Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,833
- 128,204
Kumbe Luna n mwanaume bhana 😂Tulia nikupakulie minyama mpare 😂 😂
Huyu Luna lazima tumpeleke upareni, ni muda wa kuoa huu.
Kumbe Luna n mwanaume bhana 😂Tulia nikupakulie minyama mpare 😂 😂
Huyu Luna lazima tumpeleke upareni, ni muda wa kuoa huu.
Haiwezekani kabisa, bora nijibake aiseeh, kuliko kuwa na jitu la hovyo hivyo!Ah ww c nakujua kwa kiasi fulani, huwez kuwa na zile ndezi
Aisee watu mna bahati! Wengine ndio mpaka utungwe umbea wa uongo ndio uupate! Kuupata freshy ni ngumuu🤦🏽♀️
Ila najua hapo karoho kamekuuma Ila Ndo hvy unakaza, mama labla unaona hii nyau?Wewe muache mama labda hajakuwepo jukwaani kitambo😆
Yule crush wako wa miaka ile umempiga chini? 😁😁 Ila siku hizi haonekani ndio maana umemsahau eti?Aaah miaka ile ushangingi ulikuwa zaidi
Ukipotea JF masaa matatu unakuta manyoya tu, watu washavuana nguo na uzi umefutwa!!
Miaka hii ustarabu upo kiasi chake
The Icebreaker namcrush hivyo hivyo hata afanyaje
Mie mwenyewe nishawahi kuzinguana nae lakini nitafanyaje sasa? Moyo ushagoma kusukuma damu kmmk 😂
Ntumie kwenye ile namba kesho nile Ht mihogoFungua tukuchangie hata ela ya msosi, utafanyaje sasa🤣
Yani huyo anayecrushiwa hajui ila tayari kuna vita ???😹😹😹
Ningemtag sema yule member mstaarabu na itakuwa sio pouwa kumuhusisha na vitu hizi…!! Ukute hata yeye hajui upuuzi unaoendelea huku..!! 😹
Kumbe mlikuwa mmekubuhu! Kwahiyo wa sasa wanajifunza😆Aaah miaka ile ushangingi ulikuwa zaidi
Ukipotea JF masaa matatu unakuta manyoya tu, watu washavuana nguo na uzi umefutwa!!
Kabisa!!Miaka hii ustarabu upo kiasi chake
Moyo unataka kusuma mapenzi sio😂The Icebreaker namcrush hivyo hivyo hata afanyaje
Mie mwenyewe nishawahi kuzinguana nae lakini nitafanyaje sasa? Moyo ushagoma kusukuma damu kmmk 😂
Mm c ndo kichwa cha familia, ww lala mm namalizia kuweka ulinzi fresh 😎
Shkamoo Binti wa zamani,Ujue Mbaga Jr ni sawa na secretarybirdAiseeeh SIR MGAX uje kujifunza huku namna ya kutongoza 👆
I don’t know what’s going on, and honestly😹😹😹😹
Wewe yule uliyemchamba fake p mpaka akaomba uwanja selfika au mwingine??
Em yaseme hayo unayoyajua ila hutaki kuyasema kwanza ndo tukutoe..!! 😹😹
Weyee bhana mambo unayajua em mwagika hapa utoe dukuduku mtaishi kwa kufumbiana mpaka lini? 😹
Mwanaume ambaye hana confidence, weka humu 🚮🚮Vijana waoga waoga hawa hawawezi kuja direct.
Kabisaa na pumb zimetafunwa na panya😆So n kama wanapigia mbuzi gitaa au sio 😂
MarahabaShkamoo Binti wa zamani,
Kwamba wote wanapenda kuukwea mnazi na mkono, au unamaanisha nini?Ujue Mbaga Jr ni sawa na secretarybird
😹😹😹 Nchi yenyewe haina amani sisi amani tuipate wapi??😁😁 Ila we dada ni mchochezi, hupendi amani kabisa
Daaah ila wewe ni fungu la kukosa sana, hebu kaoge maji ya baharini ujitolee nuksi kwanza 😆Kumbe Luna n mwanaume bhana 😂
Yule crush wako wa miaka ile umempiga chini? 😁😁 Ila siku hizi haonekani ndio maana umemsahau eti?
Kwenye kujaribu kuna kukosa 😂🤣🤣🤣 Ipo siku litakukuta jambo
La hasha…Marahaba
Kwamba wote wanapenda kuukwea mnazi na mkono, au unamaanisha nini?
Stage niliyofikia n mbaya, au ubavu wangu wa kushoto ni Single mothers na mm siwataki hao watu?Daaah ila wewe ni fungu la kukosa sana, hebu kaoge maji ya baharini ujitolee nuksi kwanza 😆