Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Kipenzi si unanijua nilivyo mdogo wako 😊 hapo nishamaliza sitii neno tena nitaharibu

Wadau wanasema JF sio ya kuchukuliq serious sana ila kuna watu wapo serious kupita serious yenyewe

Sasa mtu kama mimi mwenye mbawa fupi nakaa mbali na hao marafiki zako wakali kama petrol wasinilipue 😊😊

Bye love u 😍
Eti ulikasirika kisa kalike comment ya crush wako 😹😹😹

Kumbe mna macrush na hamsemi? 🤣
 
😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
You’re back mwanakwetu?
Unapenda sana umbea mwanakwetu.
Yani wewe usingesumbuka mimi pdf nilikutunzia mwenyewe… Achana na hao mapampula waliokutumia screen shot pm..!!
Mbona hukunitumia sasa
Judge Me Not I Know GIF by ALLBLK.gif

Kwa kifupi de gunner kajipakulia minyama mpaka misamaki kwamba wewe chombo yake eti..!! 😹😹😹
Ana matatizo ya akili, anashindwa kutofautisha ndoto anazoota na uhalisia, hakuna mwanamke anaweza kumkubali humu.
Mi kama kawaida yangu napenda kusikia umbea na umbea umeletwa sa nifanyaje? 😹
Muhimu de Gunner athibitishe hapa na wewe ukiwepo? Au unasemaje mwanakwetu?
Sijui hata anaweza kuthibitisha nini, ila aje tu, nipo nimejaa tele!
 
Back
Top Bottom