Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Dogo aisee, una mtoto mmoja, shukuru sana na uondoke, wala usijiulize mara mbili, mwaka 2010 wakati Nina miaka 40 wife alitoka kwenye ndoa, nikasamehe, miaka 7 baadae anatoka Tena na mtu yule yule na wengine wa 4 Tena, nikajuta sana kwa Nini sikumuacha, ondoka!
Duh pole sana mkuu
 
Mkuu b4 making hard decision.

Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.

Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.

2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.

3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.

4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.

Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
unatoaje ushauri wa kijinga?
 
Pole sana mkuu kwa kupigwa tukio... Kama hujawahi kumpiga tukio huyo mkeo na ulikua mtiifu kwake basi unaweza kumuacha ila usioe ex wa mtu maana nae atachepuka tu. Ila na wewe kama ulishawahi kuchepuka basi chukulia ngoma droo ,piga mkwara mzito na msamehe mlee mtoto...
 
Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.

Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Pamoja na kumtimua, mlaji ni kama unampa ushindi wa mezani. Mlaji aundiwe kikosi kazi kwanza, afu baadae mliwa aondoke .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom