Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Msamehe tu,wote wako hivyo
 
Pole sana kiongozi, I can feel your pain
Naona unapitia changamoto kubwa inayohitaji solution kutoka kwa wakubwa...
Binafsi nakushauri yafuatayo;
1. Kabla ya hii changamoto ulikuwa unampenda mke wako kwa dhati?
2. Je mke wako alikuwa anakupenda kwa dhati na mnashirikina kwenye mipango ya familia?
3. Kama majibu ya hapo juu ni NDIO; nafikiri usimuache kwanza ILA jitenge naye kitandani kwa muda, Ila aendelee kukaa hapo kwako (nakushauri pia usipanic kwani unayopitia wanapitia wengi kila siku).
4. Jipe muda wa kutafakari vizuri na pata ushauri kwa watu sahihi. Kumbuka wote tunakosea japo wanapokosea wapendwa wetu (wake zetu) tunapanic sana....na kuishia kutoa maamuzi yasiyo sahihi
5. Wanawake wengi WENYE AKILI akikukosea mara moja, ukamsamehe anakuheshim hadi unamuonea huruma; huwezi jua...unaweza kupoteza dhahabu kwa sababu tu imeangukia kwenye kinyesi cha mtoto Kumbe ungeweza ukaiosha na maisha yakaendelea.
6. Mwisho japo sio kwa umuhimu;
Walio wengi hapa jukwaani ni Serengeti boys (hawajaoa hivyo hawana uzoefu wa masuala ya ndoa); hivyo kuwa mwangalifu kuutumia ushauri wao...
 
Zungumzia mazingira utusaidie mkuu
Setting > notifications><advanced > notification history
Mkuuu tuwekeee hiyo mbinu uliyotumia kujua sms zilizofutwa ndani ya saa 48.
Kama umeamua kusema kuhusu mke wako kuchepuka usisite kuweka na Hilo ili umalize yote yaliyomo moyoni mwako.
Tafadhari weka
 
Pole sana kiongozi, naona ni tatizo kubwa na linahitaji solution kutoka kwa wakubwa...
Binafsi nakushauri yafuatayo
1. Kambla ya hii changamoto ulikuwa unampenda mke wako kwa dhati
2. Je yeye anakupenda kwa dhati na mnashirikina kwenye mipango ya familia?
3. Kama majibu ya hapo juu ni NDIO; nafikiri ujitenge naye kitandani, Ila muache tu akae hapo hata mwezi mmoja
Majibu ni Ndio mkuu.
 
Ndiyo maana Chriss Excell anakwambia cheat on her first before she cheats on you😊,zaa njee hata katoto kamoja. Siku ukigundua upuuzi wake haitauma sana.
Nitaifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom