Ni hivi simply kabsa kuchit hakuwezi kuisha kamwe, kwanini? Kwasabab mwanaume asilimia kubwa anaoa mwanamke anayemtaka/kumpenda, hiyo ni tofauti kwa mwanamke.
Mwanamke mara nyingi anaolewa na mwanaume ambae hata kama hampendi, lakini awe tu na feelings of being secure!
Mwanamke ni rahisi sana kukubali kuolewa kwa ajili ya kuboresha status yake tu ktk jamii, isomeke nae kaolewa!
Mwanamke yupo tayari kuolewa na mwanaume ambae hampendi ambaye atampa uhakika wa kulala pazuri, kula na kuvaa vizuri!
Kinachotokea ni kwamba anaingia kwenye ndoa for benefits, ukija behind bars ana mwanaume wake anayempenda sana na kumkubali kupitiliza!! Hapo mjomba hata ikipigwa simu saa 8 usk mzigo unatolewa, mbupu zinachapika alafu fureshi tu!
Anamiminiwa za kutosha anakuja kulala nazo kwenye kitanda ulichonunua kwa pesa zako za mkopo wa kausha damu alafu bado poa tu yan!
Kuoa mwanamke bikira, Haimalizi lakini kidog inasaidia inapunguza Tatz la usaliti kwa kiasi kikubwa.
Me mwenyewe shahidi mzee wangu, kuna manzi nilikuw nayo enzi hizo ikatokea hapa kati kila mtu akachukua miatano zake!
Yule mwali alikuw bikira back then ktk mahusiano yetu!
Sasa ona yule manzi kaolewa lakini hachoki kunitafuta mzee! Tena anasema kabisa hawezi kunisahau amejaribu sana lakini anashindwa!
Mm sina time nae coz tayari nina mahusiano yangu, pisi ni kali sana lkn siwez kutoka na mke wa mtu kamwe! Mapenzi yanauma sana wazee sana yani
Pole mkuu