Tupieni Jicho pale goba kwenye duka lenu kuna mdada mmoja hivi yeye hajali foleni nikubwakiasigani,anaondoka nakuacha wateja kibao wakilalamika yeye anadai ananjaa ,kisha anawasha mark2 grand mpaka goba center unamkuta napigastory namijamaa tu namiuniform yake
 
Hivi unaweza kufungua akaunti 2 katika bank moja? Nina akaunti NMB ila unataka niongeze nyingine kwa ajili ya maswala ya betting tu, nimeona naingiza pesa nzuri kwa hiyo kazi
 
xasd as rsas as sw as as aa as aszqsassSasqqsdasssde ASA kka as re SD as r as qsskwewsde GH
 
Naitaji kufungua akaunt ya muda maalumu na nianze na mtaji wa milioni mbil je kila mwezi itazaa sh ngap?
Hii pia ni shida yangu.. Nilisikia kwenye redio kuna fixed account NMB ambayo inazalisha 9% ya pesa yako annually.. Hii fixed account unaweka pesa kwa miaka miwili nadhani NMB naomba ufafanuzi
 
Mimi napendekeza mpunguze makato ya kuhamisha pesa kwa njia ya nmb mobile maana Vodacom wanakata ukianza tu kufanya transaction pia ninapoitoa pesa inanibidi Tena nitoe kwa mpesa Napo Kuna makato tuangalie kwa hili sisi tuliopo mazingira yaliyo mbali na ATM machine tunapata tabu sana
 
Nakushauri ubadili namba, tumia airtel in free kabisa kutumia NMB Mobile. Hao voda washenzi kabisa.
 
Reactions: lnx
Hii pia ni shida yangu.. Nilisikia kwenye redio kuna fixed account NMB ambayo inazalisha 9% ya pesa yako annually.. Hii fixed account unaweka pesa kwa miaka miwili nadhani NMB naomba ufafanuzi
Kuna jamaa kaniambia kila mwezi unapewa 9% yako mfano nikiweka milioni 2 napata 180,000/= kila mwezi je ni kweli ?
 


Naomba ufafanuzi kidogo kuhusiana na huduma zenu Mimi in mtumishi Mwl nlikua na mkopo nlikopa 2015 sasa wiki iliyopita nikaenda kufanya topup nikaambiwa naweza kopa milion 6 na makato yakawa 146,000/= kwa mwezi na napata 2,900,000/= baada ya makato yote lkn Leo wananipigia wanasema kuna mabadiliko naweza kopa milion 4 na makato yatakua 106,781/= baada ya kila kitu napata 1,090,000/= Naomba kufahau ndio utaratibu wenu mpya au ni wa eneo nililopo tu? Ahsante kazi njema!
 
NMB naomba majibu ya haya mambo yafatayo! Ninataka kufungua akaunti ya kapuni ila ofisi zangu ziko moro mimi naishi shinyanga na mkurugenzi mwenzangu anaish mbeya wa mbeya kanitumia dokument zake zote zipo,na mm zangu zipo sasa nambiwa huyu wa shinyanga hawez fungua mpk ile barua ya mtendaji iliyomtambulisba wa mbeya itumwe na benk na siyo kutumwa na basi mm nkaipokea hapa
 
NMB KLINK NI APP MPYA NA YAKISASA? INAHITAJI SIM ILIYOSAJILIWA NMB MOBILE IWEPO (SIO TATIZO) ILA SIM HIYO NDIYO ITUMIKE KWENYE DATA! NI TATIZO KUBWA WASOMI HAMJALITAMBUA (SEHEMU ZINGINE UMAKUATA LAIN ULIYOSAJI MTANDAO HAKUNA. CAN YOU FIX IT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…