Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 119
sasa huyo mpishi aliajiriwa na nani? kama wizara basi arudi wizarani wampe penshion yake apumzike
MWE!!...Mswahili,Samvulachole,Nungwi...mpooooo!!!
..Sokoine alimjengea nyumba mdogo wake Nyerere? Nyumba hiyo iko wapi? Mwaka huu tutajifunza mengi jamani.
Kwa upande mwingine Raisi wa Jamhuri ya Muungano anapata fedha na marupurupu kiasi gani? What did Mwalimu do with all the money he was getting? Kuwa Raisi wa Tanzania miaka 25 siyo jambo dogo jamani.
..nakumbuka kusoma kuhusu Thomas Jefferson Raisi wa tatu wa USA. Baada ya kufariki watumwa wake, na mali zake, zilipigwa mnada. Hata yeye alikuwa na watu wengi tu waliokuwa wakimtegemea.
ha ha ha !this is really funny!
It is an amusing story na a sad one pia, lakini I am going with Masanja, sasa some where ni lazima tu-draw the line,
Taifa limtunze mke tu wa Mwalimu, wengine watuonyeshe mfano wa waliyojifunza kutoka kwa Mwalimu, ya self-reliance, wao walijionea first hand, sisi ni kuwaiga wao,
Anyway, it was a good story kwa kuburudisha tu wananchi na taifa kwa ujumla, lakini nothing serious kwa taifa! Yaaani I am shocked jinsi Mwalimu alivyokuwa akitutaka wananchi tujitegemeee, huku akiwaweka watu wa ukoo wake mwenyewe bure tu na kuwalipia!
I hope hii haikuwa a double standard!
Investment Nyerere alio acha ni Mtu kwenda Shule, na kufanya kazi au kuwa mkulima Bora.
hii inawezekana ikawa sababu moja ya viongozi wetu kujilimbikizia mali kwa familia zao na watoto zao ! its just ze beginning !
Haitosaidia kama akili hakuna au Mngt Skills hakuna, au wanabwia unga
Kama Anthony Nyerere ndiyo mrithi (kimila) wa estate ya Mwl. basi ni yeye ndiye aliyetakiwa aangalie familia/yatima wananoongelewa hapa.
Speaking of Nyerere Foundation kama alivyouliza Game Theory. Pale yupo Jeseph Butiku ambaye ninadhani ni ndugu ya Mwl. MNF inafahamu haya matatizo lakini sidhani kama wanaweza kusaidida. Kwenye ile foundation kuna pesa nyingi sana inamiminika lakini kuna ubadhirifu mkubwa sana wa pesa. Na ukithubutu kufungua mdono wako umekwisha.
Huyo anayejiita sijui Anthony Nyerere naye aache kuwa mdebwedo. Alitaka alelewe, alishwe, alipiwe bili ya maji vyote afanyiwe na Mwl Nyerere hadi lini? Hakui? Sisi wengine tunalipiwa na nani huduma hizo? Aache kujidhalilisha yeye na ukoo wake! Kasema mwenyewe enzi za uhai wake Mwalimu alikuwa ANALIMA na anapovuna anawasaidia mazao. Sasa wao kinawashinda nini kulima? Hivi walidhani mwalimu angeishi milele? Huu ni utegemezi wa kijinga kabisa. Siwaonei huruma hata kidogo hawa, ujinga tu na upumbavu umewajaa. Ovyo sana!
Majibu nilishayatoa hapo juu.Sisis kama Taifa tutamtunza Mwalimu kwa kumpa hiyo pensheni yake na mindhali kesha kufa basi tena na kama kuna mtu anataka tuendelee kumlea mama Maria basi itabidi mfumo mzima wa pensheni ya wafanyakazi serikalini ubalishwe
Kama issue ni madeni basi majibu yangu hapo awali yalikuwa haya:
Kama wanataka hizo pesa za kulipa madeni wauze yale magari aliyokuwa anatumia mwalimu, ile nyumba ya mwalimu pale Butihama, Msasani nayo wakiuuza wanaweza kumaliza madeni bila kusahau ardhi kubwa waliyonayo.Vile vile wanaweza kuachana na hizi gharama za kumkumbuka mwalimu kila mwaka. Hizo zote ni un necessary expenditures na wao kama wanafanmilia wanapweza kufanya shughuli zao in private.Ya nini kungangania kuomba misaada serikalini wakati hakuna mwenye nia ya kuwasaidia?
Naamini wakiuza vyote hivyo hawashindwi kulipa deni la hospitali, umeme na matatizo mengineyo kisha kila mmoja aangalie ustaraabu wake.
na kama tukianza kuwapa special preference then watakuja wengine na wengine na hii itafungua floodgate ya koo mbali mbali ambazo watasema babu zao walisacrifice kwa ajili ya nchi na wao wanastahili kupata hizo pesa za serikali
Mwalimu ni kweli aliwaambia kuwa investment yao ni shule lakini vile vile tusisahu estate ya mwalimu si ndogo sasa kama shida ni pesa kwa nini wasiuze?
Nadhani wangeanza na yale magari kisha wakahamia kwenye vitu vinginevyo
Haya mamabo ya kuwa babyysit kisa Mwalimu alikuwa Rais ni mamabo nisiyokubaliana nayo. Yule mzee alimua mwenyewe kuingia kwenye siasa and sometimes this is the price ukoo inabidi ulipe na wakae wakijua kuwa wao hawana God given right ya kupewa pesa kila kukicha kila mmoja inabidi a hustle kivyake,,,makongoro alishinda pale EMPRESS CINEMA na wapiga kivi weee mpaka akaona bora amjoin mkewe huko Arusha baada ya kugundua kuwa hata kijiwe kila hakuna aliyekuwa akimpa nauli
Naona kikubwa Mwl. Nyerere aliwafanya mazezeta watu wa ukoo wake na wakawa wamezoea vitu vya bure. Kwanza inabidi tujue enzi za utawala wa Nyerere hawa watu walikuwa wanapata wapi kipato kama sio kutumia pesa za walipa kodi. Kwa utawala wa Nyerere ni shame kwa ukoo wake kama hawakuweza kukombolewa kifikra. Kuna mifano mingi tu kama CLEOPA MSUYA ambaye alijenga wilaya na mpaka sasa hivi anaheshimika. Huyu mtu alikuwa chini ya Nyerere na Nyerere aliyaona fika aliyokuwa anafanya. Watu kama SUMAYE, LOWASSA kwao wamefanya mambo makubwa.
Kama kuna watu walaumiwe ni BUTIKU ambaye ni mmoja kati ya viongozi wa juu kwenye Mfuko wa Nyerere--mimi nadhani kazi ya pesa za huo mfuko ni kusaidia watu wasiojiweza sio kutumia mfuko kujilimbikizia mali.
Kama hiyo hali aliipenda yeye Nyerere kuzungukwa na masikini ili awe mfalme siku zote hayo ndo malipo--alisihindwa nini angalau kuwajengea shule au kuwapeleka shule mbalimbali. Nakumbuka huyuo huyo Nyerere ndo ali-encourage wanafunzi kusoma mikoa mbalimbali hasa ukizingatia kuwa mkoa wa MARA haukuwa na shule nyingi za sekondari kutokana na historia ya tanganyika kwani wamissionari ndo walijenga shule nyingi za sekondari mikoa mingine ambayo walikaa. Si nasikia na WARIOBA na WASSIRA wote wanatoka sehemu moja, sasa mbona wanashibisha matumbo yao tu.
Any way enzi za ujamaaa zimekwisha--UKOO wa Nyerere wawe updated kwa hili.
Huyo Anthony mbona yeye mwenyewe zamani alikuwa ni tajiri? Alikuwa ndio tajiri mkubwa Bunda,kwanza aelezee utajiri wake ulienda wapi.Alichezea pesa na hayo ndio matokeo yake.
Sasa huyo Nyakigi si ni mama yake yeye,kwa nini yeye asimlipie huo umeme? huyu Anthony alikuwa na malori,na hapa Dar alikuwa na nyumba kubwa Mikocheni wakati ndio kwanza Mikocheni inaanza kujengeka.Huyo mdogo wake mwalimu,Kiboko nae alikuwa tajiri zamani.Jeetu Patel alikuwa ni rafiki yake mkubwa.The original Musoma Hotel ilikuwa ni ya Kiboko,na hii ni miaka ya sitini huko,ikaungua!Huo ukoo una zaidi ya watu elfu 2,umaskini sio wa ukoo,bali wa familia husika,sasa kama ni umasikini kweli mtamlaumu mtu ambaye nae ana familia yake?Huo Ukoo wa Nyerere kuna wengi sana tu ambao maisha yao ni mazuri,lakini nao wamewachoka ndugu zao ambao kazi yao ni kuombaomba tu.Wao inaelekea wanadhani kuwa jina la Nyerere litawapa chakula.Kuna watu wengi sana ambao wanatumia jina la Nyerere huku hawana uhusiano wowote na Nyerere na limewanufaisha,sasa wao wenye jina wanashindwa nini? Wao wanataka kutumia jina kuomba tu.Yule Chief wao mbona ana eneo kubwa tu la kuwinda,na badala ya kukubaliana wanagombana na yeye inalelekea kawatapeli wenzake.Chief Wanzagi(aliyemrithisha huyu wa sasa) alipewa Fort Ikoma lodge na Mwinyi,hii lodge ni nzuri sana lakini wameishindwa,matokeo yake imeuzwa kinyemela wenyewe wakiwa wamezubaa tu,na sasa ndio iko hio Lodge ya bei mbaya sana.Sasa kama mtu anasema kimila yeye ndio anatakiwa kuwa mrithi wa mali za mwalimu,kwani nani anaishi kimila sikuhizi?Hayo ni mambo ya kijima.Hawa wana wivu tu na familia ya Mwalimu,kwa sababu mambo yao yako vizuri.Yeye huyo Anthony(kwanza sio Nyerere ni Masanza) awaelezee watu utajiri aliokuwa nao umeenda wapi? Sio anaonyesha picha kuwa yeye ni maskini na amekuwa hivyo siku zote.
Phillemon unayosema ya kweli. Mbunge mmoja wa jimbo jirani na kwetu ambaye ni mwislamu na ni profesa (siku hizi nasikia wakimwita "alhaji profesa"), aliposikia habari za awali za chuo hicho (kabla ya Mkapa kukizindua), alikuwa anawakejeli wenzake wanaounga mkono wazo hilo. Niliwahi kumsikia akimwambia mwenzie mmoja "na wewe na elimu yako unashabikia university ya wajahidina? nitashangaa sana nikiona unapeleka mwanao huko!". Kumbe si peke yangu niliyemsikia, ijumaa iliyofuata maneno yake yakakemewa vikali katika tahariri ya gazeti la Annuur, bila kumtaja jina.
.Hiki ni chuo kikuu cha waislamu au cha kiislamu? Swali hili bado gumu kulijibu practically. Wengi wanaona kama ni cha waislamu na pa ni cha kiislamu. Uongozi wote ni wa waislamu na ni wa kiislamu. Wanafunzi karibu wote ni waislamu. Wapo wachache wenye majina ya kikristo na yasiyo ya kidini
Majuzi nilikuwa Dar nikasikia jinsi hao wachache walivyojiunga huko. Ilikuwa mjadala miongoni mwa waliomaliza form six, na walikuwa wanajadili swali hili: ati "kipi bora kati ya kutokwenda chuo kikuu kabisa na kwenda chuo kikuu cha waislamu Morogoro?" Wapo waliodai kuwa kuliko kukosa kabisa cheti cha degree, bora kwenda huko MUM. Wengine wakasema wako radhi waanze na diploma mahali pengine kuliko kwenda huko MUM. Sikubahatika kujua dini zao. Mtu mmoja aliyekuwa anafuatilia mazungumzo ya wale vijana akawauliza huko MUM kuna ubaya gani? Wakajibu kwa pamoja "tutaajiriwa wapi, Afghanistan?"
Kwenye prospectus yao (inapatikana kwenye mtandao), wanasema ndani ya chuo kuna msikiti (ninavyofahamu yale majengo ya TANESCO hayakuwa na msikiti ndani), lakini watu wa dini nyingine wanashauriwa wafuate ibada nje ya campus. Lakini mimi niliwahi kwenda Uholanzi nikakuta msikiti ndani ya chuo kikuu cha kikatoliki (kulikuwapo pia na chapel kwa ajili ya wakristu). Nadhani kuna mambo mengi bado ya kurekebisha ili kiweze kuwa secular kweli na kiweze kuvutia pia wanafunzi wa dini nyingine. Hata hivyo sidhani kwamba kikitangaza rasmi ni cha kidini kutakuwa na ubaya wowote, ni haki yao. Majengo yale walipewa bure kama taasisi ya kiislamu, kwa hiyo sioni ubaya wakiyatumia kama taasisi ya kiislamu. Na pia nadhani si lazima watu wa dini nyingine wakasome huko, kwani siku hizi kuna choices nyingi. Na pia si lazima waislamu wakasome kwenye chuo hicho pekee, nao pia wana choices nyingi. Ila kama kuna wanaotamani chuo hicho kiwe secular kweli, basi kuna changamoto nyingi kama hizo.
Sina chuki yoyote dhidi ya mwislamu yoyote wala dhidi ya uislamu. Wala sikushirikiana na profesa huyo kusema hayo. Nilimsikia tu, na wengine pia walimsikia wakamkemea kwenye gazeti. Soma tena posti yangu utaona ndivyo nilivyosema.Kithuku maelezo yako yamejaa chuki dhidi ya uislam na waislam. Wewe na huyo "Profesa" wako mmetumia vigezo gani kufikia hitimisho kuwa chuo kikuu kile cha waislam ni cha wajahidina? kwa kuwa "Profesa" muislam amewa kejeli waislam na wewe ume bandwagon ktk hilo sio?
QUOTE]
.
Tatizo lako nini hapo? umiliki au uendeshwaji? halafu unadai kuwa kuna wanafunzi wenye majina ya kikristo, kweli una chuki kwa hiyo sio wakristo sio? kwa taarifa yako kuna wakristo wanasoma pale na sio wenye majina ya kikristo
Sina tatizo lolote na umiliki wa hicho chuo. Ukisoma posti yangu yote utaona mwishoni nimesema hakuna ubaya wowote chuo hicho kumilikiwa au kuendeshwa kidini kwa kuwa taasisi inayokimiliki ni ya kidini. Swali langu ni secularism. Je chuo hiki ni secular kweli? Kumbuka nimesema kikiwa cha kidini pia ni sawa. Lakini kikiwa cha kidini na kikajiita secular ni sawa?
Hiki ni kichekesho cha mwaka! hivi ni wewe tu ndio mwenye bahati ya kukutana na "Profesa" muislam "wanafunzi wa form six" wote hao wakijadili MUM!. Kuna vyuo vikuu zaidi ya 29 vya madhehebu ya kikristo most of them they a merely glorified secondary school. MUM wanaweza kuwa na mapungufu yao lakini wako far better than hizo glorified secondary zenu...
Eti wataajariwa Afghastan je wale wa tumaini wataajiriwa wapi Vatican.
Siyo MUM tu inayojadiliwa linapokuja suala la elimu. Na wala si peke yangu mwenye bahati ya kukutana na watu uliowataja, wengi wanakutana nao na wana uamuzi binafsi wa kuyachambua wayasikiayo na kuwashirikisha wengine kama nilivyofanya mimi hapa. Vyuo vingi hujadiliwa sana na makundi ya kijamii wakiwemo wanafunzi kama hao niliobahatika kuwasikia. Hata UDSM inajadiliwa sana tu kwa mapungufu yake mbalimbali. Lakini nimetoa reference ya mazungumzo ya wanafunzi hawa kwa sababu nilikuwa nazungumzia MUM kwenye post yangu, kuchangia yaliyokuwa yamesemwa na walionitangulia ku-post. Ingekuwa mjadala unahusu UDSM, Tumaini n.k ningekuwa na ya kusema pia, na bila shaka ningetoa mifano.
Umekwenda mbali sana huko Holand, hapa hapa Tanzania kuna vyuo vikuu zaidi ya 19 vya kikristo je vingapi vina misikiti? Sijui kama unajua msikiti ni nini hata lecture room inaweza kugeuzwa ikawa msikiti hata uwanja wa mpira unaweza kuwa sasa wewe kuna kuuma nini?
Na wala sijasema vyuo vikuu vya kikristu vilivyoko Tanzania vina misikiti. Nimetoa kama changamoto kwa watanzania kwa sababu hii forum inasomwa zaidi na watanzania, kujenga utamaduni wa tolerance. Mifano mizuri yafaa kuigwa. Hapo nilikuwa natoa mfano wa university ya kikristu ambayo inaendeshwa ki-secular, hata kufikia kuwa na msikiti ndani yake. Nasi tukisema tunaendesha chuo ki-secular, tuonyeshe kwamba kweli tunamaanisha hivyo. Soma post yangu yote hutaona popote niliposema ati wakristu vyuo vyao ni secular zaidi, na narudia, tungekuwa tunajadili chuo (specific) cha kikristu ningekuwa na ya kusema pia.
Mwisho acha kuendeshwa na chuki hivi hiko chuo kimoja tu kinakukereketa hivyo mpaka una hoji na kupanga kiitwe jina gani?
Katika yote niliyosema chuki iko wapi? Kama nimesema vibaya, toa ushahidi wa neno hilo baya. Lakini kama nimesema vyema, kwa nini wanishutumu?
Niliwahi kumsikia akimwambia mwenzie mmoja "na wewe na elimu yako unashabikia university ya wajahidina? nitashangaa sana nikiona unapeleka mwanao huko!". Kumbe si peke yangu niliyemsikia, ijumaa iliyofuata maneno yake yakakemewa vikali katika tahariri ya gazeti la Annuur, bila kumtaja jina.
Tusaidie hivi hii kauli ilitolewa wapi? sokoni, kwenye kongamano, barabarani au kwenye baraza ya kahawa.Sina chuki yoyote dhidi ya mwislamu yoyote wala dhidi ya uislamu. Wala sikushirikiana na profesa huyo kusema hayo. Nilimsikia tu, na wengine pia walimsikia wakamkemea kwenye gazeti. Soma tena posti yangu utaona ndivyo nilivyosema.
.
Sina tatizo lolote na umiliki wa hicho chuo. Ukisoma posti yangu yote utaona mwishoni nimesema hakuna ubaya wowote chuo hicho kumilikiwa au kuendeshwa kidini kwa kuwa taasisi inayokimiliki ni ya kidini. Swali langu ni secularism. Je chuo hiki ni secular kweli? Kumbuka nimesema kikiwa cha kidini pia ni sawa. Lakini kikiwa cha kidini na kikajiita secular ni sawa?
Na wala sijasema vyuo vikuu vya kikristu vilivyoko Tanzania vina misikiti. Nimetoa kama changamoto kwa watanzania kwa sababu hii forum inasomwa zaidi na watanzania, kujenga utamaduni wa tolerance. Mifano mizuri yafaa kuigwa. Hapo nilikuwa natoa mfano wa university ya kikristu ambayo inaendeshwa ki-secular, hata kufikia kuwa na msikiti ndani yake. Nasi tukisema tunaendesha chuo ki-secular, tuonyeshe kwamba kweli tunamaanisha hivyo. Soma post yangu yote hutaona popote niliposema ati wakristu vyuo vyao ni secular zaidi, na narudia, tungekuwa tunajadili chuo (specific) cha kikristu ningekuwa na ya kusema pia.
Katika yote niliyosema chuki iko wapi? Kama nimesema vibaya, toa ushahidi wa neno hilo baya. Lakini kama nimesema vyema, kwa nini wanishutumu?
Kithuku,
Usiwafanye watu watoto wadogo hapa, hebu niambie what kind of coincidence is this, yaani wakati wewe unamsikia "Profesa" wa kiislam akisema maneno ya kejeli hapo hapo pia palikuwa na mwandishi wa gazeti la Alnur aka pick hiyo news sio? nanukuu tena ulichoandika:
Hapo la ajabu lipi? Kwani unajua tulikuwa wapi? Nini kinakufanya ufikiri kwamba hapo tulipokuwa waandishi wa habari hawaruhusiwi kuwepo? Au unabisha kwamba habari kama hii haijawahi kuandikwa kwenye tahariri ya gazeti nililotaja? Kwa hiyo kuna kosa gani kusikia jambo ambalo wakati huohuo mhariri wa gazeti alikuwapo, akalisikia na kulikemea kwenye gazeti lake?
Uongo wa kitoto kabisa. Wewe sema unachota kusema kukashifu basi.
Nimekutaka uthibitishe hizo kashfa nilizotoa. Sijaona jibu.
Do u have even a faintest ideas as to what it constitute secularism or religious one?
Kwa uelewa wako, secularism ni nini? Hapa ndipo mahali na hii ndiyo nafasi ya kuelimishana mambo kama hayo.
This is really interesting... yaani wakristu wenye vyuo zaidi ya 19 hukuona kuna umuhimu wa kuwapa changamoto ya kujenga misikiti ndani ya Unis zao bali waislam wenye chuo kimoja sio? Halafu umekosa mfano ktk vyuo vikuu vya kikristu Tanzania nzima ukapekua mpaka ukafika Holand ili kupata "changamoto" ya kujengwa kanisa.
Nakukumbusha kwamba sikuwa nalinganisha wakristu na waislamu. Hiyo ni mada tofauti kabisa.
Chuki yako iko wazi kwenye ujumbe uliotaka kuufikisha kuwa:
1. Chuo kikuu cha kiislam kiwango chake cha taalum ni cha chini mno kiasi ni bora hata kutokwenda, au its far better kufanya diploma sehemu nyingine kuliko digrii ya MUM.
Hiyo ni conclusion yako wewe, sikuyasema mimi. Nimeripoti tu kuhusu mjadala niliosikia. Na hao waliokuwa wakijadili hawakusema kwamba hofu yao ni kiwango kidogo cha elimu kinachotolewa chuoni hapo. Soma tena.
2. Chuo kinaongozwa/milikiwa na mujahidina ( ambao kwa tafsiri yako iliyo jificha ni watu wabaya)
Hayo pia si maneno yangu, kumbuka nimeyanukuu tu. Na wala sijasema hao ni watu wabaya. Sijui ni kigezo gani unatumia kuamua kuhusu tafsiri yangu hapo.
3. Chuo mbona kinapokea wakristu (wachache) ilhali utawala na umiliki wote ni wa waislamu ( hii sijui kwanini inakukereketa)
Wala hili halinikereketi hata kidogo. Vyuo nilivyosoma mimi sina umiliki wowote huko na sijaona taabu yoyote inayohusiana na umiliki.
Narudia kama unataka kuwa mtenda haki tuambie vigezo vilivyo pelekea wewe ku hitimisha kuwa ni bora kusoma diploma kuliko kwenda MUM.
Hilo pia sikuhitimisha mimi, hebu kasome tena uone nani aliyesema hivyo.
Haya pia ni mawazo yako lakini hayana msingi wowote katika niliyoyasema.It sound ulikuwa unafanya research ya viwango vya taalum vya vyuo vya kidini Tanzania lakini ume "specialise" na chuo pekee ya kiislam.
Hebu na wengine waamue, nani mwenye chuki kati ya mimi na huyu kanda2?
Hapo la ajabu lipi? Kwani unajua tulikuwa wapi? Nini kinakufanya ufikiri kwamba hapo tulipokuwa waandishi wa habari hawaruhusiwi kuwepo? Au unabisha kwamba habari kama hii haijawahi kuandikwa kwenye tahariri ya gazeti nililotaja? Kwa hiyo kuna kosa gani kusikia jambo ambalo wakati huohuo mhariri wa gazeti alikuwapo, akalisikia na kulikemea kwenye gazeti lake?
Nimekutaka uthibitishe hizo kashfa nilizotoa. Sijaona jibu.
Kwa uelewa wako, secularism ni nini? Hapa ndipo mahali na hii ndiyo nafasi ya kuelimishana mambo kama hayo.
Nakukumbusha kwamba sikuwa nalinganisha wakristu na waislamu. Hiyo ni mada tofauti kabisa.
Hiyo ni conclusion yako wewe, sikuyasema mimi. Nimeripoti tu kuhusu mjadala niliosikia. Na hao waliokuwa wakijadili hawakusema kwamba hofu yao ni kiwango kidogo cha elimu kinachotolewa chuoni hapo. Soma tena.
Hayo pia si maneno yangu, kumbuka nimeyanukuu tu. Na wala sijasema hao ni watu wabaya. Sijui ni kigezo gani unatumia kuamua kuhusu tafsiri yangu hapo.
Wala hili halinikereketi hata kidogo. Vyuo nilivyosoma mimi sina umiliki wowote huko na sijaona taabu yoyote inayohusiana na umiliki.
Haya pia ni mawazo yako lakini hayana msingi wowote katika niliyoyasema.
Hebu na wengine waamue, nani mwenye chuki kati ya mimi na huyu kanda2?