Vijana wafanye kazi, wakishindwa kufanya kwa hiari yao wafanye kwa ladhima. Kamata peleka ndani, wakitoka huko watakuwa wamejua ASIE FANYA KAZI ASILE. Hii kauli ilikuwa ya kijasiri sana niliikubali. R I P JPM.
 
"Hili handaki ni kivutio cha utalii hapa Kilosa, unaweza kuja na mpenzi wako ukapiga hata picha hapa":D
 
“Laana nyingine tunajipa wenyewe..hata mbwa hajawahi kukosea akaingiza nyuma kwa mwanaume mwenzake’’
 
Bila shaka huko aliko kuna viumbe vinamuhoji kuhusu kauli zake tata kisha vifanye uamuzi aingie peponi au kwenye moto wa kuyeyusha vyuma
 
kama Rais wangu wa A.town Mh.Lema yuko ndani kwa ajiri ya watanzania wanyonge sasa nini nimejitoa muhanga kuitetea nchi yangu siwezi kuona nchi yangu inateseka kwa ajiri ya mtu mmoja tena mwenye a elimu ya kuunga waje hapa Atow kijenge mwanama waulizie tu swissme ni nani na nitawaeleza nao.


swissme
"Mungu oyeee"
Kanisani Chato. Akisherehekea kuidhibiti KORONA baada ya maombi ya kitaifa 2020.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom