Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Missing u so badd sissy..😍

humu ndani mambo ni mob, and yeah nilipigwa ban wenye kuhitaji nafasi hiyo ofcourse wali party kama kawaida yao! Huku ndani mama njoo jifurahishe na wanaocheka na wewe, toka zako!

Ukijichanganya sana especially na hii gender 🐱 utashangazwa! Out of air utanuniwa, utajikuta kwenye kakikundi ka kipuuzi like mnamgombea mtu wakati u r here for fun! Na kuna kausenge wakikuona huandamani na id fulani wanajiunga nayo, without knowing anything behind!

Wengine ndio hao multiple za kisenge na ukisema this psycho is dead to me anakujia na multiples lukuki, ni kama anatumwa hivi.. I don’t reply shit! yani vichekesho tu kama machokoraa vile😎

Kuwa makini mamaa hakuna rafiki yako humu! Am out🤸🏽‍♂️

JF ya sasa bado ina hizi mambo kumbe

Nilidhani tuliyaacha 2016 - 2020 huko wakati ule nasikia watu wana vikundi vyao humu vya kukingiana vifua kwenye shida na raha 😂

Sema mie sijui nina shida sehemu, miaka yote hii nimeshindwa kupata kakikundi hata kamoja ka kunitetea hata jinsia yangu tu? 🤣 kuna sehemu siko sawa

Ifike mahali nipate hata ka-crush ka kugombaniana na watu wa humu kmmk
Crushie zangu mshamba_hachekwi na The Icebreaker nisiwaone mnacheka na jinsia inayojitambulisha kama ke humu 🤨
 
Back
Top Bottom