Karibu Bay port uchukue mkopo fast mkuu
 
Naona hakuna majibu toka kwa wahusika hakuna haja ya kukoment nn???? Pale Tukuyu branch ATM machine kuharibika kulipa mda unakuwa huna uhakika kama utapata Pesa ukipita muda ambao ndani wamefunga
 
Benki yenu haibadiliki ipo ipo tu kwanini msiwe wabunifu ? Watu wanatafuta hela kwa shida kwenda kutunza hela zao na kuchukua pia wapate shida ? You have to be creatives and avoid conservatism.

Yes nilikuwa nikitamani kujiunga na Nmb ila nikiangaliaga folen ya kuchukua Pesa nakataga tamaa wabadili mfumo uwe faster”
 
Nmb kwanini Kufungua account ya kikundi ni mzunguko sana? yaani hadi unawezakukata tamaa, nikipiga hesabu nauli tu inakaribia hela ya kufungulia, nenda rudi ni nyingi hadi tunachoka.
 
NMB hebu naomba kuelimishwa HATI FUNGANI ,je nikitaka kila baada ya miezi 3 ,nipate faida million moja ,niweke shs ngapi ?
 
Napenda kuuliza katika NMB Kuna kitu kinaitwa SARALY ADVICE lakin mim Nina apps ya NMB CLICK kila nikijaribu kutaka kuchukua saraly advice wanasema your transaction is not complete tembelea tawi lolote la nmb ukiwa na passport kwann Sasa wakati wengine wanachukua kirahisi msaada hapo
 
Ungs
unganisheni acount zenu na paypal ili watu tusipate tabu kutoa hela za mtandaoni
 
Hivi hawa jamaa wa NMB huwa wanasoma Maoni yetu wateja? Dijawahi kuona hata ck moja wakijibu hoja au malalamiko ya wateja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…