Nina miaka mitano sijala UGALI

Nina miaka mitano sijala UGALI

Kua na mwili ambao hauhitaji kwenda Gym sio kwa sababu ya kutokula ugali, watu tunakula ugali sana na kitimoto kwa sana na bado tuna miili imejenga kama vile tunaenda gym. Nenda usukumani na ukuryani, 97% ya main dish yao ni ugali lakini huwezi kukuta wako overweight.

Ugali ni wanga, usipokula ugali bado utakula wanga kwa namba nyingine, wanga haukwepeki kwenye maisha. Saa kusema ugali ni mbaya halafu unakula wanga nyingine mfano kwenye mkate, cake, wali nk hapo ndip inaonyesha watu wengi wana elimu ama uelewa mdogo kuhusu wanga ama ni wajinga tu.

Marekani hawali ugali, 40% ya population yao ni overweight, Mexico hawali ugali, 37% ya watoto wa umri wa shule ni obese ama overweight. Ugali haujawahi kua sababu ya overweight, miaka na miaka tumeamka wazee wetu walikua wanakula ugali tu na hawajawahi kua overweight.

Watu mna miili ya ajabu ajabu, inferior yenye kushindwa kuhimili wanga mnasingizia ugali. Tena ngoja nikaupige sasa hivi.
Zaidi ya hayo ugali ni mboga,imagine ugali samaki au ugali kiimot kitimoto
 
Ugali ni mzuri inategemea ni nataka Gani unatumia kupika mfano uweke,mtama ,ulezi, maji yawe nchanganyiko wa mayai na maziwa , pika sio chakula Bora hicho. Mie ni mtama na muhogo uji wa ulezi bila ya kusahau maziwa
 
Enyi malimbuken mliotoka kijijini mkaja Mjini ndio mka nza kula mkate Ndio mnatakuna ugali wachina wanakula nn Mbona hwana maumbo Makubwa ..pia kuhusu akili ni genetic issue
Kama baba alijua hesabu darasani na mwanae atatoka kipanga ,Hujui Kitu na mwanao hivyo hivyo.
Tulia Wenye pesa Hawatukani chakula ni kibaya huta skia Ila washamba wa mshahara wakishapokea Ndio hujidai n Wala kuku tu na ngano basi
 
Ugali ni useless meal, hauna nutritional value zaidi ya kujaza tumbo. Cultural identity na dysfunctional cravings ndio Inatufanya tuamini ugal una faida mwilini. Kula ugali halafu nenda pima sukari utakuta imepanda. Ndio maana wagonjwa wa sukari na chronic inflammation hawaruhusiwi kula ugali . Kuna vyakula vingi vina high nutritional value na vinatosheleza/kushibisha zaidi ya ugali. Na unga wa sasa unatengenezwa kutoka kwenye cornstarch, mahindi mabichi ambayo inatengenezwa kutoka kwenye endosperm. Hata panya hawali hiyo endosperm wanakula embryo ya mahindi, sasa mnyama ana akili zaidi ya binadamu kwenye kula! Huko South America wanatumia kulishia mifugo. Tunakula ugali sio kwa nutritional needs bali cultural identity eti mwanaume lazima ale ugali. Kwa kuwa tunaangalia sana kwenye shelf madukani na supermarket tunaamini ya kuwa hakuna chakula kizuri zaidi ya unga na mchele wakati kuna vyakula kama viazi, maghimbi, maboga etc
 
Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia usipende kula ugali, ugali unadumaza akili. Siku moja akafumaniwa ugoni. Baada ya hapo nikaona bora niendelee kula ugali tu.
 
Ugali ni useless meal, hauna nutritional value zaidi ya kujaza tumbo. Cultural identity na dysfunctional cravings ndio Inatufanya tuamini ugal una faida mwilini. Kula ugali halafu nenda pima sukari utakuta imepanda. Ndio maana wagonjwa wa sukari na chronic inflammation hawaruhusiwi kula ugali . Kuna vyakula vingi vina high nutritional value na vinatosheleza/kushibisha zaidi ya ugali. Na unga wa sasa unatengenezwa kutoka kwenye cornstarch, mahindi mabichi ambayo inatengenezwa kutoka kwenye endosperm. Hata panya hawali hiyo endosperm wanakula embryo ya mahindi, sasa mnyama ana akili zaidi ya binadamu kwenye kula! Huko South America wanatumia kulishia mifugo. Tunakula ugali sio kwa nutritional needs bali cultural identity eti mwanaume lazima ale ugali. Kwa kuwa tunaangalia sana kwenye shelf madukani na supermarket tunaamini ya kuwa hakuna chakula kizuri zaidi ya unga na mchele wakati kuna vyakula kama viazi, maghimbi, maboga etc
Fact Mkuu .
 
Faida za kutokula ugali ni mwili kunawiri, ngozi kung'aa na kutokuwa na makunyanzi ila jipange kwa bajeti.
 
Naona maskini wa JF mko hapa kupondea chakula kilichowakuza wazazi wenu na nyie wenyewe pia.

Moja ya mada za kipumbavvu kuwahi kutokea hapa JF ni pamoja na hii, wewe mleta mada na wenzako wote wenye mawazo sawa na yako ni wapumbavvu wakubwa ambao hamjijui kama ni wapumbavvu.

Hili kuthibitisha upumbavvu wenu angalia jinsi mlivyowasilisha mawazo yenu hapa.
 
Ugali ni useless meal, hauna nutritional value zaidi ya kujaza tumbo. Cultural identity na dysfunctional cravings ndio Inatufanya tuamini ugal una faida mwilini. Kula ugali halafu nenda pima sukari utakuta imepanda. Ndio maana wagonjwa wa sukari na chronic inflammation hawaruhusiwi kula ugali .
Unaweza ukajiona msomi kumbe ni msomi mpumbavvu, ovyo kabisa wewe aliyekwambia mgonjwa wa kisukari hali ugali ni nani? Umesoma wapi msomi uchwara wewe?

Na aliyekwambia hakuna nutrients kwenye ugali ni nani? Au unaamanisha ugali gani?

Yaan mko hapo kujifanya mnaponda ugali kumbe vichwani vyenu venyewe vimejaza makamasi na hamna mnachokifahamu zaidi ya kukisia tu.

Endeleen kula hizo chips na kitimoto hili mjaze machoresterols muwe waudhuriaji wazuri wa clinics za HBP Kabla hata mjafika 50s wajinga nyie.
 
Faida za kutokula ugali ni mwili kunawiri, ngozi kung'aa na kutokuwa na makunyanzi ila jipange kwa bajeti.
Kwamba mtu anayekula ugali anakuwa kinyume na hivi ulivyosema hapa? Yaan anakuwa na makunyanzi usoni na mwili wake unadumaa?
 
Back
Top Bottom