SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,453
- 2,490
Naombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua loooh😪
Pole sana.
Naombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua loooh😪
Pole sana.
Mbona sielewi jmnNaomba urudi kulala binti mrembo!😀
Aiseebaba labla huyu hater kanitunuku
Inasikitisha sana.Kabisa!
Kesho nikaitafute lohh!🙌🏾Mimi Piriton huwa inamaliza mambo
Sema nn mkuu, fresh tuu ngoja nipunguze shoboSasa vitu vya kukuumiza roho unauliza vya nini jamani? Kutafutiana lawama tu
Eeeeh niambie rafiki yangu…nisije nikatelekezwa juliana…Aisee 😂
Utaelewa kukikucha!Mbona sielewi jmn
Hapo chenga bila kusahau chai yenye tangawizi na asaliNaombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua loooh😪
DuhDada muda wa maombi huu twende tukasali, huku si kuzuri😁
Thanks sis 🥰Hapo chenga bila kusahau chai yenye tangawizi na asali
Shobo tena 😁Sema nn mkuu, fresh tuu ngoja nipunguze shobo
😃😃😃😁😁 Sitaki message za What I ordered vs what I received. Ulichooda ndio hicho unapewa
Mm sina adui humu, na kama wapo bc wanajichoshaUmeanza zile pigo za mm siwezi kutukanana na id fake! The wanna be’s😂😂
Wazazi wako wanajua kama upo huku na ushapata maadui usiowajua?😂
SeriouslyShobo tena 😁