Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,772
- 127,982
Mm yangu sio siri, ngoja nifungue files zako 😎Hakuna siri ya watu wawili, ukisimlia ya mwenzio na yako vilevile yanasimliwa huku! Yamwage tuone maajabu! Nywanoko!😂
Mm yangu sio siri, ngoja nifungue files zako 😎Hakuna siri ya watu wawili, ukisimlia ya mwenzio na yako vilevile yanasimliwa huku! Yamwage tuone maajabu! Nywanoko!😂
Tena utulize kabisa 🤣🤣Heri nitulize mbupu? 😂😂😂💔
Mtaishia kujitesa bure nafsi zinaugulia chinichini😎Mpaka tukuue
Nikumbushe, hivi huwa mnayependea nini vile?Makebo yamezidi kupata umaarufu jukwaani.
😹😹😹Nini kinaendelea jamani? nani anamcrush nani?
makaveli10 au ni wewe unakrashiwa?
Mama labla, nikupe dkk ngapi uwe umelala?Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe 😂
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema 😂
Fungua tukuchangie hata ela ya msosi, utafanyaje sasa🤣Mm yangu sio siri, ngoja nifungue files zako 😎
Wewe muache mama labda hajakuwepo jukwaani kitambo😆Mama labla, nikupe dkk ngapi uwe umelala?
🤣🤣🤣 Ipo siku litakukuta jamboEh kudadeki, Asalamaleko shekhe 😎
Mlikuwa wa dhahabu, sasa ni full ushangingi😁
Wenzio wanavyo we unakwama mahala😂
Hizi crush umezichagua kwa vigezo vipi? The ice breaker anachamba huyooo🫢
Ila hiyo crush ilikuwa utani tu jamani naona watu limewagusa mpaka wanataka kutoa siri zao za nje, sijui wanamtishia nani😆
Ila 🤣🤣Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe 😂
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema 😂
Haya nimefika, kuna umbea gani mwingine?😹😹😹 Nilitaka ufike nikupe hapa hapa..!!
Aliyeniletea hakutaka kuona nasemwa kwa mambo ya uongo akanyamaza.Umbea wa jukwaani wa live kupeleka pm unakuwa haunogi..!! Pm zipelekwe pm zilizovuja ndo vitu napentraaaa..!! 😹
Aliyekuletea ana kiherehere mwambie akakazwe na mizimu ya kwao..!! 😹
Mtaishia kujitesa bure nafsi zinaugulia chinichini😎
View: https://www.instagram.com/reel/Dc0O3LkK6Im/?stkn=OGJ0anR1cmZma2dk
Aisee watu mna bahati! Wengine ndio mpaka utungwe umbea wa uongo ndio uupate! Kuupata freshy ni ngumuu🤦🏽♀️Asee miaka hiyo ilikuwepo ID moja hivi
Nikikomenti jukwaani kuomba ubuyu wa jambo fulani tu, yeye anakuja PM kimya kimya na maelezo + links za uzi zenye details za ubuyu wenyewe 😂
Sijui alipotelea wapi yule reporter wangu
Kama huna kakikundi chochote kama mimi basi usifunge PM just in case kuna msamaria mwema 😂
Mama labla, nikupe dkk ngapi uwe umelala?
Ah ww c nakujua kwa kiasi fulani, huwez kuwa na zile ndeziHaya nimefika, kuna umbea gani mwingine?
Aliyeniletea hakutaka kuona nasemwa kwa mambo ya uongo akanyamaza.
Also niliona Mbaga Jr ananitetea kwenye ule uzi, kwamba huyu chiwawa siyo level zangu, ni mtu wa maana sana mpare wangu!
Tulia nikupakulie minyama mpare 😂 😂Hapo sio kweli, umeweka chumvi nyingi 😂
Mm c ndo kichwa cha familia, ww lala mm namalizia kuweka ulinzi fresh 😎😂😂
Nakusubiri tulale wote baba labla
😁😁 Ila we dada ni mchochezi, hupendi amani kabisa😹😹😹😹
Wewe yule uliyemchamba fake p mpaka akaomba uwanja selfika au mwingine??
Em yaseme hayo unayoyajua ila hutaki kuyasema kwanza ndo tukutoe..!! 😹😹
Weyee bhana mambo unayajua em mwagika hapa utoe dukuduku mtaishi kwa kufumbiana mpaka lini? 😹