Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Kwa sababu Binadamu hatupangiani maisha na hatuwezi kuwa sawa ki-life styles, kimipango, kimawazo, kiakili, kiupeo, kiutendaji, kiuwezo, kitabia, kimitizamo, kimaamuzi, kihekima na busara.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Soma tena post yako halafu ndio jibu swali ....

""Bila hekima ya Mungu kuishi na Ke ni kujichimbia kaburi ungali huelewi chochote.""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Yani hapo ndo utakuwa mchezo wao mwanamke ukimfuma tu ndo anakuwa malaya hujawahi ona

Alafu kunaile tabia ya wanaume unamfuma unapiga mikelele watu wote wanajua hapo unautangazia uma mwanaume huwa tunaitana kama ameenda na huyu mi nitamshindwa.

Yaongeen ndan kama unazika au unasafrisha ..
monitor aje anikusanyie
Naomba huyu tusafirishe mkuu, wenyewe hatuwezi kuyamaliza lazima wazazi wake na wangu washirikishwe kumbuka huyu hakuwa demu ni Mke na nimezaa nae .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom