Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nipo na Gen Z kama huyo the Gunner.
Gen z Walinikuta maskani nimechill
Sina hili wala lile
Wakasema broo tutoke kidogo.

Mama mtu yuko mkoani amefuatilia biashara yake ya vijola.
Haya furahia maisha, ikitokea umepata matamanio ukashindwa kujizuia, usifanya ngono zembe ukaja kumletea mamtu magonjwa.

Enjoy!
 
Usinihusishe huko kwenye kumpoteza, mm n mfano wa kuigwa, ww kama n maandazi bc n ww mwnyw 😂
Wewe hapo unatataka kumpiga na kitu kizito huna lolote😂

Ombaomba, sijui lakini huenda utajikaza kwa huyu😎
 
Unaamka asubuhi una maadui wapya usiowajua😂 kisa ulilike post ya crush wake utajutraa
Halafu wanajazana ujingaa mpaka unajiuliza hivi humu watu wanajitambua kweli au ndio watoto wengi🤭
Eeh kumbe kuna mambo
Mbona nashindwa kuwaelewa
 
Back
Top Bottom