavyosema) anaomba msaada hasa baada ya Dikteta Nyerere kuiba fedha za Tanzania na kuziwekeza Afrika ya Kusini (hiyo ni kawaida ya madikteta duniani kujitajirisha kwa migongo ya wenzao)

MR.GEORGE NYERERE
345 LUISE BOTHA ROAD
JHB2001.
SOUTH AFRICA.
TEL: 27-833-676-420

Email: g_nyerere_00_2@yahoo.ca

My dear friend

I do foresee the surprise this letter will bring to you as it comes from a stranger. But rest assured as it comes with best of intentions. However, your address was courtesy of the Internet. But after due consideration from your profile, I became aware and assured of your credibility of handling this trust and my future. Thus, after my humble decision to solicit for your understanding and co-operation in this transaction, as it will be beneficial to all of us involved.

My name is Mr. George Nyerere, from Tanzania. I am the son of the Late President of Tanzania JULIUS NYERERE, who died on the 14 October 1999 about seven years ago. My father used his position then to make for him self and us some fortune. My father died after a protracted illness. I was studying overseas when my father died and I was forced to return for the funeral. His attorney notified me and my family about my father's will with his chambers.

When I was going through the will, I discovered that my late father had used his position then to make some money, which he brilliantly transferred and deposited it with a private Security Company here in Johannesburg, Republic of South Africa. He deposited this consignment as valuables. The Security Company does not know that this consignment contains cash money, except the attorney and me.

The amount is Eight million United States Dollars (USD 8MILLION). However, my aim of contacting you is to help me and take this sum into your nominated account in your country or any other part of the world. Secondly, you will also help me look for a profitable investment overseas because I don't have knowledge of international investments. As a result of my present situation, I won't be able to conclude this transaction alone.

If you are interested in helping me out, try and contact me with the above phone number, or-mail address indicating your interest to help me, not forgetting to include your private phone and fax numbers for easier communication. I will then furnish you with more details. I have mutually agreed to compensate you with 25% of the total sum for your assistance, 5% for expenses in the course of the transaction. Then the remaining 70% will remain for my family and me, which you will help us invest.

Be informed that this transaction needs utmost trust and confidentiality. Note also that the transaction attracts no risk on your side hence all the modalities for safe, smooth and successful transaction have been arranged by me. My above email address is private to me and I will prefer your anticipated response through it. ( g_nyerere_00_2@yahoo.ca )

Looking forward to receiving your urgent reply.
God bless you,

GEORGE NYERERE(JNR)(FOR THE FAMILY)

..mjj,

..this sounds like one of them nigerian scams!for real!
 
Jamani na hii mi email ya mitaperi ya Nig. nayo mnaihusianisha na Nyerere?

Hakuwa malaika huyu mzee, kuna aliyokosea mengi, lakini mazuri aliyo yafanya kwangu mimi naona yanazidi mabaya aliyo yatenda.

-Bila Nyerere uhuru tungeupata wapi? Kumbuka alikubali kuacha kazi yake ya mshahara, akaishi kwa misaada ili atupatie uhuru wetu.
-Elimu ya bure kwetu sie walala hoi tungeipata wapi?
-Madini yetu tunayo yalilia wezi hawa wanayo kimbilia yauza na kugawana kama njugu si yangeisha isha?
-Bila Nyerere umoja na undugu wa kitanzania (ambao huwa hatubaguani kwa misingi ya dini na ukabila) alio tujengea tungeupata wapi?

Udikiteta wake ulikuwa wa maana sana ili nchi iweze kuungana, ni kama sasa hivi ili tuendelee tunamuhitaji dikiteta mwingine ambaye atatupilia mbali maamuzi ya kijinga yaliyo fanywa na walafi kina Mkapa/Yona/karama/ na wengineo ili tuanze upya!

Tunahitaji dikteta ambaye ataweza jisimamia katika maamuzi yake siyo hawa tunao waona wajasiriamali ikulu, na vascodagama kwa kodi za walala hoi!

Tunahitaji raisi amabye atakuwa na guts za kusema No, palipo na No! siyo blabla.. bila utendaji!

Misingi mizuri aliyo tuwekea ya kusomesha vijana wenye uwezo ili waje walitumikie Taifa yote tumeipiga chini, sasa hivi elimu ni kwa wateule waliobarikiwa kuwa na njuruku, kazi nzuri zinazo lipa ni kwa majina ( rejea BOT)

Tunaona misingi hiyo inavo zidi kufukiwa tunapoletewa sheria za ajira za serikalini kuwa za teuzi?? siyo za ushindani wa qualifications!

Am out of this, leave Nyerere alone, Mwacheni apumzike kwa Amani, kiumbe wa Mungu!
Mazuri mengi mno katufanyia MUNGU MPUMZISHE KWA AMANI.
 
Huyo George ana mdogo wake anaitwa Kanyamuli!

Huyu dikiteta Nyerere ameiletea Tanzania matatizo na sasa watoto wake wanasumbua hii dunia kwa email za vilio?
 
..mjj,

..this sounds like one of them nigerian scams!for real!

that is what I thought in the beginning then I thought.. madikteta huwa hawafanya vitu kunufaisha watu wao kwao kila wanachofanya ni katika kunufaisha kikundi cha watu wachache na mifuko yao. Sasa, kama Nyerere alikuwa Dikteta, tutajuaje kuwa hakuiba fedha na kuziwekeza huko Uswisi n.k? Maana kama kila kisemwacho kuhusu ubaya wa Nyerere why can't we believe in this.. binafsi naona ina mantiki sana ukiunganisha Udikteta wake na wizi wa fedha za Tanzania. Otherwise, utaelezaje umasikini wetu chini ya Mwalimu? Leo hii viongozi hawaibi fedha na wanajali wananchi ndio maana tumeendelea sana.
 
Jamani na hii mi email ya mitaperi ya Nig. nayo mnaihusianisha na Nyerere?

Hakuwa malaika huyu mzee, kuna aliyokosea mengi, lakini mazuri aliyo yafanya kwangu mimi naona yanazidi mabaya aliyo yatenda.

-Bila Nyerere uhuru tungeupata wapi? Kumbuka alikubali kuacha kazi yake ya mshahara, akaishi kwa misaada ili atupatie uhuru wetu.
-Elimu ya bure kwetu sie walala hoi tungeipata wapi?
-Madini yetu tunayo yalilia wezi hawa wanayo kimbilia yauza na kugawana kama njugu si yangeisha isha?
-Bila Nyerere umoja na undugu wa kitanzania (ambao huwa hatubaguani kwa misingi ya dini na ukabila) alio tujengea tungeupata wapi?

Udikiteta wake ulikuwa wa maana sana ili nchi iweze kuungana, ni kama sasa hivi ili tuendelee tunamuhitaji dikiteta mwingine ambaye atatupilia mbali maamuzi ya kijinga yaliyo fanywa na walafi kina Mkapa/Yona/karama/ na wengineo ili tuanze upya!

Tunahitaji dikteta ambaye ataweza jisimamia katika maamuzi yake siyo hawa tunao waona wajasiriamali ikulu, na vascodagama kwa kodi za walala hoi!

Tunahitaji raisi amabye atakuwa na guts za kusema No, palipo na No! siyo blabla.. bila utendaji!

Misingi mizuri aliyo tuwekea ya kusomesha vijana wenye uwezo ili waje walitumikie Taifa yote tumeipiga chini, sasa hivi elimu ni kwa wateule waliobarikiwa kuwa na njuruku, kazi nzuri zinazo lipa ni kwa majina ( rejea BOT)

Tunaona misingi hiyo inavo zidi kufukiwa tunapoletewa sheria za ajira za serikalini kuwa za teuzi?? siyo za ushindani wa qualifications!

Am out of this, leave Nyerere alone, Mwacheni apumzike kwa Amani, kiumbe wa Mungu!
Mazuri mengi mno katufanyia MUNGU MPUMZISHE KWA AMANI.

Rwabugiri,

Hata mimi haya ndiyo mawazo yangu kuhusu Nyerere na kuwa yeye hakuwa malaika kwa hiyo kuna mengi alikosea kama binadamu. Kuna upande mwingine wa watu makini hapa JF wamesema kuwa Nyerere ndiye amesababisha:

Richmonduli, Buzwagi, IPTL, Kiwira, wizi BOT, wizi mambo ya nje, utendaji mbovu wa serikali ya Kikwete na kadhalika.

yaani huo upande unaamini kuwa kila kitu kibovu kinachofanyika leo hii ni legacy ya Nyerere. Kwao Nyerere ni dikiteta na mtu mwovu kabisa na asiyefaa. JF inatoa nafasi kwa pande zote mbili na sasa upande wa anti-Nyerere unamwaga mambo yake kwenye jukwaa la siasa live and well.
 
Jamani na hii mi email ya mitaperi ya Nig. nayo mnaihusianisha na Nyerere?

Hakuwa malaika huyu mzee, kuna aliyokosea mengi, lakini mazuri aliyo yafanya kwangu mimi naona yanazidi mabaya aliyo yatenda.

-Bila Nyerere uhuru tungeupata wapi? Kumbuka alikubali kuacha kazi yake ya mshahara, akaishi kwa misaada ili atupatie uhuru wetu.
-Elimu ya bure kwetu sie walala hoi tungeipata wapi?
-Madini yetu tunayo yalilia wezi hawa wanayo kimbilia yauza na kugawana kama njugu si yangeisha isha?
-Bila Nyerere umoja na undugu wa kitanzania (ambao huwa hatubaguani kwa misingi ya dini na ukabila) alio tujengea tungeupata wapi?

Udikiteta wake ulikuwa wa maana sana ili nchi iweze kuungana, ni kama sasa hivi ili tuendelee tunamuhitaji dikiteta mwingine ambaye atatupilia mbali maamuzi ya kijinga yaliyo fanywa na walafi kina Mkapa/Yona/karama/ na wengineo ili tuanze upya!

Tunahitaji dikteta ambaye ataweza jisimamia katika maamuzi yake siyo hawa tunao waona wajasiriamali ikulu, na vascodagama kwa kodi za walala hoi!

Tunahitaji raisi amabye atakuwa na guts za kusema No, palipo na No! siyo blabla.. bila utendaji!

Misingi mizuri aliyo tuwekea ya kusomesha vijana wenye uwezo ili waje walitumikie Taifa yote tumeipiga chini, sasa hivi elimu ni kwa wateule waliobarikiwa kuwa na njuruku, kazi nzuri zinazo lipa ni kwa majina ( rejea BOT)

Tunaona misingi hiyo inavo zidi kufukiwa tunapoletewa sheria za ajira za serikalini kuwa za teuzi?? siyo za ushindani wa qualifications!

Am out of this, leave Nyerere alone, Mwacheni apumzike kwa Amani, kiumbe wa Mungu!
Mazuri mengi mno katufanyia MUNGU MPUMZISHE KWA AMANI.

Uhuru ungepatikana tu,
Sasa kama hakuwahi kuzaliwa- sii wangezaliwa akina Nyerere wengine?

Wind of change for Uhuru Afrika & Asia was there- awepo Nyerere au Mtanzania mwingine!
 
Na baada ya uhuru,

1. dikiteta nyerere akazuia watu kuvaa jinzi na raba mtoni.

2. kisha akazuia watu kununua vitenge vya kenya bali urafiki

3. Akazuia watu kujitajilisha kwa wizi.

4. Kisha akalazimisha watoto kwenda shule na usipoenda faini!
 
Nyerere safi sana.
Tatizo moja tu alilotuachia ni kujenga roho ya uwoga, urahisi wa udanganyifu, unafiki na UNDIO bwana/bibi miongoni mwa watanzania kwa kutumia mzimu wa CCM. Kwangu haya ni magonjwa ambayo yataendelea kututafuna hadi tutakapopata ujasiri wa kuwafukuza CCM madarakani. Hata hivyo tumeshaanza kujikomboa na haya madhira.

Uhuru tunaohitaji sasa ni kujiondoa kwenye minyororo ya CCM.
 
that is what I thought in the beginning then I thought.. madikteta huwa hawafanya vitu kunufaisha watu wao kwao kila wanachofanya ni katika kunufaisha kikundi cha watu wachache na mifuko yao.

..so nyerere was one of them?

..kama alikuwa dikteta then he was one of a kind! haku-plunder mali za tanzania kunufaisha familia yake!hili wala halina kificho!

Sasa, kama Nyerere alikuwa Dikteta, tutajuaje kuwa hakuiba fedha na kuziwekeza huko Uswisi n.k? Maana kama kila kisemwacho kuhusu ubaya wa Nyerere why can't we believe in this..

..zingekuwepo sehemu tungefahamu,aren't we?

..vingi vimetiwa chumvi!

binafsi naona ina mantiki sana ukiunganisha Udikteta wake na wizi wa fedha za Tanzania.

..si tu kwamba haina mantiki,bali pia haileti maana!labda uelezee zaidi!

Otherwise, utaelezaje umasikini wetu chini ya Mwalimu? Leo hii viongozi hawaibi fedha na wanajali wananchi ndio maana tumeendelea sana.

..umasikini wetu chini ya mwalimu ulitokana na misguidance!na kudumu kwa fikra za mwenyekiti na si wizi wa mwenyekiti!

..leo hii viongozi hawaibi fedha na wanajali wananchi?!unajua hii sentensi yako inapingana na posts zako mbali mbali za nyuma!...umeshawekwa rehani?
 
Huyu dikiteta Nyerere:

Pamoja na kulazimisha watoto kusoma, Akalazimisha wazee wote wasio na elimu waende shule. Hakuna kitu kibaya sana kama kulazimisha wazee kusoma. Hivi ile elimu ya watu wazima ilikuwa na maana gani? Yaani udikiteta hadi kulazimisha watu na mvi zao kusoma?
 
Jamani na hii mi email ya mitaperi ya Nig. nayo mnaihusianisha na Nyerere?

Hakuwa malaika huyu mzee, kuna aliyokosea mengi, lakini mazuri aliyo yafanya kwangu mimi naona yanazidi mabaya aliyo yatenda.

-Bila Nyerere uhuru tungeupata wapi? Kumbuka alikubali kuacha kazi yake ya mshahara, akaishi kwa misaada ili atupatie uhuru wetu.
-Elimu ya bure kwetu sie walala hoi tungeipata wapi?
-Madini yetu tunayo yalilia wezi hawa wanayo kimbilia yauza na kugawana kama njugu si yangeisha isha?
-Bila Nyerere umoja na undugu wa kitanzania (ambao huwa hatubaguani kwa misingi ya dini na ukabila) alio tujengea tungeupata wapi?

Udikiteta wake ulikuwa wa maana sana ili nchi iweze kuungana, ni kama sasa hivi ili tuendelee tunamuhitaji dikiteta mwingine ambaye atatupilia mbali maamuzi ya kijinga yaliyo fanywa na walafi kina Mkapa/Yona/karama/ na wengineo ili tuanze upya!

Tunahitaji dikteta ambaye ataweza jisimamia katika maamuzi yake siyo hawa tunao waona wajasiriamali ikulu, na vascodagama kwa kodi za walala hoi!

Tunahitaji raisi amabye atakuwa na guts za kusema No, palipo na No! siyo blabla.. bila utendaji!
Misingi mizuri aliyo tuwekea ya kusomesha vijana wenye uwezo ili waje walitumikie Taifa yote tumeipiga chini, sasa hivi elimu ni kwa wateule waliobarikiwa kuwa na njuruku, kazi nzuri zinazo lipa ni kwa majina ( rejea BOT)

Tunaona misingi hiyo inavo zidi kufukiwa tunapoletewa sheria za ajira za serikalini kuwa za teuzi?? siyo za ushindani wa qualifications!

Am out of this, leave Nyerere alone, Mwacheni apumzike kwa Amani, kiumbe wa Mungu!
Mazuri mengi mno katufanyia MUNGU MPUMZISHE KWA AMANI.
Ni kweli kuna Mazuri ambayo Nyerere amefayafanya kwa Tanzania lakini hii isizuie sisi wananchi kuzungumzia mabaya yake ambayo aliyafanya wakati wa kipindi chake cha u-Rais. Naungana na Mwafrika wa Kike kuongelea mabaya ya Nyerere hasa katika ukosekanaji wa demokrasia nchini mwetu, hali tunayoiona leo pale Tanzania ambapo wananchi ni waoga na pia wako kama mazezeta wanaokubali kufanyiwa madudu yeyote ni kutokana na legacy ya Nyerere, Watanzania hata waone ubaya gani unafanywa na viongozi wao wanakuwa ni watu wa kunyamaza tu kwa jina lingine tunawaita kina "YES SIR". Ni Nyerere aliyekuwa na system ya kutumia dola kudhibiti wale wote waliokuwa wanampinga kiitikadi. Alitumia dola kunyamazisha wengi na hii ilifanya wananchi wengi wawe na uoga wa kwenda kinyume na matakwa ya Serikali au viongozi wa nchi.

Ninashangaa mnaposema tumuache Mzee wa watu ameshapumzika nyumba ya milele pale tu ambapo mtu yeyote atakuwa anazungumzia mabaya ya Nyerere, sijawahi kuwasikia mkisema hivyo pale ambapo Nyerere huwa anamwagiwa sifa na hongera tele kutokana na uongozi wake mzuri. Ukipenda Sukari, uwe tayari kula na pilipili.
Yaani mnakuwa hamna tofauti na Kikwete pale anaposema mwacheni Mzee wa watu Mkapa ameshastaafu.
 
Akitokea tena Dikteta wa namna hii hapa Tanzania nitashukuru sana.Ni heri kuwa na Dikteta:
-Mwaminifu na mzalendo.
-Anayelazimisha watu kwenda shule
-Anayeboresha huduma za Afya
Kuliko kuwa na viongozi wanaojificha chini ya mwavuli wa demokrasia, kumbe:
-Nimajambazi yasio na uzalendo
-hayaboreshi huduma za afya kwa kuwa pesa za kazi hiyo wanaiba
-Wanafiki na wasio na uwezo wa uongozi.
nakubaliana kuwa Nyerere alikosea.Yeye hakuwa malaika na mengi ya makosa yake yalitokana maamuzi yaliyokuwa na nia ya kuwakomboa Watanzania na ni kujinufaisha binafsi.
Nyerere alizuia kweli vitu toka nje,mfano Khanga kwa sababu alitaka viwanda alivyoanzisha kwa pesa za Watanzania viendelee.Vitoe ajira,then bei ya pamba iwe bora sio kutegemea bei ya kupangiwa na mabepari.Orodha ya bidhaa ilikuwa kubwa ila kwa wanaojua uchumi.NINI kinatokea unapo Import zaidi kuliko unavyo Export??
Kuhusu jeans kwa maoni yangu naona kuna aina fulani pia ya ushamba wa Watanzania kuwa ukiwa na kitu cha nje wewe ni bora,ila ukweli ni kuwa jeans ni mahususi kwa maeneo ya baridi na hii utaiona hawa wenzetu ikifika wakati wa summer wanafaa nguo gani sio jeans tena.
 
Acheni kumdhalilisha Mwalimu, udikteta, mnajua maana ya udikteta nyie? Mwalimu alimwua nani? Mwalimu alitoa orders zipi ili watu wateswe?

Angalia marais waliomzunguka Mwalimu, wote walikuwa wanachinja watu labda ukiondoa rafiki yake Kaunda.

Mwalimu alikuwa kama baba ambaye alitaka kuwajengea wanawe kwa faida ya baadaye, lakini bahati mbaya mitoto yenyewe imekuwa mijinga na sasa badala ya kuangalia ujinga wao inaanza kumlaumu mzee wa watu ambaye alifanya kila kitu kuwajengea misingi mizuri ya maisha.

Nyerere alikuwa anapambana na watu kwa hoja na sio kwa mtutu wa bunduki. Sawa kuna watu wachache aliwaweka ndani, au kuna watu wachache ambao alipunguza speed yao wasiwe matajiri zaidi lakini huwezi kumwita Nyerere dikteta kwasababu ya kutetea misingi na mambo ambayo alikuwa akiyaamini?

Nyerere alitutengenezea misingi mizuri ya kusimama sisi wenyewe na kuendelea mbele kama binadamu lakini tulivyowajinga tumerudi kule kule. Tunaua elimu na kupeleka wanetu Ulaya, Kenya, Uganda na kwingineko, tumeua hospitali zetu na huduma za afya mpaka watu wanafumuliwa vichwa badala ya miguu. Tumeanza kuua mshikamano wa Kitanzania na sasa hata maofisini ukabila unaanza kujionyesha waziwazi. Sera kama za mtu ni afya zimekufa, leo mitalo ya vinyesi mpaka milangoni, kipindupindu kimekuwa donda ndugu katika karne hii ya 21.

Kibaya zaidi tumeanza kuwa watumwa kwenye nchi yetu. Tunauza nchi kwa kila anayetaka kununua kipande ili mradi ni mzungu. Tunajifanya tuna middle classs wengi ambao hawana uhuru wowote maofisini, wananyenyekea makaburu utafikiri hawajasoma, wanalipwa mishahara kidogo kuliko makaburu na hawawezi hata kulalamika. In fact wanaona furaha kuhudumia Wazungu kuliko Watanzania wenzao, huo ndio uhuru mnaotaka?

Mwacheni mzee wa watu apumzike salama huko aliko, ndio maana alivyokufa hata wale wapinzani wake wakubwa wa magharibi hawakuthubutu hata kutoa neno. Jamaa alikuwa kichwa na hicho kichwa ndio kilimjengea marafiki na maadui.

Lazima ujue Mwalimu alikuwa kiongozi wa miaka ya 60 na 70, miaka ambayo viongozi wengi walitakiwa wawe na misimamo, walikuwa na nguvu kubwa waliyopewa kikatiba na information ilikuwa haba, hivyo mambo mengine ambayo watu walikuwa wanatendewa huku chini ilikuwa sio rahisi kwa mtu wa juu kuyajua. Ni tofauti na sasa ambapo inatosha kuja JF kujua nani katembea na mke wa nani.

Sawa kuna makosa ambayo Nyerere alifanya kama binadamu yeyote anavyofanya lakini athari zake ni kidogo sana. Nyerere aliachia madarama miaka 22 iliyopita, je nini kimekuwa tofauti pamoja na hii demokrasia yetu? Watu wameuawa Zanzibar, tumepata Watanzania wakimbizi wa kwanza, nchi imeuzwa, vyuo vyetu havina watu wenye hoja tena badala yake wanavaa magwanda ya kijani utafikiri punguani. Nyerere hakuingilia uhuru wa wasomi na ndio maana hata watu waliotoka pale walikuwa wanajua kujenga hoja, nenda leo, kazi yao kubeba wanasiasa. Sio kazi ya mwanafunzi wa chuo kikuu kubeba wanasiasa utafikiri Machingas Kariakoo.

Mwafrika wa Kike huna hoja hapa kabisa, kama umekosa cha kuandika kaa kimya na mwache mwalimu wetu apumzike salama.

Nenda Tanzania leo, nenda Sheraton pale kama hujatolewa mkuku, eti changudoa, Mzungu sio changudoa lakini dada zetu ndio Changudoa. Uhuru ambao Nyerere aliamua kuacha kazi yake ya maana ya ualimu na mshahara mnono na marupurupu kibao ili atutetee Watanzania, leo tunaupoteza kijinga kijinga. Hiyo inatofauti gani na Apartheid ambako kama mweusi ilitakiwa ujue kikomo chako cha maeneo ya kwenda? Leo nenda kwenye Beaches zetu, kama Mwafrika kuna sehemu huwezi kufika.

Acheni kumkashifu Mwalimu bila hoja. Kama unataka andika hoja za maana ili tupambane kwa hoja. Huwezi kuandika mistari miwili eti unataka kujua athari za udikteta wa mwalimu. Nenda google na search jina la Mwalimu pamoja na dictator angalia utapata articles ngapi, why? Kwasababu watu walio wengi sasa wanakubaliana kwamba Mwalimu hakuwa dictator.
 
Uhuru ungepatikana tu,
Sasa kama hakuwahi kuzaliwa- sii wangezaliwa akina Nyerere wengine?

Wind of change for Uhuru Afrika & Asia was there- awepo Nyerere au Mtanzania mwingine!

yes, but is Nyerere who did it not any other she/he so why not cherish him?
 
Mtanzania,
Nakupa saluti,Kitu uloichoandika kimetulia na kinawakilisha ukweli.
 
yes, but is Nyerere who did it not any other she/he so why not cherish him?
Hii ni dharau kubwa mnayoionyesha kwa wazee wetu wengine ambao nao kwa kiasi kikubwa walipigania uhuru. Kumfanya Nyerere sole proprietor wa kupigania Uhuru wa Tanganyika ilhali kuna wazee wengi walishiriki ni kutowatendea haki.
 
Huyu dikiteta Nyerere:

Pamoja na kulazimisha watoto kusoma, Akalazimisha wazee wote wasio na elimu waende shule. Hakuna kitu kibaya sana kama kulazimisha wazee kusoma. Hivi ile elimu ya watu wazima ilikuwa na maana gani? Yaani udikiteta hadi kulazimisha watu na mvi zao kusoma?

Bibi mzaa baba yangu kabla ya elimu ya watu wazima hakuwa na uwezo wa kuandika barua, kusoma na kutunza kumbukumbu za biashara zake za kuuza maembe na karanga. Ni matokeo ya elimu ile ndiyo yaliyoweza kumfanya aweze kusoma biblia kanisani, kutunza kumbukumbu za biashara zake, kusoma ripoti za maendeleo ya wajukuu zinazotoka shuleni, kusoma matangazo mjini, kusoma alama za tahadhari, maonyo, n.k. Kama marehemu bibi yangu akikusikia unaongea haya akiwa huko kaburini, itamuumiza sana.
 
Back
Top Bottom