Lowassa huu ni muda muafaka wa kumzika siasa, hakuna nukuu ya maana hata moja hapo
 
Maneno Kuntu .Wanaomdanganya mkuu wa nchi kwamba hakuna njaa,walaaniwe,Mungu ashushe hukumu yake kwao sasa hivi.
 
Pamoja na kauli za Rais Magufuli lakini hakuna kiongozi anaweza kulinganishwa na Rais Magufuli kwa dhamira yake ya vita dhidi rushwa.
Mzee Lowassa apumzike Tanzania inataka kiongozi aina ya Rais Magufuli.
Fikiria vizur kabla hujaandika, ulichokiandika kina uhusiano gani na mada iliyopo?
 
Pamoja na kauli za Rais Magufuli lakini hakuna kiongozi anaweza kulinganishwa na Rais Magufuli kwa dhamira yake ya vita dhidi rushwa.
Mzee Lowassa apumzike Tanzania inataka kiongozi aina ya Rais Magufuli. Ukweli nchi hii ilikuwa imefikia pabaya kama watu wanaweza kuchota bilioni 60 kutoka hazina ya kununua unifomu za Police halafu hazikununuliwa wala ofisi za kampuni hazijulikani kulikoni ?
 
1484552446697.jpg
 
Huu mwenendo wa viongozi wa kisiasa na serikali kwenda kutoa matamko kanisani ni hatari sana. Baadae italeta sura ya udhehebu na matatizo mengine. Kanisani ifanyike ibada si sehemu ya kulipuliana mabomu ....Kanisa la Tanzania wawe makini na siasa makanisani.
Kanisa nalo ni jukwaa la siasa...
 
Nisikilizeni kwanzaa mnasema njaa mnataka mi nikawapikie?nasema asanteni kwa kura nyingi mlizonipa
 
Kwani tetemeko lilikwenda ndizi zote,,,ina maana tetemeko lilipotokea ndizi zilienda chinii yaan migomba ilitumbukia chini nimepita kila sehemu nimeona
 
Kwenye selekali yangu ,nitaanzisha mahakama ya mafisadi.. Ili majizi yote kayae humo..
 
Watoto wenu niwasomeshe bure,hospital niwajengee,barabara niwajengee,umeme niwawekee na chakula niwalishee hilo haliwezekani kwenye awamu yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom