Nakula mara mbili mlo wa kwanza saa5 au 6.. soup+avocados+tango+gimbi kipande.. mlo wa pili before saa1 usiku hii sigusi Wanga yoyote ni aidha soup,samaki,nyama za kuchoma,mayai,mboga za majani nk nkipataga karanga,korosho,almond naongea katika iyo miloNini mbadala wa ugali? Hasa mchana
Sasa mbona vyote hivyo ni wanga tu kama ugali....hapo unakua umebadilisha tu aina ya chakula ila content ni ile ile.Wali, tambi mbona vingi tu
Jaman watu tumetofautiana sana, hiv vyakula vingne nitakula ila bila ugali hamna kitu, nikila ugali nahisi nimekula chakula mwili unakua mkakamavu, ila sijui viazi, tambi, mihogo, wali, chips, hamna kitu mwili unakua lelemamaTofauti na ugali/wali ni chakula gani kingine ambacho unaweza kula
Sijasema sipendi wanga nimesema SIPENDI UGALISasa mbona vyote hivyo ni wanga tu kama ugali....hapo unakua umebadilisha tu aina ya chakula ila content ni ile ile.
Kitendo tu cha kusema eti ugali hauna nutrients sijui ni useless meal kinatosha kabisa kutuonesha kuwa wewe ni msomi uchwara au kwa lugha sahihi ambayo unaonekana kuipenda nikuite semi-illiterate, ugali wa mahindi ambao hayajakobolewa ukichangwa na unga wa udaga kiasi una nutrients unakuwa na nutrients nyingi mno muhimu mwilini, hapa sizungumzii mahindi ambayo yamepuliziwa dawa tangia yakiwa shambani, nasemea mahindi ambayo unayalima mwenyewe kando kando ya mto bila kutumia chemicals zozote zile mpaka unayavuna na kuyapeleka mashineni kuyasaga.Siyo msomi uchwala wala mbumbumbu, niko well exposed na well learned. Sili chips, ngano, wali wala ugali, sinnywi soda wala situmii sukari yoyote miaka 7 sasa, nina miaka 54, fit as a fiddle, sijui HBP wala sukari! Nakimbia marathon 2 kwa mwaka, ambao niko nao umri huo wote wana sura na miili ya kizee, vitambi vya utapiamlo kuendekeza hoyo mavyakula! Ila in nutritional sense sili kama unavyokula ugali wewe ukajiona eti ndiyo una akili!
Wajinga hawa, hawa ndio wale ambao wakipandishiwa mshaara tu kutoka laki 5 hadi laki 8 wanaanza kusema boda boda sio usafiri na kuutoa kasoro.Hawajielewi hawa
Ova
Nenda kasome chat GPTKitendo tu cha kusema eti ugali hauna nutrients sijui ni useless meal kinatosha kabisa kutuonesha kuwa wewe ni msomi uchwara au kwa lugha sahihi ambayo unaonekana kuipenda nikuite semi-illiterate, ugali wa mahindi ambao hayajakobolewa ukichangwa na unga wa udaga kiasi una nutrients unakuwa na nutrients nyingi mno muhimu mwilini, hapa sizungumzii mahindi ambayo yamepuliziwa dawa tangia yakiwa shambani, nasemea mahindi ambayo unayalima mwenyewe kando kando ya mto bila kutumia chemicals zozote zile mpaka unayavuna na kuyapeleka mashineni kuyasaga.
Kama unakataa mahindi na wanga kwa ujumla na kisha kupendelea zaidi organic food hapo nakuunga mkono, lakin kama unapondea ugali na kujifanya eti unakula wali na machips hapo utakuwa hamnazo.
Watu tumekula ugali na mboga za majani tangu udogoni na afya zetu ziko imara, binafsi huwa namalizaga hata miaka mitatu sijaugua gonjwa lolote zaidi ya mafua tu.
Sawa ila haya ni maajabuSijasema sipendi wanga nimesema SIPENDI UGALI
Kwa hiyo hao wakerewe na wasukuma kula kwao ugali kama chakula kikuu ndio kumepelekea kuwa hivyo jinsi unavyowaona eti uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo? Halafu nyie wahaya ndio mna uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo sababu hamlii ugali?kweli wahaya wanapenda sifa Ila hakuna binadamu amabaye hapendi kusifiwa Ila wahaya wamezidi.
Hata ukitazama jamii za watu wanaokula ugali Sana Kama Wasukuma , ukerewe n.k uwezo wao wa kuchanganua mambo kiakili ni mdogo Sana hauwezi ukafananisha na jamii ambazo hazitumii Sana ugali Kama Wachaga wa Moshi , wahaya wa Bukoba n.k
Mtani, najua hapo unaotaka kupigia debe matoke ambayo ndio chakula chenu kikuu na kuuponda ugali kwa vile sisi tunaupenda.Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Sitimiagi chatGPT natumia deepseek mimi, na pia kabla hujanipeleka kwenye hayo madesa ya huko kwenye chatGPT niambie je kuna binadamu ambaye hajawahi kuugua mafua hasa ambaye anashinda kwenye mazingira yenye vumbi kama haya yetu bongo hapa?GPT/AI
Eating certain types of food or living in poverty touches on both societal debts and cultural norms, but in different ways. Here’s how to understand it:
1. Eating Certain Types of Food — Mostly Cultural Norms
2. Living in Poverty — Often Related to Societal Debts
- What people eat and how they prepare food is largely shaped by cultural norms — traditions, religion, climate, and available resources.
- For example, eating ugali with vegetables in Tanzania or rice and fish in coastal regions is part of culture.
- These habits are passed down generations and create identity and community
When They Overlap
- Poverty is usually linked to societal debts, especially when caused or worsened by historical injustices, unequal access to resources, education, or opportunities.
- For example, communities kept in poverty due to colonization, land dispossession, or unfair economic systems are experiencing the effects of societal debts.
- Poverty is less about culture and more about systemic inequalities and obligations society owes to its members.
- Sometimes cultural norms around food are influenced by poverty. For example:
- Eating cheaper, filling foods (like ugali, cassava, or porridge) because they are affordable.
- This can become a cultural norm over time but originated from economic necessity — a sign of societal debt
Nenda kasome chat GPT
Mafua ni dalili ya kuwa na immunity ndogo au kula chakula kisichofaa!
Lishe bora huimarisha mfumo wa kinga, na husaidia mwili kupambana na virusi vya mafua.
Matunda yenye vitamin C (machungwa, limao), vitunguu saumu, tangawizi, na mboga za kijani ni msaada mkubwa.
😁😁😁😁Mtani, najua hapo unaotaka kupigia debe matoke ambayo ndio chakula chenu kikuu na kuuponda ugali kwa vile sisi tunaupenda.
Kuhusu hilo la pili, uliahidi tisheti wakati unatuomba kura mwaka ule. Cha kushangaza umezileta mara tu kipindi chako cha Ubunge kimefikia kikomo ili kutuzuga. Rudi tu ukaandike vitabu vyako watu wavisome.
😁😁😁🙌🏽Kwa hiyo hao wakerewe na wasukuma kula kwao ugali kama chakula kikuu ndio kumepelekea kuwa hivyo jinsi unavyowaona eti uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo? Halafu nyie wahaya ndio mna uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo sababu hamlii ugali?
Yaan unatwambia kuwa usipokula ugali automatically wewe unakuwa na akili nyingi, ukila ugali uwezo wako wa kiakili unakuwa duni? Serious?
Wewe jamaa mbona ni mpumbavvu hivyo? Halafu hata hujishtukii, wewe ni nani hasa mpaka unakuja na hii conclusion ya kipuuzi hivi?
Halafu nyie wahaya mna nini cha maana mpaka unajiona ni watu wenye akili kuliko wengine?
Hapa Tanzania hakuna kabila lenye watu wa ovyo kama wahaya, nyie ni washenzi na wajivuni wa kipumbavu licha ya kusoma kwenu.
Kitendo cha wewe kuja na hypothesis ya kipumbavv hivi ni kielelezo tosha kuwa nyie wahaya ni majitu ya ovyo na hamna lolote la maana la kuigwa zaidi ya kuprovoke watu na majivuni yenu ya kifala.
Nipo site na wana hapa wamelizungusha tunapiga.Mimi bila ugali naona kama nakuwa sijala aiseeView attachment 3388684
Ndizi, viazi, wali, mihogoNini mbadala wa ugali? Hasa mchana
Uache dharau zako za kihaya falaa wewe.😁😁😁🙌🏽