Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?

Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Ingekuwa ni hivyo hao makomandoo walioachishwa kazi wasingeachwa wazagae mitaani mithili ya kuku wa kienyeji.
 
Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?

Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Mabaunsa hawana technics za upambanaji, wale wamejaza miili Gym na kukuza vi chest ila hawana mbinu za mapigano

Na tena Gym za sasa hivi kukuza mwili wala hauhitaji kufanya mazoezi sana, yapo madawa na mavyakula ambayo ukipewa tu baada ya wiki tu unatoka umekatika mwili mzima

Lakini komandoo ana skills za kupambana na adui, huko jeshini wanafunzwa vitu vingi ambavyo vinampa faida ya kuwa bora maradufu kuliko hao mabaunsa
 
Ni kwamba kwenye ada za mpesa na tigo pesa hata kabla ya ujio wa tozo

Makato ya kutoa muamala wa 10,000 ilikuwa ni 1,450

Ila luteni alitumiwa 500,000 akatoa 499,000 yani alikatwa buku

Unaweza ukaona ni hoja nyepesi lakini kumbuka pesa hiyo kaielezea kwenye ushahidi ilivyotumika mpaka ikaisha, so hakutakuwa na excuse kwamba nilikosea

Kwasababu kufanya hivyo kutaharibu chain nzima ya ushahidi wake aliotoa na kuonesha kile kiwango alichowapa wale makomandoo kama nauli hakikuwa sahihi, kosa ambalo alitakiwa aliepuke mapema wakati akiongozwa na wakili wake
Ndio maana tunamhurumia sana Urio
 
Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?

Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Tatizo lako unafikiri Makomando wote ni wa kwenye cinema, akina Rambo.
 
Swali la msingi kwangu, je baada ya watekelezaji wa mipango yq ugaidi kukamatwa bila ya kumkamata mfadhili...je walikua na uhakika Kama mfadhili atashindwa na mipango.
Mkuu ruten anathibitisha kwamba Akina Adamoo siyo wahalifu na wala hawajawahi kufanya uhalifu na ndio maana a nasema yeye mwenyewe kuwa wakati anawatafta kina Adamoo aliwaambiwa kuwa wanakwenda kumlinda mbowe,

Sasa hii Habari ya kulipuwa vituo na kukata miti bado yeye ruten anakiri kuwa kama angewaambiwa wanakwenda kufanya uhalifu wangekataa
Kwa maana bado Wana viapo vyao

Hii maana yake nini kwamba hata yeye anakiri kuwa Hawa washitakiwa niwatu waadirifu isipokuwa yeye kaamuwa kuwaangiza kwenye matatizo kwa kutumia hisia zaketu.
 
Ni kwamba kwenye ada za mpesa na tigo pesa hata kabla ya ujio wa tozo

Makato ya kutoa muamala wa 10,000 ilikuwa ni 1,450

Ila luteni alitumiwa 500,000 akatoa 499,000 yani alikatwa buku

Unaweza ukaona ni hoja nyepesi lakini kumbuka pesa hiyo kaielezea kwenye ushahidi ilivyotumika mpaka ikaisha, so hakutakuwa na excuse kwamba nilikosea

Kwasababu kufanya hivyo kutaharibu chain nzima ya ushahidi wake aliotoa na kuonesha kile kiwango alichowapa wale makomandoo kama nauli hakikuwa sahihi, kosa ambalo alitakiwa aliepuke mapema wakati akiongozwa na wakili wake
Atarekebisha, atasema simu ilikua na salio jingine au alisongesha
 
Naona unawapa mbinu za kumkamata Mbowe huko mbeleni....😂😂😂😂

..hiyo mbinu walikuwa nayo isipokuwa nashangaa hawakuitumia.

..njia sahihi ilikuwa ni DCI kumkabidhi Lt.Urio makachero ambao angemlengesha Mbowe nao.

..makachero wangeenda naye mdogo-mdogo mpaka wamkamate Mbowe red handed na hiyo ndiyo njia salama zaidi.

..washtakiwa wasingepokea simu ya Lt.Urio, ambaye alikuwa mwalimu wao, leo hii wasingekuwa wameingia ktk matatizo haya.
 
..Luteni Urio amekosea kuwalengesha vijana wa watu wakaacha ajira zao na kuwatumbukiza ktk " mipango " ya Mbowe.

..Mbowe alitakiwa achomekewe undercover police ambao wangeenda naye taratibu mpaka wamkamate kukiwa na ushahidi usio na mashaka.
Kweli kabs hawa makomandoo wamechezewa sinema na Luten urio bila kujijua,hv ikatokea wakashinda kesho huyo urio ataachwa salama kweli na hao wanafunzi wake ?
 
Aisee, kiukweli ushahidi wa kubumba wa mtu aliyekalishwa chini ili akaseme uongo kum - incriminate ndugu yake asiye na hatia ni rahisi mno kuugundua kwa sababu huwa unakosa uhalisia na siku zote huyu shahidi wa uongo hujisahau na hukosa consistency katika melezo yake....

Kwa mfano, huyu Denis Urio, kuna maelezo ya matendo yake mwenyewe au ya wale anaotaka wahukumiwe akiwemo Freeman Mbowe hayana uhalisia bali ni hisia zake tu na kwa namna yoyote hayathibitiki na mtu mwenye akili timamu hawezi kuàmini wala kufikiri kutendwa na mtu smart kichwani mwenye nia kutenda uovu mkubwà kama wa ugaidi...!

Najua (anaweza) kuendelea kumwaga pumba zake kesho...

Nakubaliana na wewe kuwa, kwa hakika kabisa, pengine huyu Denis Urio ndiye anayeweza kuwa shahidi wa hovyo zaidi wa upande wa mashtaka kuliko mashahidi wengine 11 wote waliotangulia anàyejaribu kuweka wazi (expose) udhaifu wa mashitaka haya...!!!

Ni afadhali hata Kingai au Mahita...!!

To cut it short, hii timu ya kubumba kesi hii ili kum - incriminate Ndg Freeman Mbowe wamefeli kwa kiwango cha juu sana maana hata mjinga kabisa aweza kujua ukweli huu mpaka hapa ilipofika...!!
Wakati wote Lt Urio alitaka kulazimisha ushahidi wake uwe wa kigaidi. Pale anaposema Freeman alituma pesa ili vijana wakafanye uhalifu. Wakili wake anamkataza tusiende huko🤣🤣

Sehemu nyingine anasema walitumiwa Nauli wakafanye Kazi ya Ulinzi
 
Aibu tupu kupambana kumfunga mtu ambaye ni innocent kisa tu unaweza kuwa juu ya mihimili mingine ya dola,ndio maana visasi haviishi Afrika.
Ni kazi ngumu sana. Kama vipi wamfunge tu kwa namna wanavyoona lakini hapo hakuna kesi ni utopolo.

Kamanda Urio ndio alikuwa tegemeo kutoa ushahidi Konki yeye kama Mnyetishaji kwa Polisi.

Lakink ushahidi wake umeegemea kwenye Stories tu kama hadithi.
 
Hadi sasa nasubiri kusikia ni wakati gani Jeshi la Polisi liliishirikisha Idara ya Ujasusi ya Tanzania baada ya kusikia kuna uhalifu mkubwa unaoratibiwa na unahatarisha amani ya nchi na pengine uRais wa nchi...

Pia nasubiria ni wakati gani ambapo Jeshi la Polisi lilihusisha Jeshi la Wananchi (Idara ya Ujasusi wa jeshi) kuieleza kuwa kuna watu wanapanga nchi kutotawalika maana jukumu mojawapo la jeshi la wananchi ni kuhakikisha nchi ipo stable...
Urio ndiye atajibu maswali kesho ijumaa.
 
Na kwa nini mbowe ahitaji ulinzi wa makomandoo na sio mabaunsa ambao hata yeye anaweza kuwapata maana zamani walikuwa watumishi .wake akiwa na bilicanas?
Je hao makomandoo wangefanya kazi zipi kwake ambazo zingekuwa mpya tofauti na maisha yake ya siasa zaidi ya miaka ishilini?

Je wajua komandoo mmoja anaweza kuwa na athali kubwa kwa nchi ambayo raia wengi hawana uelewa wowote wa kivita?
Muulize Lissu. Kwa Tanzania ya Magufuli mwanasiasa mjinga tu asingeweka suala la ulinzi mbele kabisa.
 
Back
Top Bottom