Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa

Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu( HESLB) hii iliathiri hata wale waliochukua mkopo zamani kuanza kulipa 15%

Sasa hii sheria mpya ikipita hasa Kipengele tajwa msije sema hatukusema au tunatetea ccm, Tutasimama na sheria irudi nyuma au iende mbele kwa matumizi

Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uhalifu huo

Sheria inapasa iangalie mbele na sio kuangalia matukio ya watu wachache

Mapendekezo yanayopelekwa Bungeni tena kwa tangazo la Bunge la ghafla watu wakatoe maoni kwa siku moja Dodoma yanalenga kitu gani?

Someni mabadiliko hayo kwa umakini sana sana, Msije baadae mkaanza kulaumu Serikali.

Screenshot_20220203_063306_cn.wps.moffice_eng.jpg

Serikali imepeleka Bungeni mabadiliko ya sheria mbalimbali, ni muhimu watu mkasome vizuri hizi sheria

Luteni Urio na wenzake baada ya kubanwa mahakamani ilionekana moja kwa moja wao ndio waliotengeneza hiyo picha ya kesi ya Mbowe kwa kuwatafuta Makomandoo ili wakafanye uharifu

Fuatilia vizuri Mahojiano ya Kibatala na Urio utangundua Urio anajitetea yeye kama Undercover

Kwa sheria hii ikipita Urio hiyo kesi haimuhusu anaokoka mapema sana, Ongezeko la neno Undercover kwenye sheria hii moja kwa moja Urio na wenzake hawahusiki na kesi hii ya Mbowe
 
Kama wameshaamua zipite hatuwezi kuzuia.....hata kama tukipinga haisaidii kitu.
 
Ule ushahidi alioutoa Urio ulionesha wazi kabisa na yeye alikuwa sehemu ya uhalifu, japo uhalifu wenyewe ni wa kihisia zaidi ya uhalisia.

Kusema watuhumiwa walitaka kulipua vituo vya mafuta bila kuwakamata na vilipuzi ni ujuha tu, hiyo sheria inaenda kuwafanya polisi wawe majambazi rasmi na wasishtakiwe popote.
 
Unamdanganya nani? Hivi kwanini ujiite ccm wakati unajulikana wewe ni chadema! Unadhani ukijenga hoja yako bila kudanganya na si kuongopa hutafaniniwa?
 
Unamdanganya nani? Hivi kwanini ujiite ccm wakati unajulikana wewe ni chadema!
Huyo ndie mpiga tarumbeta wa ccm, Hao ndio wanaotafuna keki ya Taifa

Kuna wakati aliomba msamaha hapa JF kutokana na mada zake za Vikokotoo vya Pensheni na kutetea wafanyakazi wasiongezwe mishahara na haya yalifanyika wakati wa JPM

Mleta mada ni mwana ccm tena Mkinga asiye na aibu kabisa ingawa kwa uandishi wake ni msomi mzuri sana

Jamaa Inaonekana ni Certified Professional wa mambo mengi sana na ni mtu mzima tatizo lake Yeye anatetea maslahi yake na wanaccm

Amekuja hapa kupima upepo tu

Huyu anatumika kupima upepo hapa JF

Alileta mada za pension na watu wasipewe nyongeza hapa JF na yakafanyika

Mleta mada ni chawa wa Lumumba

Mwambieni aliyemtuma hajawakuta wahusika wamesafiri
 
Mimi ni mwana ccm, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa

Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uharifu huo...
Hata ukitoa maoni hayatazingatiwa
 
Huyo ndie mpiga tarumbeta wa ccm, Hao ndio wanaotafuna keki ya Taifa

Kuna wakati aliomba msamaha hapa JF kutokana na mada zake za Vikokotoo vya Pensheni na kutetea wafanyakazi wasiongezwe mishahara na haya yalifanyika wakati wa JPM...
haya ni majinga machache yanaharibu nchi yetu
 
Ule ushahidi alioutoa Urio ulionesha wazi kabisa na yeye alikuwa sehemu ya uhalifu, japo uhalifu wenyewe ni wa kihisia zaidi ya uhalisia.

Kusema watuhumiwa walitaka kulipua vituo vya mafuta bila kuwakamata na vilipuzi ni ujuha tu, hiyo sheria inaenda kuwafanya polisi wawe majambazi rasmi na wasishtakiwe popote.
Ndiyo kinachotakiwa na CCM
 
Mimi ni mwana ccm, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa

Kipengele cha Undercover kimeongezwa ghafla kwenye sheria ya Criminal procedure Act Cap 20 section 47 Subsection 47A, Lengo kuwa police waliohusika kwa siri kwenye uchunguzi wa uhalifu wasiwe sehemu ya uharifu huo...
Wahuni CCM hutunga sheria kwa kuangalia maslahi yao hivyo hatushangai ila mwisho wao unakuja. Ngoja tuanze na katiba mpya kwanza.
 
Ule ushahidi alioutoa Urio ulionesha wazi kabisa na yeye alikuwa sehemu ya uhalifu, japo uhalifu wenyewe ni wa kihisia zaidi ya uhalisia.

Kusema watuhumiwa walitaka kulipua vituo vya mafuta bila kuwakamata na vilipuzi ni ujuha tu, hiyo sheria inaenda kuwafanya polisi wawe majambazi rasmi na wasishtakiwe popote.
Ndio maana wengine walisema huu siyo ugaidi ni uhaini!
 
Back
Top Bottom