Naombakuliza kwa mwenyeanajua natak kufungua card ya benk ambayo ni master card ya NMb nishingp kufungua !
download.jpeg
 
Aisee sishauri uombe mkopo NMB,hawa jamaa kama si tu ni kwamba hawajali mteja ila yawezekana wameridhika na biashara yanayofanya isiyohitaji nguvu kubwa ya tenda ya kuweka mishahara watumishi wa uma.

Kwakweli niwe mkweli NMB mmenikera na sifikirii nitamshauri mtu aje akope au hata ajisumbue kufungua acount kwenu,kwa hili nawaahidi nitakuwa kinyume na nyinyi popote nitakapowaona.

Sijawahi kuwaza mna mambo ya kijinga kiasi hiki.
 
Ndugu _katika matawi ya nmb kuna masanduku ya maoni kote hivyo ulipaswa kutoa maoni yako, ukieleza lalamiko lako kwa mtririko mzuri , usiaminishe wana jamii kuwa nmb matawi yote au watumishi wote wako hivyo hapana sio sahihi ,

Eleza umefanya nini , kimetokea nini na umefikia hatua gani

Wapo watumishi badhi wa nmb sio wakweli wala waaminifu na wanajihusiha na tabia mbaya kinyume na mahitaji na malengo ya nmb lakini usifanye genelisation kwakweli !
 
Ndugu _katika matawi ya nmb kuna masanduku ya maoni kote hivyo ulipaswa kutoa maoni yako, ukieleza lalamiko lako kwa mtririko mzuri , usiaminishe wana jamii kuwa nmb matawi yote au watumishi wote wako hivyo hapana sio sahihi ,

Eleza umefanya nini , kimetokea nini na umefikia hatua gani

Wapo watumishi badhi wa nmb sio wakweli wala waaminifu na wanajihusiha na tabia mbaya kinyume na mahitaji na malengo ya nmb lakini usifanye genelisation kwakweli !

Ndugu kwa jinsi nilivyo ningekuwa na tatizo na mtu mmoja mmoja ilikuwa ni kumwambia tu,kama nilivyowafuata hapa nmb,maana kinachofuata sasa si kuwaambia kwa utaratibu huu,bali ni kushauli watu waachane na huduma zao kukwepa usumbufu usio wa lazima.

Itakuwa ni ajabu lingine na kuendelea kudhihirisha uzembe kwa taasisi kama NMB mpaka sasa kutotambua kwamba kuna malalamiko yepi kwa sasa.huu ni muendelezo wa uzembe.

Sijawahi kufuatili mkopo taasisi yoyote,tena mkopo mdogo kabisa kwa miezi miwili tena bila maelezo ya msingi,huu upuuzi unapatikana benki ya nmb peke yake.
 
Nikitaka kuja kufungua Account NMB nije na nini cha muhimu ili niifungue siku hiyo hiyo?
 
Toeni salary advance kama mtu ana dharura imsaidie mbona mlianza vizuri? Kama huduma imesitishwa pia mseme kwani kila ukiomba unaambiwa Masaa 48 ambayo nayo yanapitiliza. Tunahoji humu mpo kimya
Mbona huduma ipo active bro,sena ukikopa mara moja ndani ya mwezi huwezi kopa tena hata kama ulikopa hela chini ya kiwango chako ulichowekewa kukopa
 
Nmbtz
Huu Uzi kama hamna kazi nao ni bora tu Mods waufunge.

Haiwezekani mnakaa miez yote hiyo kimya bila kuwasikiliza wateja wenu wanaowaslisha malalamiko yao humu.

BADILIKENI AISEE
 
Nilifungua NMB Account Dodoma kadi inaisha muda leo trh 30 Sep..nimeshajaza fomu tangu trh 20 yakuomba kadi itumwe tawi lililopo mbeya je itanichukua siku ngapi hadi kadi yangu kufika Mbeya nagarama mnakata nikiasi gani.?
 
Hawa NMB TANZANIA sijui wamepatwa na nini. Wiki iliyopita kuna rafiki yangu alienda kukopa ili atusaidie masela wake tunaotaabika mtaani, akaambiwa ndani ya masaa 24 mkopo utakuwa tayari.

Leo wiki imepita hamna MKOPO na akiwapigia hawapokei simu. Huenda wamezuiliwa kutoa mikopo.
 
"Ndugu Mteja
Katika kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja,tunapenda kukushukuru kwa kuwa mteja wetu na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora kwako wakati wote".NMB

...TOENI MIKOPO KWA WATUMISHI KWA WAKATI...

Siyo muwambie eti ndani ya masaa 24 kumbe ni zaidi ya mwezi. Na mtoe salio la mkopo ili watu wahame siyo kuwazungusha ili wakate tamaa ya kufatilia.
 
NMB leo mmeniboaa kishenzi nimeenda tawi la Dodoma Br kutoa mpunga kwenye ATM mmenikata salio lakini mpunga haujatoka sasa kaniambia ATM limefeli network mm nitaishije bataa nimeingia ndan nimetuma malalamiko bado hamjarudisha mkwanja wangu mfyuuuui
 
Nmb klik app inafell , nafenyi mpango kua access app, namba ya simu uliyo jisajili isiwe lazima iwe slot 1 kwenye simu
 
Back
Top Bottom