Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Unaona!!! Nawe kuna vyakula haupendi.....sasa kuna ajabu gani mie kusema sipendi ugali?😂😂 kabeji labda nilikula utotoni
Unaona!!! Nawe kuna vyakula haupendi.....sasa kuna ajabu gani mie kusema sipendi ugali?😂😂 kabeji labda nilikula utotoni
Sawa Angy BabyKwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Wengine tumetoka kula mchana, mbona mnatutisha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ugali Ni project ya ccm kulemaza watz
We mola wangu!!i iKukataa kula ugali kwamba ni chakula kubaya, sijui kwenye ladha ama kwenye muonekano halafu ukakimbilia wali ndio naona vituko.
Kiafya wali ni wa hovyo kuliko ugali maana wali una vitu 3 kwa pamoja, chumvi nyingi ambayo ni hatari kwa moyo, mafuta mengi na wanga nyingi.
Kwenye health benefits, wali ni hovyo kuliko ugali.
Ndio maana siku hizi watu wamejaa mavitambi unadhani wana mimba sio wanawake sio wanaume...Ugali kitimoto rost maji ya kunywa baridiiiiiiiii weeeuweeee
Leta andiko lako ambalo sio la mainstream kuelezea chumvi faida zake. Maana kusema tu kwamba chumvi ni electrolytes bado ni mainstream education. Leta ya kwako modern utudundishe tuelewe.Tangu lini chumvi ikawa kitu kiibaya ? Chumvi ni electrolytes inaupa Moyo nishati ya umeme na mwili kuwa na energy. Ndio maana mnapata Matatizo ya Moyo mnaanza kuhangaika.
Hizo elimu zenu za mainstream zinawapotosha sana
i i
Ndio maana siku hizi watu wamejaa mavitambi unadhani wana mimba sio wanawake sio wanaume...
Ndiyo. Mbegu ya Mahindi ililetwa na Wareno kutoka Mexico. Kabla ya hapo ugali wetu ulikuwa wa mtama, uwele na ulezi.Unamaanisha hatukua na zao la mahindi kabla ya ukoloni??
huo siyo ugali anaousemea. hiyo inaitwa ndaga ikichanganywa kidogo na unga wa muhogo. Ugali wa unga wa mahindi ndio wa kishenzi kabisa. umechangia sana kudumaza akili za waafrika wa kusini mwa Jangwa la Sahara hadi CCM inatawala tu bila hata heka heka.Bado hujala ugali wa mtama na uwele na kuku wa kienyeji aliyeungwa kwa maziwa wewe.
Wali?Chips, tambi, mihogo, viazi, chapati etc, ugali siupendi asee
Kwani unaliwa Tanzania Tu?Ugali Ni project ya ccm kulemaza watz
Lengo lako hasa NI NINI? Afya?Mimi naenda hivi
Asubuhi
Chai ya rangi, bila sukari wala asali
Smoothie mix ya yogurt, ndizi mbivu, avocado, tende, korosho au karanga mbichi na mayai 2 ya kuchemsha
Mchana
Viazi vitamu/ maboga,/mihogo/ndizi mzuzu/mshale na samaki au kuku, maharage/ njegere na mboga za majani
Jioni
Chai rangi, matunda, korosho
Jtatu na Alhamis : fasting
Daku: saa11 alfajiri chai rangi na tende 5-7pcs
Iftar Jioni: samaki/kuku/maharage/njegere/ na mihogo/viazi vitamu/boga/ndizi mzuzu na tende
NB: naishi jirani na ofisi kwa hiyo muda mwingi nakula nyumbani
Pilau/Biriani kwa sikukuu tu kama kuna ulazima
Naupenda sana, sanaaaWali?
Leo ugali unasimangwa na kupewa kejeli zote wakati ndio umewakuza watu. Lkn mi mwenyewe siupendi basi tu nimekosa substitute yake kwenye kitimoto na Mbuzi moto.![]()





Laki tano tu mmeanza kugoogle madhara ya kula ugali aya JF ina matajiri!



