Nina miaka mitano sijala UGALI

Nina miaka mitano sijala UGALI

Wali, tambi mbona vingi tu
Kukataa kula ugali kwamba ni chakula kubaya, sijui kwenye ladha ama kwenye muonekano halafu ukakimbilia wali ndio naona vituko.

Kiafya wali ni wa hovyo kuliko ugali maana wali una vitu 3 kwa pamoja, chumvi nyingi ambayo ni hatari kwa moyo, mafuta mengi na wanga nyingi.

Kwenye health benefits, wali ni hovyo kuliko ugali.
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Kuna makabila bila misifa hayakamiliki.
 
Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym.

Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine.

Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.

Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Mkuu siku hizi wengi tuna magari, tunakula ugali na kukaa kwenye magari, tukirudi home tunakula ugali na kulala..yaani sio kama wazee unaosema, walikuwa wanakula ugali na wanatembea maili nyingi kwa mguu au wanafanya kazi kutwa nzima, ugali wote unatumika. Hata sisi tulipokuwa watoto miili ilikuwa mkao tu, sasa hivi ndio manyama yanaanza kuja
 
Kukataa kula ugali kwamba ni chakula kubaya, sijui kwenye ladha ama kwenye muonekano halafu ukakimbilia wali ndio naona vituko.

Kiafya wali ni wa hovyo kuliko ugali maana wali una vitu 3 kwa pamoja, chumvi nyingi ambayo ni hatari kwa moyo, mafuta mengi na wanga nyingi.

Kwenye health benefits, wali ni hovyo kuliko ugali.
Ugali is the ovyo-est kwangu, mimi kama mimi hapana
 
Back
Top Bottom