Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,765
- 5,835
Sasa kitimoto nilie na nini!
Sawa kabisa,huenda miili iliyojazwa ugali imejengeka bila kwenda gym kwa kazi ya mituringa ya kubeba maboksi.Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym. Nenda usukumani na ukuryani, 97% ya main dish yao ni ugali lakini huwezi kukuta wako overweight.
Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine, wanga haukwepeki kwenye maisha. Saa kusema ugali ni mbaya halafu unakula wanga nyingine mfano kwenye mkate, cake, wali nk hapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.
Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.
Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Nyie nao mnakulaje ugali wa makapi? Huo ndio ugali ambao ni useless sasa, ugali ambao mahindi yake hayana kiini.Nipo site na wana hapa wamelizungusha tunapiga.
Ndio maana udumavu wa akili ni mkubwa sana Africa hasa nchi za kusini mwa jangwa la sahara, haya mahindi yanatakiwa kuchunguzwa vizuri.Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Tulikosa dona,Nyie nao mnakulaje ugali wa makapi? Huo ndio ugali ambao ni useless sasa, ugali ambao mahindi yake hayana kiini.
Bila shaka mtakuwa ni watu wa dar nyie.
Mazoea na imani tu, unaweza kutoka hapo ulipo ukaenda kuishi sehemu hakuna access na vyakula ulivyozea na kuishi bila huo ugali. Chakula is more mental, unaweza kuwa na njaa usipofikiria chakula wala haikusumbui na ukiwa na imani unashiba kama huna hata ujaze tumbo vipi hautaridhika mpaka ule kile unachokiaminiJaman watu tumetofautiana sana, hiv vyakula vingne nitakula ila bila ugali hamna kitu, nikila ugali nahisi nimekula chakula mwili unakua mkakamavu, ila sijui viazi, tambi, mihogo, wali, chips, hamna kitu mwili unakua lelemama
Maajabu kwanini??? Wewe ni vyakula vyote unapenda??? Kabeji unaipenda??Sawa ila haya ni maajabu
Uliwezaje EMBU nambie ulikua unakula nini? Mimi na Cha kujifunza hapa.Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.
Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.
Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Labda wakati tunasuburi ugali uive ndio tunakula tambi kama warm up.Chips, tambi, mihogo, viazi, chapati etc, ugali siupendi asee
Ugali hauna faida yoyote kwanza...Ugali sio chakula......
Mi nimeanza kuukataa mdogo mdogo, yani mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kula ugali.
Mimi naenda hiviUliwezaje EMBU nambie ulikua unakula nini? Mimi na Cha kujifunza hapa.
Nimeipenda Sana ndugu Ila kwa sisi wasukuma tumezoea ugali ,wali , nyama,samaki, dagaa.Mimi naenda hivi
Asubuhi
Chai ya rangi, bila sukari wala asali
Smoothie mix ya yogurt, ndizi mbivu, avocado, tende, korosho au karanga mbichi na mayai 2 ya kuchemsha
Mchana
Viazi vitamu/ maboga,/mihogo/ndizi mzuzu/mshale na samaki au kuku, maharage/ njegere na mboga za majani
Jioni
Chai rangi, matunda, korosho
Jtatu na Alhamis : fasting
Daku: saa11 alfajiri chai rangi na tende 5-7pcs
Iftar Jioni: samaki/kuku/maharage/njegere/ na mihogo/viazi vitamu/boga/ndizi mzuzu na tende
NB: naishi jirani na ofisi kwa hiyo muda mwingi nakula nyumbani
Pilau/Biriani kwa sikukuu tu kama kuna ulazima
Mimi ni mswahili wa Pwani, nimeachana na mazoea na kujiongeza kwa afya zaidi. Sili zaidi ya saa 2, wala sherehe za usikuNimeipenda Sana ndugu Ila kwa sisi wasukuma tumezoea ugali ,wali , nyama,samaki, dagaa.
Una warm up au sio 😂😂😂😂😂Labda wakati tunasuburi ugali uive ndio tunakula tambi kama warm up.
😂😂 kabeji labda nilikula utotoniMaajabu kwanini??? Wewe ni vyakula vyote unapenda??? Kabeji unaipenda??