Habari,

Tunapoelekea 60 kama jamhuri hebu tujikumbushe matukio tofauti ya JPM.Mimi moja ya tukio ninalokumbuka ni la kutumbuliwa kwa aliyekuwa mkuregenzi wa jiji la Dar sikumbuki Jina lake. Ila nakumbuka tu aliuliza kwa sauti nimymbue nimuache raia wakajibu atumbuliwe. Kama Pilato vile akamtumbua. Bwana yule alipa Presha.

Tukumbushe mengine.
 
Mkurugenzi wa Jiji Bwana Kabwe
 
Watanzania kuuliwa na wengine kupotezwa(mfano mwenzetu humu Saanane)kwenye awamu yake na yeye kukimbilia makanisani eti aombewe na maaskofu uchwara eti wakawa wanamwombea!sitamsamehe kwa hili maana COCO beach ilikua pwani ya kuvua maiti za binadamu wenzetu sio tena sehemu ya kupunga hewa na kama kawaida ya watanzania tumeshasau haya na wanaendelea na maisha!!
 
Zamani zile watahudi walikuwa wanarekodi matendo ya kila siku ya wafalme wao. Kumbukumbu hizo ndiyo Imezaa vitabu vya wafalme na mambo ya nyakati.

Ni muhimu na sisi kurekodi matendo ya viongozi wetu ya kila siku, tena kwa mpangilio.
 
Mke wako anakudanganya kachelewa kwwnye foleni kumbe analiwa huko. Ufunguzi wa ujenzi ya barabara ya Kimara Chalinze
 
Jini ndiye aliyefanikisha kifo cha mawazo. Watu wote huku Sangamwalugisha tunafahamu hivo.
 
'Tumeishinda corona' 🤣🤣🤣🤣🤣

Alisikika punguani flani akipayuka miezi michache kabla ya kufariki kwa corona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom