tuzogoe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Siku saba za raha: tuzogoe 😊 halafu tukutane kesho saa 12 jioni

    Nimeikataa kabisa dhana ya kwamba wanawake tunatakiwa kuwa na aibu au kuaibishwa / kudhikakiwa (shame) kwenye kuzungumzia raha zetu (pleasure) au kufurahi kwa namna ambayo tunapendezwa nayo. Nimeanza likizo, watoto wameenda kwa bibi na babu zao, shule zimefungwa, wasaidizi wa nyumbani tumewapa...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Watoto wameshalala na mechi imeisha ⚽ - njooni hapa tuzogoe!

    Vimaneno gani mwenzako akikuambia vinakuchanganya mkiwa mnapeana raha kitandani au hata akiwa anakuchombeza kabla ya mechi? (wanaume waambieni wake zenu ni watamu hata kama ni kinafiki, huyu wangu akiniambia "mke wangu .... yako tamu" halafu nimfinyie mbususu ipite dakika moja animwagilie...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

    Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi? Tupige story kidogo: Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi? (mweupe, mweusi, maji ya kunde au wewe una vigezo vingine ambavyo siyo rangi ya mwili?) Ushawahi...
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Vile unavyonipa, nawezaje kusahau? - Karibu tuzogoe!

    Nimewamiss, vipi nini kimenipita humu jukwaani kwa wiki zilizopita? na kama kawaida, jichagulie jambo hapo chini tutete kidogo! Nilipotea nalea mjukuu, mpwa wangu amenifanya niitwe bibi, mje mnipe hongera zangu na zawadi. Lini ulipewa penzi tamu likakuingia, ukashindwa kulisahau? vipi...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Alamba, alamba tena 😋 - njooni tuzogoe!

    Wewe ukiguswa wapi mwili wako unaitikia au unalainika na kuwa tayari kwa mechi? Ngoja niwape kastory kidogo. Angalizo: kama hupendi mambo ya heka heka za chumbani, basi ishia hapa kusoma, si lazima kila nyuzi uzisome na uchangie. Siku kadhaa zilizopita, ba mjengo yuko kazini nikaanza...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

    Wiki hii imekua ngumu, uko sawa? mambo yanayoendelea Tanzania yanakufanya ujisikiaje? Unafanya vitu gani kuhakikisha afya yako ya akili haitetereki? Tupe suggestion ya movie mpya au series zitusaidie kusukuma weekend. Weka picha inayoreflect mwezi April na mwaka 2026 so far na isindikize...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tamu, tamu, tamu sanaaa - njooni tuzogoe!

    Imeshakutokea ukawa na mpenzi ambaye wakati unakutana naye ulifikiri ni mpole na atakua hana mambo mengi kitandani, lakini mlivyokutana kwenye mechi akafanya jambo la kukushangaza mpaka hukuamini kwamba kweli ni yeye? Umeshawahi kuwa kwenye mahusiano au kupenzika na mtu ambaye umepishana naye...
  8. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hakuna marefu yasiyo na ncha - karibu tuzogoe!

    Wiki imekua ndefu na mpaka tumalize huu mwaka tutaona mengi. Hali ya kisiasa ilivyo Tanzania kwa sasa inakupa hisia zipi? Vipi nini kimekufurahisha au kimekukera wiki hii? Matarajio na malengo yako ya mwaka 2025 yanaendaje? unatoboa? Muulize mwanaJF yoyote swali la kizushi, utajibiwa.
  9. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

    Wale ambao kibaruani pasua kichwa, home napo kupo kama hakupo, siasa na mambo ya nchi yanatuumiza vichwa na mioyo - tukutane hapa tubadilishane mawazo. Kama unajisikia kujibu maswali, fanya hivyo. Kama hutaki, utakua umetumia vizuri uhuru wako wa kuchagua! Ukipewa nafasi ya kumuondosha...
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

    Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa! Mimi naanza na hawa; Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje? cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya...
  11. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Naitaka yeye ananikatalia - njooni tuzogoe!

    Leo siku imeanza vibaya na imeisha vibaya. Kunyimwa inauma nyie 😔 ANYWAY ; Jibu moja ya maswali haya tuzogoe. Nini kimetokea wiki hii kikakufurahisha au kukukera? Nyimbo unazozisikiliza on repeat wiki hii ni zipi? Kwa wanaume, ulishawahi kutongozwa na mwanamke? na ulimkubalia au...
  12. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tuzogoe: Naweka hapo juu juu tu, ni uongo

    Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia. CC: uzuri_hatujuani Castle_Lite secretarybird 50thebe Poor Brain Khanji kapoor
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tuzogoe: Nini au nani amekufurahisha wiki hii?

    Nyuzi ya kutambua waliotufurahisha kwenye majukwaa ya JF kwa nyuzi walizoandika au majibu waliyotoa kwenye replies ndani ya wiki hii. Watu walionifurahisha humu ndani wiki hii ni Nusratt , secretarybird, uzuri_hatujuani na issac77 kwenye ule uzi wetu wa wakubwa uliofungiwa na ukafutiwa...
Back
Top Bottom