Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,750
- 127,933
Sema nn mwanangu, soon ntaanza kukukwepaMimi nimekupa kiroho safii!😂
Achana na machokoraa bana!
Sema nn mwanangu, soon ntaanza kukukwepaMimi nimekupa kiroho safii!😂
Achana na machokoraa bana!
Jmn kuna nn tenaHayo ni maoni yangu tu 😁 kwamba unayo mengi au machache mnajua wewe na mwenzio
Mwenzangu nani tena huyoHayo ni maoni yangu tu 😁 kwamba unayo mengi au machache mnajua wewe na mwenzio
😁😁 Sitaki message za What I ordered vs what I received. Ulichooda ndio hicho unapewaAnaderiviwa alichorikwestiiii bila ganzi 😂😂
Umeanza zile pigo za mm siwezi kutukanana na id fake! The wanna be’s😂😂O wanaAh mm humu siwez kukariri za humu, tukimalizana hapa ndo imetoka hvy
Mimi nimekupa kiroho safii!😂
Achana na machokoraa bana!
😁😁 Sitaki message za What I ordered vs what I received. Ulichooda ndio hicho unapewa
Kuwa makini bro, watu humu sio wazuriKumbe ni tapeli.
Inasikitisha sana
Nampandisha presha huyu anajifanya ana wivuJmn kuna nn tena
Naombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua loooh😪Mimi nalala sasa hivi, utanisimulia asubuhi 😴😴
Kumbe hauko siriaz na mdogo wangu unauliza mwenzio nani?Mwenzangu nani tena huyo
Jiue tu hakuna jinsi🫠Cjui kwann nmeumia 😔
Ila wewe😀😀😀Hapo ni crush tu, siku akiolewa si utatolewa bandama
Mimi Piriton huwa inamaliza mamboNaombeni dawa nilalae jamni naogopa hata kuweka kichwa mafua yananiua loooh😪
Hizo level sasa nishavuka, kipindi kile si nilikupa ukatanguliza mzaha ukaachwa😆Uwe unanitag bc mwanangu, seriously kwel nahitaji mtu
🏃🏃🏃🏃Ila wewe😀😀😀
Utakuwa wa 10 nahisi hainipunguzii damu baba wasalimie🤸🏽♂️Sema nn mwanangu, soon ntaanza kukukwepa