Kuna watu wamekuwa wakimsema sana Urio kutokana na ushahidi alioutoa mahakamani, ukweli ni kwamba sio kweli kwamba Luteni Urio ni kihiyo na kilaza kama wengi wanayo fikria isipokuwa nae pia ni mhanga wa kesi hii.
Urio kwenye kesi ameweka dhamana ya cheo chake na ajira yake, bila kufanya vile hana ajira na angelikuwa yupo ndani, ndio maana ushahidi wake una kosa muunganiko mzuri, anachokifanya anakifahamu vizuri na sio kama wengine wanavyomfikria.
Urio hajawahi kwenda kwa DCI wala lengo lake halikuwa kuwalengesha wenzake, lengo lake na nia yake ya kumtafutia Mbowe walinzi ilikuwa nzuri isipokuwa mpango mzima ulitibuliwa na Mnyori Sabaya baada kupewa taarifa ya Mbowe kujiongezea ulinzi toka kwa watu wake aliokuwa amewapandikiza kwa Mbowe.
Baada kupata taarifa hizo akawashirikisha kina Kingai makomandoo wale wakakamatwa hali iliyopelekea kumtaja Urio na yeye pia akakamatwa, katika kujiokoa na kuokoa ajira yake Urio na Kaaya wakakubali kuwa mashahidi upande wa serikali.