Nina miaka mitano sijala UGALI

Nina miaka mitano sijala UGALI

Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
Daah hongera mkuu ila Mimi kukaa bila kula ugali sijui kama ntakuja kuweza.

Kaugali fulani kalainiiiiiii na rosti ya mdudu yenye tupilipili kwa mbaali ni kitu siwezi kukaa mwezi bila kula😅😅
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.
Wakoloni walileta mbegu za mahindi kwa ajili ya mifugo, wamatumbi wakafanya ndalilo na hadi leo eti wanaita ugali kuwa ni chakula chao cha asili
 
Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym.

Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine.

Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.

Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Kazi ninayofanya haitaji kutumia wanga Sana Mkuu .
 
Mimi bila ugali naona kama nakuwa sijala aisee
1000042371.jpg
 
Ugali sio chakula......
Mi nimeanza kuukataa mdogo mdogo, yani mwaka huu ndio mwaka wangu wa mwisho kula ugali.
Kwani mkuu ugali una issue basi?

Tunaukandamiza kwa mazoea na sifa eti: ...'bila ugali me sishibi'..., yaani ukishajengeka kisaikolojia namna hiyo unakuwa ka'ulishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha!

Mi niliishi miaka mingi bila kuonja nguna ad nikazoea!

Kwani wazungu wanaishije na kutoboa bila hayo makitu?

Ugali hauna umuhimu wowote katika mpangilio wa chakula.
 
Kwani mkuu ugali una issue basi?

Tunaukandamiza kwa mazoea na sifa eti: ...'bila ugali me sushibi'..., yaani ukishajengeka kisaikolojia namna hiyo unakuwa ka'ulishakula nyama ya mtu, huwezi kuacha!

Mi niliishi miaka mingi bila kuoja nguna ad nikazoea!

Kwani wazungu wanaishije na kutoboa bila hayo makitu?

Ugali hauna umuhimu wowote katika mpangilio wa chakula.
Kwanza chakula gani bila mboga hakiliki 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom