Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,468
- 34,142
- Thread starter
- #461
Ajaribu kwenda kwa wazazi wake wakamuombee wenge litulie.😀 Don't do that kapatie labda ukikapatia kakila kataacha wenge.
Hata wewe ungekua mwanamke ungempa tamu yako kijana kama huyu?