Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,746
- 127,925
Tatizo ushani-confuseKumbe hauko siriaz na mdogo wangu unauliza mwenzio nani?
Tatizo ushani-confuseKumbe hauko siriaz na mdogo wangu unauliza mwenzio nani?
Ulinipa nanHizo level sasa nishavuka, kipindi kile si nilikupa ukatanguliza mzaha ukaachwa😆
😀😀Ubuyu ambao ngumu kuuelewa kama hivi si ni mawe haya 😂
Ni nani kwani wamependana wakaibiana
Ila kudate na mwanaJF nayo ni mtihani wa mock ujue 😂
Samahani kama nimekukwaza mkuu mimi nilijua tunataniana tuSeriously
Kama yeye mnaelewana mimi nipuuze tu sina nijualo 😁Tatizo ushani-confuse
Sehemu yoyote yenye watu wengi kutofautiana ni kawaida.Unajua sielewi, kwani kuna ugomvi mpya humu? mbona kama kuna harufu harufu za vayolensi?
UnafanyajeYes ht wiki
Inawezekana kabisa
Hakija haribika kitu,utakua mchepuko wangu wa faida,ila iwe siri yetu,The Icebreaker yani nimerudi humu nakuona kwa macho yangu unaibiwa.
Nitaficha wapi sura yangu mimi?
Hahahahaha akaribie kmmk 😅😂Bora umchukue kaka Monetary doctor hanaga kelele, hawa wengine utakula za uso daily
Maah African queen 😍Monetary doctor ananifaa eee?
Hii imeenda
Tena huyu alisema mimi na yeye tunalingana umri so sijajua mimi na yeye tuna miaka mingapi lakini fresh hata mie nishaona kuishi bila Monetary doctor siwezi
baba labla huyu hater kanitunuku
😀 Don't do that kapatie labda ukikapatia kakila kataacha wenge.Hata huko redioni hataisikia, ataishia kusoma tu kwenye "kuzogoa" namna mwanaume mwenzake anavyoichakata![]()
![]()
Mwanaume lazima kuna wakati unatakiwa uwe aggressive coz kuna aina ya watu humu,hiyo ndio lugha pekee wanayo ihitaji ili kuelewa na ili kuweka heshima yako,JF unapokewa kama utakavyo kuja tu.Kwa haraka haraka nani ananifaa humu nianze kumshobokea?
Baba labla umesema ni chokoraa, The icebreaker mchambaji 😂😂
Bibie ulipotelea wapi?Jitambulishe basi na ID yako ya zamani, au ni secretarybird au KERATO MOMBAA mmeamua kuja kivingine?
Ni ngori mkuu!
Kimis sikioniHicho hapo vipi una kitaka?
Mmmh humu hapana. Ila nimewahi kupata wachumba, miaka hiyooo kipind natafuta mchumbaHata mimi sijui😁😁 wewe hujawahi kuwa na crush?
OkayMmmh humu hapana. Ila nimewahi kupata wachumba, miaka hiyooo kipind natafuta mchumba
Mimi na makebo wapi na wapi jamani mshamba wa watu...Nikumbushe, hivi huwa mnayependea nini vile?
View attachment 3666195