Nakubalicombination bora kabisa ya ugali hii hapa
Ugali dagaa+tembele au Mlenda
Ugali kitimoto
Ugali nyama choma (mbuzi)
ugali hoyeeee
Hamna ulichokwepaWali, tambi, chips, chapati, viazi vitamu vya kuchemsha, kaanga, mihogo kaanga, mihogo ya nazi nyama, ndizi, makande ni vingiiii
Hii hoja naiunga mkono asilimia mia!humu matapeli ni wengi sanaa
Weka na glasi ya mtindiNakubali
šššš Kweli mkuu.humu matapeli ni wengi sanaa
Sasa nyama choma tule kavu?
Nafikiri baada ya miaka kadhaa itakuwa historia kwa wajukuu.Wakoloni walileta mbegu za mahindi kwa ajili ya mifugo, wamatumbi wakafanya ndalilo na hadi leo eti wanaita ugali kuwa ni chakula chao cha asili
Umesema kweli kabisa.Nafikiri baada ya miaka kadhaa itakuwa historia kwa wajukuu.
Maana kuna wafugaji siku hizi wanalima mahindi kwa ajili ya mifugo tu
Mimi nimekulia Wali na nyama kwa sana ila ugali ilikuwa kwa mwaka tunaweza kula mara tatu tu au nne na wengine walikuwa hawali kabisa
Ila ndio walivyofundishwa wengi na ndio main meal ya Waafrika wengi
Ila wengine ni Mikate na chapati
HeeeKwani ugali ndio nini ?
Haswa, yaani kuna wakati unasema ni chakula cha kimasikini sana.Umesema kweli kabisa.
Nilikuwa nashangaa watu wakitapa eti ugali ni chakula cha wanaume, kwangu ilikuwa ni kama vile wanasema ugali ni chakula cha mang'ombe.
Ukiondoa kudumuza akili, pia ugali ni hatari kuliko soda katika kuongeza mwili pia ni chanzo kikubwa cha kisukari kuliko vyakula vingine.
Tatizo haiwezi ikatangazwa sababu kiuhalisia mpaka sasa hakuna substitute ya ya ugali, hivyo inafinywa wanabaki kuziandama soda.
Ila chapati kwa kunenepesha haina mpinzaniWali, tambi mbona vingi tu