Nina miaka mitano sijala UGALI

Nina miaka mitano sijala UGALI

Naona maskini wa JF mko hapa kupondea chakula kilichowakuza wazazi wenu na nyie wenyewe pia.

Moja ya mada za kipumbavvu kuwahi kutokea hapa JF ni pamoja na hii, wewe mleta mada na wenzako wote wenye mawazo sawa na yako ni wapumbavvu wakubwa ambao hamjijui kama ni wapumbavvu.

Hili kuthibitisha upumbavvu wenu angalia jinsi mlivyowasilisha mawazo yenu hapa.
Hawajielewi hawa

Ova
 
ugali kabisa, naachaje kula? hata waseme ukila ugali unakufa, mpaka uniue
 
Unaweza ukajiona msomi kumbe ni msomi mpumbavvu, ovyo kabisa wewe aliyekwambia mgonjwa wa kisukari hali ugali ni nani? Umesoma wapi msomi uchwara wewe?

Na aliyekwambia hakuna nutrients kwenye ugali ni nani? Au unaamanisha ugali gani?

Yaan mko hapo kujifanya mnaponda ugali kumbe vichwani vyenu venyewe vimejaza makamasi na hamna mnachokifahamu zaidi ya kukisia tu.

Endeleen kula hizo chips na kitimoto hili mjaze machoresterols muwe waudhuriaji wazuri wa clinics za HBP Kabla hata mjafika 50s wajinga nyie.
Siyo msomi uchwala wala mbumbumbu, niko well exposed na well learned. Sili chips, ngano, wali wala ugali, sinnywi soda wala situmii sukari yoyote miaka 7 sasa, nina miaka 54, fit as a fiddle, sijui HBP wala sukari! Nakimbia marathon 2 kwa mwaka, ambao niko nao umri huo wote wana sura na miili ya kizee, vitambi vya utapiamlo kuendekeza hoyo mavyakula! Ila in nutritional sense sili kama unavyokula ugali wewe ukajiona eti ndiyo una akili!
 
Wee unafikiri ugali unalika tz pekee yake..
Nchi nyingi za afrika wanakula ugali miaka nenda rudi
Tena southern Africa ugali unatandikwa sana tu

Ova
Kweli Mkuu .

Nafikiri watu wanapenda Arguments Ila I don't think Kama uwasilishaji wa mawazo binafsi ya MTU unaweza kufanya watu Ku-provoke .

Mfano watu wanatafsiri kula ugali Kama umasikini na baadhi wanatafsiri MTU alieamua kuacha kula ugali amejipata .

Tuna tatizo kubwa Sana la uelewa na namna ya kufanya reasoning.

Unaweza kuandika jambo hapa Jamiiforum ambalo linalenga kuisaidia jamii Ila hilo jambo lisipate wachangiaji au Views

Huu Uzi unaohusu ugali mpaka sasa katika Nyuzi zangu tano zilizotazamwa na watu wengi na huu upo.

Hii imenifikirisha na kuona tuna jamii za kitofauti .
 
Kudharau ugali ni kujidharau wenyewe. Wale mnaokimbia ugali mkidhani ni umasikini hamjui njaa halisi Ugali si shida shida ni akili yenye njaa ya kuonekana matawi wakati kiuhalisia mmepauka hadi fikra
 
Ugali ukiwa na Mboga nzuri hakuna shida, pia inapendeza ukiliwa mchana na siyo usiku.
 
Kweli Mkuu .

Nafikiri watu wanapenda Arguments Ila I don't think Kama uwasilishaji wa mawazo binafsi ya MTU unaweza kufanya watu Ku-provoke .

Mfano watu wanatafsiri kula ugali Kama umasikini na baadhi wanatafsiri MTU alieamua kuacha kula ugali amejipata .

Tuna tatizo kubwa Sana la uelewa na namna ya kufanya reasoning.

Unaweza kuandika jambo hapa Jamiiforum ambalo linalenga kuisaidia jamii Ila hilo jambo lisipate wachangiaji au Views

Huu Uzi unaohusu ugali mpaka sasa katika Nyuzi zangu tano zilizotazamwa na watu wengi na huu upo.

Hii imenifikirisha na kuona tuna jamii za kitofauti .
Ugali siyo chakula cha kimaskini
Kama watoto wa 2000 wanavyofikiria
Ukienda zambia ukiwatembelea wale Madon, viongozi wa serikali nyumbani wakati wa chakula ugali haukosi mezani
Mfano mm najuana vzr na mama chiluba (mama cleofas)
Kila akikukaribisha chakula ugali lazima uwepo mezani...wenyewe wanaita nshima
Wasouth afrika ugali wao wanaita saza

Je Mimi ukisoma maelezo yangu nimeelezea kuwa ugali ni chakula cha kimasikini ?.
 
Kweli Mkuu .

Nafikiri watu wanapenda Arguments Ila I don't think Kama uwasilishaji wa mawazo binafsi ya MTU unaweza kufanya watu Ku-provoke .

Mfano watu wanatafsiri kula ugali Kama umasikini na baadhi wanatafsiri MTU alieamua kuacha kula ugali amejipata .

Tuna tatizo kubwa Sana la uelewa na namna ya kufanya reasoning.

Unaweza kuandika jambo hapa Jamiiforum ambalo linalenga kuisaidia jamii Ila hilo jambo lisipate wachangiaji au Views

Huu Uzi unaohusu ugali mpaka sasa katika Nyuzi zangu tano zilizotazamwa na watu wengi na huu upo.

Hii imenifikirisha na kuona tuna jamii za kitofauti .
Ambacho kinashangaza kwanini wapenda ugali wamechukia kujua kuna watu hawaupendi 😂😂😂

Kwamba ni lazma wote tuupende, uliliwa sijui na bibi na babu na shangazi zao so what???!!!

Ugali sio chakula 😂
 
Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym. Nenda usukumani na ukuryani, 97% ya main dish yao ni ugali lakini huwezi kukuta wako overweight.

Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine, wanga haukwepeki kwenye maisha. Saa kusema ugali ni mbaya halafu unakula wanga nyingine mfano kwenye mkate, cake, wali nk hapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.

Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.

Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Hawa wajinga wanapondea ugali hapa, halafu unakuta chakula mbadala wanachokipenda ni chips mayai(tena mayai ya kuku wa kisasa),tambi,chapati(ambazo zimepikiwa ngano iliyokoborewa) pamoja na majunky foodz kama pizza na buger.

Binafsi huwa namdharau sana mtu ambaye anakipondea chakula kilichomlea yeye na wazazi wake mpaka hapo walipofikia, halafu wakati huo anajifanya kusifia sifia na kushoboka na vyakula vya wazungu, wakati hata hivyo vyakula vya wazungu ni matatizo tupu.

Hawa wajinga akiwemo mleta mada watakuwa na mantiki kama wanaukataa ugali kisha wakaanza kula organic food pekee tu basi hasa matunda, maana huko ndio sehemu pekee utakayoupukana na kula wanga.
 
KAtika kosa nililowahi kufanya ni kujuana na wahaya! Siwapendi sana
🤪 Mimi nina mpenzi wa kabila hili, huwa ana majivuno na kujiona wa daraja za juu lakini kihalisia ni wa kawaida kabisa 😅.
Huwa wakati mwingine ananikera sana kwa hiyo tabia, ila imebidi nimvumilie tu maisha yaende.
 
Ambacho kinashangaza kwanini wapenda ugali wamechukia kujua kuna watu hawaupendi 😂😂😂

Kwamba ni lazma wote tuupende, uliliwa sijui na bibi na babu na shangazi zao so what???!!!

Ugali sio chakula 😂
Ahaaa .!!

Hakika Mkuu watu hawataki kusikia ukweli .

Wanakuambia huo ugali ndo umekuza babu na bibi zetu na umetukuza na sisi.

Hii ni kweli Ila kwa Mimi ambaye nimekueliwa mjini nakumbuka siku nilikuwa nikienda kusalimia Vijijini tulikuwa tukiwapelekea Mchele.

By that time ukipikwa wali watoto na watu wazima walikuwa hawalali kabisa .

Hii pekee ilikuwa inaashiria kuwa Ugali watu walikuwa wanakula kwakuwa they had no better option.

Wakati tunasoma Form four kuna Topic inaitwa Culture imeelezea vizuri kuhusu mambo Kama haya ya chakula.

Nilifikiria wasomi wa JF wanaojinasibu Kama great thinker waelezee ugali kwa picha ya tofauti . Ila wanasema kuwa

-Ukihama kwa shemeji
-umepata hela kidogo
-Sifa za kihaya 😁 - ni kweli wahaya wanapenda sifa Ila hakuna binadamu amabaye hapendi kusifiwa Ila wahaya wamezidi.

So tukiangalia zaidi jamii zetu unakuta MTU anakula ugali nusu na dagaa za miatano , inapelekea MTU kunenepa , kupata kisukari n.k

Hata ukitazama jamii za watu wanaokula ugali Sana Kama Wasukuma , ukerewe n.k uwezo wao wa kuchanganua mambo kiakili ni mdogo Sana hauwezi ukafananisha na jamii ambazo hazitumii Sana ugali Kama Wachaga wa Moshi , wahaya wa Bukoba n.k

Sasa hapa JF wanapima akili Kama kuwa na kadiploma au kadigrii wanasahau akili ni swala la reasoning na kuwa na kadiploma na kadigrii ni uwezo wa MTU kukariri.

So inafikirisha Sana .
 
😂😂😂 wapenda ugali wamekasirika mno, maneno yamewatoka.....mi naandaa lunch yangu hapa mihogo na nyama, naiwekea na nazi.

Sasa sijui mihogo ipo kwenye chakula cha kitajiri au cha kizungu 😂
 
🤪 Mimi nina mpenzi wa kabila hili, huwa ana majivuno na kujiona wa daraja za juu lakini kihalisia ni wa kawaida kabisa 😅.
Huwa wakati mwingine ananikera sana kwa hiyo tabia, ila imebidi nimvumilie tu maisha yaende.
Mkuu wahaya sio wajivuni Ila wao hutumia superlative language

Huongea kwa Ku-brag Kama umekaa nchi Kama UK ni kawaida Sana.

Kama ungekuwa unaelewa lugha ya kihaya usingekuwa unalaumu wahaya wao hupenda kuongelea jambo dogo Ila katika picha ya ukubwa the same waingereza

Kama unavyoona waingereza Ligi yao huwa ni ya kawaida Ila jinsi wanavyo ifanyia Brand na kuizungumzia MTU inamfanya aone ni ligi kubwa kuzidi ligi zote duniani.

So wahaya wanajikubali na huongea superlative language.
 
😂😂😂 wapenda ugali wamekasirika mno, maneno yamewatoka.....mi naandaa lunch yangu hapa mihogo na nyama, naiwekea na nazi.

Sasa sijui mihogo ipo kwenye chakula cha kitajiri au

😂😂😂 wapenda ugali wamekasirika mno, maneno yamewatoka.....mi naandaa lunch yangu hapa mihogo na nyama, naiwekea na nazi.

Sasa sijui mihogo ipo kwenye chakula cha kitajiri au cha kizungu 😂
Kuna huyo Muhimbu yeye anatukana watu tu, badala ya kuchangia kwa hoja!
 
Kwa sasa nimetimiza miaka mitano bila kula chakula aina ya ugali.

Kuhusu faida ni nyingi Sana mpaka sasa.

Nitazielezea Ila faida kubwa ni kuwa na mwili ambao umejengeka vizuri bila hata kwenda Gym.

"Niliwahidi tisheti nimeleta sijaleta "?
Picha ya mwili uliojengeka tafadhali
 
Hawa wajinga wanapondea ugali hapa, halafu unakuta chakula mbadala wanachokipenda ni chips mayai(tena mayai ya kuku wa kisasa),tambi,chapati(ambazo zimepikiwa ngano iliyokoborewa) pamoja na majunky foodz kama pizza na buger.

Binafsi huwa namdharau sana mtu ambaye anakipondea chakula kilichomlea yeye na wazazi wake mpaka hapo walipofikia, halafu wakati huo anajifanya kusifia sifia na kushoboka na vyakula vya wazungu, wakati hata hivyo vyakula vya wazungu ni matatizo tupu.

Hawa wajinga akiwemo mleta mada watakuwa na mantiki kama wanaukataa ugali kisha wakaanza kula organic food pekee tu basi hasa matunda, maana huko ndio sehemu pekee utakayoupukana na

Ahaaa .!!

Hakika Mkuu watu hawataki kusikia ukweli .

Wanakuambia huo ugali ndo umekuza babu na bibi zetu na umetukuza na sisi.

Hii ni kweli Ila kwa Mimi ambaye nimekueliwa mjini nakumbuka siku nilikuwa nikienda kusalimia Vijijini tulikuwa tukiwapelekea Mchele.

By that time ukipikwa wali watoto na watu wazima walikuwa hawalali kabisa .

Hii pekee ilikuwa inaashiria kuwa Ugali watu walikuwa wanakula kwakuwa they had no better option.

Wakati tunasoma Form four kuna Topic inaitwa Culture imeelezea vizuri kuhusu mambo Kama haya ya chakula.

Nilifikiria wasomi wa JF wanaojinasibu Kama great thinker waelezee ugali kwa picha ya tofauti . Ila wanasema kuwa

-Ukihama kwa shemeji
-umepata hela kidogo
-Sifa za kihaya 😁 - ni kweli wahaya wanapenda sifa Ila hakuna binadamu amabaye hapendi kusifiwa Ila wahaya wamezidi.

So tukiangalia zaidi jamii zetu unakuta MTU anakula ugali nusu na dagaa za miatano , inapelekea MTU kunenepa , kupata kisukari n.k

Hata ukitazama jamii za watu wanaokula ugali Sana Kama Wasukuma , ukerewe n.k uwezo wao wa kuchanganua mambo kiakili ni mdogo Sana hauwezi ukafananisha na jamii ambazo hazitumii Sana ugali Kama Wachaga wa Moshi , wahaya wa Bukoba n.k

Sasa hapa JF wanapima akili Kama kuwa na kadiploma au kadigrii wanasahau akili ni swala la reasoning na kuwa na kadiploma na kadigrii ni uwezo wa MTU kukariri.

So inafikirisha Sana .
Cultural norms na societal debts zisitufanye tuishi kama zamani. Watu tumesoma na kuelimika hatupaswi kuishi kama zamani ndiyo maana leo hii hakuna anatembeza mtoto 10km kwenda shule kama yeye, kula chakula sinia moja kwa watu wengi au watu wazima na watoto kulala chumba kimoja kama tulivyoishi huko nyuma. Tumeishi na kukulia vijijini au mijini kwa maisha tofauti. Same applies kwenye lishe na mitindo ya maisha. Mabadiliko tabia nchi na mazingira yanalazimisha watu kula vitu tofauti. Nowadays mahindi, ngano na mchele mafuta ya kupikia, seed oils ni Genetically modified, GMO. Nyama za ng’ombe na kuku pia hazifai. Vyakula vya mizizi km mihogo, viazi, etc ndiyo vinafaa ingawa na vyenyewe vinaanza kuathiriwa na mbolea
 
Back
Top Bottom