Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Nimepitwa na yapi? - karibu tuzogoe 🙂

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,353
Reaction score
34,460
Mambo yalipandiana, nikabananishwa vilivyo ila yote kheri, nimerudi tena baada ya kutokuwepo jamvini kwa muda. Naomba mnijuze, nimepitwa na yapi humu?

Nimewamiss, karibuni tuendeleze zogo!

  1. Mko salama? Siwezi kuona kila kitu cha miezi miwili iliyopita ila naomba mniwekeeni hapa nyuzi zenye tija, story za chitchat, au replies ambazo ingependeza nikiziona.

  2. Pita pita za haraka nimeona humu kuna watu walikula ban za kutosha, ilikuwaje kuwaje. Seran na wenzako mje mnijuze, nini kilitokea 🙁 ?

  3. Memba wapya na nyie mliojiongezea ID nyingine, mpite hapa msalimie na mtambulishe ID zenu mpya. Yale mambo ya mtu mmoja kukusemesha PM na ID 6 tofauti, acheni!

  4. Kuna watu wana changamoto, maisha, magonjwa, n.k tutawakumbuka kwenye sala. Vipi Joanah , how are you doing mama? nakuombea, japo kuna mahalli nimekuta umeniita ngariba wa kijiji 😆 !

  5. Wote mlionitag, asanteni sana 🙏 notifications zenu nitasoma na kureply taratibu.

PS:
Simulizi ya siku saba za raha iliishia njiani kwa sababu raha zilinizidia - siwezi kuandikia haya mambo in real time, ukuni ukinikolea vizuri na nipo likizo basi muda wote nakua nautaka tu, nguvu za kuandika nakosa. Simulizi nitaiendeleza siku za usoni!

SI KWA UMUHIMU ILA NI MUHIMU
Wewe attention seeker usiye na adabu de Gunner njoo hapa.

Stupidity Are You Stupid GIF.gif

Sijawahi kuhusishwa na upuuzi humu jukwaani, ila naona unanitafuta maneno. Uliandika kwenye nyuzi zako za hovyo kwamba tunafahamiana. Njoo unielezee vizuri, unanifahamu kutokea wapi? na mimi na wewe tuna uhusiano gani nje ya JF?

de gunner 333 - Screenshot 2026-09-05 at 10.59.11.png

1. 👆 - Useme vizuri nilikukubali? au unataka nikuaibishe tu mbele ya hadhara?

de gunner 4444 - - Screenshot 2026-09-05 at 10.59.31.png

2. 👆 - Action gani? na kwa nani? ni narrative gani ulikua unajaribu kuitengeneza hapa?

de gunner 555 - Screenshot 2026-09-05 at 10.59.56.png

3. 👆 - Mwanakwetu Lamomy , unavyopenda kuyakuza sasa, alikujaza upepo siyo poa.

de gunner 6666 - Screenshot 2026-09-05 at 11.00.30.png

4. 👆 - Toa comment useme hicho ulichoandika hapo ulimaanisha nini?

*******-----*********

Alamsiki!
 
Missing u so badd sissy..😍

humu ndani mambo ni mob, and yeah nilipigwa ban wenye kuhitaji nafasi hiyo ofcourse wali party kama kawaida yao! Huku ndani mama njoo jifurahishe na wanaocheka na wewe, toka zako!

Ukijichanganya sana especially na hii gender 🐱 utashangazwa! Out of air utanuniwa, utajikuta kwenye kakikundi ka kipuuzi like mnamgombea mtu wakati u r here for fun! Na kuna kausenge wakikuona huandamani na id fulani wanajiunga nayo, without knowing anything behind!

Wengine ndio hao multiple za kisenge na ukisema this psycho is dead to me anakujia na multiples lukuki, ni kama anatumwa hivi.. I don’t reply shit! yani vichekesho tu kama machokoraa vile😎

Kuwa makini mamaa hakuna rafiki yako humu! Am out🤸🏽‍♂️
 
Mambo yalipandiana, nikabananishwa vilivyo ila yote kheri, nimerudi tena baada ya miezi ya kutokua jamvini. Naomba mnijuze, nimepitwa na yapi humu?

Nimewamiss, karibuni tuendeleze zogo!

  1. Mko salama? Siwezi kuona kila kitu cha miezi miwili iliyopita ila naomba mniwekeeni hapa nyuzi zenye tija, story za chitchat, au replies ambazo ingependeza nikiziona.

  2. Pita pita za haraka nimeona humu kuna watu walikula ban za kutosha, ilikuwaje kuwaje. Seran na wenzako mje mnijuze, nini kilitokea 🙁 ?

  3. Memba wapya na nyie mliojiongezea ID nyingine, mpite hapa msalimie na mtambulishe ID zenu mpya. Yale mambo ya mtu mmoja kukusemesha PM na ID 6 tofauti, acheni!

  4. Kuna watu wana changamoto, maisha, magonjwa, n.k tutawakumbuka kwenye sala. Vipi Joanah , how are you doing mama? nakuombea, japo kuna mahalli nimekuta umeniita ngariba wa kijiji 😆 !

  5. Wote mlionitag, asanteni sana 🙏 notifications zenu nitasoma na kureply taratibu.

PS:
Simulizi ya siku saba za raha iliishia njiani kwa sababu raha zilinizidia - siwezi kuandikia haya mambo in real time, ukuni ukinikolea vizuri na nipo likizo basi muda wote nakua nautaka tu, nguvu za kuandika nakosa. Simulizi nitaiendeleza siku za usoni!

SI KWA UMUHIMU ILA NI MUHIMU
Wewe attention seeker usiye na adabu de Gunner njoo hapa.

View attachment 3666090

Sijawahi kuhusishwa na upuuzi humu jukwaani, ila naona unanitafuta maneno. Uliandika kwenye nyuzi zako za hovyo kwamba tunafahamiana. Njoo unielezee vizuri, unanifahamu kutokea wapi? na mimi na wewe tuna uhusiano gani nje ya JF?

View attachment 3666092
1. 👆 - Useme vizuri nilikukubali? au unataka nikuaibishe tu mbele ya hadhara?

View attachment 3666093
2. 👆 - Action gani? na kwa nani? ni narrative gani ulikua unajaribu kuitengeneza hapa?

View attachment 3666095
3. 👆 - Mwanakwetu Lamomy , unavyopenda kuyakuza sasa, alikujaza upepo siyo poa.

View attachment 3666097
4. 👆 - Toa comment useme hicho ulichoandika hapo ulimaanisha nini?

*******-----*********

Alamsiki!
Huu uzi nimeusoma kwa shida sana nikiwa naelekea Kariakoo ndani ya bajaji iliyotujaza kama magunia ya mkaa.
 
Back
Top Bottom