Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 4,611
- 10,859
kifua unacho?Mkuu tupe ujanja huo tafadhar
Usiyatafute matatizo kwa lazima!
mleta uzi asingefanya hivyo ndoa yake ingeeebdela kuwa na amani leo kwa upumbavu wake imani imeisha ndoa hakuna tena sababu ya kufatilia mwanamke tena kwenye simu.
Ajiulize huyu mwanamke alimkuta bikra.