Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
baki na huyo huyo, na kamwe usimdukue mkeo, majority wako hivyo, kuoa tena ni kama kubadilisha sura na shape tu, labda ujiunge na chama cha kataa ndoa
 
Zungumzia mazingira utusaidie mkuu
fc5577b3a69c78f1501aae81f7179bd9.jpg
 
Ndoa ni kwaajili ya Watu wenye akili tu na "chanzo cha maarifa ni kumjua Mungu"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Watu wenye akili kama kina Isaac Newton, Nikola Tesla wala hawakuoa na walikaa kando na wanawake.

Watu maarufu na matajiri kama Ronaldo, Elon musk hawana ndoa.

Ninyi mnaojifanya mna akili ndio mnapigwa matukio kila kukicha na hizo ndoa zenu, halafu mnakuja kulia lia hapa JF.
 
Hata umtoe makongoros chunya ndani ndani akifika kinondoni akaanza kukufanyia aliokufanyia, brother ukimwi unakuita brother, mke wa mtu hatombwi kwa condom maana jamaa anatombakumkoleza na kukukomoa wewe sababu mke wa mtu hana sababu ya kutembea nje akarudia mara kwa Mara kama hakukolezwa majamaa huwa wanawapakia Vicks kingo...Kaa kitaalam masta
Ha ha haaa 🤣🤣🤣
We *** unaweza sababisha mtu auwe au ajiuwe kwa hasira.
 
Hafai, mimi ishanikuta hiyoo nikamsamehe nikijua harusi imepita imepita wiki, khe baada ya miez kama sita kaludia tena na mimi sikumkawiza
 
Ha ha haaa 🤣🤣🤣
We *** unaweza sababisha mtu auwe au ajiuwe kwa hasira.
Jamaangu kuna namna ya uwasilishaji wa vitu mtu akiangalia anajua upo serious, vijana ukiwapa ujumbe kilaini laini wanaona kama mambo ni ya kawaida inabid uwasilishaji uwe mgumu ili ujumbe ufike vizuri....
 
Hii point ya msingi sana,unaanzisha mahusiano na dada anavaa suruali,imebana,fully Bimini mapaja wazi,.......siku watu wakija kumpasua marinda,utashangaa kweli?
Yaani mwanamke wako naye ankunywa pombe,kisha unapanick kutombwa na wana?
Maajabu Yako hapo ndugu, kwa Mwanamke, Weka vigezo Kisha Ziba Mianya, kama ni wako atatulia kama amekuja kutega mapema ataondoka, na hiyo kher kwako, mnataka kusaidiwa maisha lkn mkisaidiwa vingine hamtaki, maadam umemtoa Binti Yako, mke wako, Itapigwa tu. Sahihi.
 
Hao wenye bikra utawakuta wapi ndugu? Sie wengine mitungi ndio inatuokoa tunapunguza muda wa kuwa jirani nao na kuweza kuwapekua.... Ila kiuhalisia wanawake wengi walio kwenye ndoa wanaliwa sana. Wengine wanajifanya wanasali sana kumbe ni hadaa tuu... Hao ndio wanaliwa kichizi... Hapo ni kuomba Mungu usijue tu....
Sawa ila tambua mwanamke ambaye hujamtoa bikra huyo sio mke wako
 
Mwaka 2000 kuna brother wa makamo yalimkuta kama haya akabeba watoto wake wawili akasepa..akatafuta mke mwingine mpaka leo wanaishi fresh tu.
 
Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
We usimuache hapo ..... ndo dunia ilivyo mrudishe kwao kwanza kama adhabu miezi mitatu ....bila kumwambia umemwacha kisha mrudishe ....formula ni hakuna mwanaume atakufa anafanya uke mmoja hadi anakufa hakuna mwanamke atakufa eti yuko anatiwa na uume mmoja lazima atachepuka .... ila kwa heshima mumewe asijue..... pia mwanaume hivyo hivyo ....

Sasa usijefikiri ukioa mke mwingine hapo chepuka ....atachepuka kwa siri tu na lazima kikubwa usijue tu

Ushauri mpeleke kwao yeye na mtoto akae hata mwezi au miezi mitatu aone maisha bila wewe yakoje ukiona hajakupigia sana kuomba msamaha achana nae jua imeisha hiyo..... pia hiyo kazi ya bandari aaache maana watafumuana tena
 
Watu wenye akili kama kina Isaac Newton, Nikola Tesla wala hawakuoa na walikaa kando na wanawake.

Watu maarufu na matajiri kama Ronaldo, Elon musk hawana ndoa.

Ninyi mnaojifanya mna akili ndio mnapigwa matukio kila kukicha na hizo ndoa zenu, halafu mnakuja kulia lia hapa JF.
Matukio ni sehemu ya maisha hata kama hujapigwa matukio na Ke utapigwa kwingine usipopatarajia, ni ishu ya muda tu. Acha uwoga wa maisha.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work
 
mkuu pole....
pili swala la kumrejea huyo mwanamke kama hamtopeana nafasi itakuwa changamoto sana..
jipe mda..
wanaume tuna moyo mzito wa kusahau /kusamehe...kuepusha kumfanyia vioja wewe tafuta chaka lako kuondoa mawazo pia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom