Wote mtafikiwa kujua tu ndo bado, kama wife wako ana kazi sijui anaenda kazini Itapigwa sana na inapigwa sana ila kujua ndo mtachelewa, leo imekuwa kataa Ndoa na si kataa wanawake sababu Hilo haliwezekani, unakataa kuchapiwa unajiunga na ununuaji rasmi Leo kwa Zubeda kesho kwa mery kesho kutwa kwa Leah, hiyo umekubali ni maajabu, Oa, weka vigezo na mashart, hudumia mke wako full, kula, mavaz, malazi, upendo, Ibada Hili ni LAZIMA kwa wote, na baada ya hapo chochote chaweza tokea usione maajabu. Ibada wengi hawazitaki Ili Ujue mtu kanyooka na akitaka kupinda utamuona mapema ni Ibada, Shikamana na Ibada Oa Olewa na mwenye kushika Ibada, hayo hatutaki basi tukubaliane na matokeo, Mume, Mke ameshindwa kumtii Muumba wake Atakutii wewe? Kwa kipi? TAFAKARI.Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Nimehaid Nitaweka ila sio Leo mkuu. Na kwasababu za maoni mengi, it seems watu wanawaamini wapenzi wao saa, kiasi cha kutowafuatilia, kitu nafikiria ni kutoiweka Public bali kwa mtu na mtu atakavyotaka PM. Sitaki kuwa chanzo cha ndoa nyingi kuharibika zaidi.Mkuuu tuwekeee hiyo mbinu uliyotumia kujua sms zilizofutwa ndani ya saa 48.
Kama umeamua kusema kuhusu mke wako kuchepuka usisite kuweka na Hilo ili umalize yote yaliyomo moyoni mwako.
Tafadhari weka
Natafakari mkuu na Asante kwa bandiko zuri.Wote mtafikiwa kujua tu ndo bado, kama wife wako ana kazi sijui anaenda kazini Itapigwa sana na inapigwa sana ila kujua ndo mtachelewa, leo imekuwa kataa Ndoa na si kataa wanawake sababu Hilo haliwezekani, unakataa kuchapiwa unajiunga na ununuaji rasmi Leo kwa Zubeda kesho kwa mery kesho kutwa kwa Leah, hiyo umekubali ni maajabu, Oa, weka vigezo na mashart, hudumia mke wako full, kula, mavaz, malazi, upendo, Ibada Hili ni LAZIMA kwa wote, na baada ya hapo chochote chaweza tokea usione maajabu. Ibada wengi hawazitaki Ili Ujue mtu kanyooka na akitaka kupinda utamuona mapema ni Ibada, Shikamana na Ibada Oa Olewa na mwenye kushika Ibada, hayo hatutaki basi tukubaliane na matokeo, Mume, Mke ameshindwa kumtii Muumba wake Atakutii wewe? Kwa kipi? TAFAKARI.
Si apo mambo ya trash mkuu ama kuna pengineNitakuja kuweka wazi kwa watu tunaotumia simu za Android kuna namna ya kuangalia msg za simu zipizofutwa ndani ya 48 hours bila kuinstall application yoyote wala kulipia. Hii ndio njia niliyotumia na ushahidi wa kimazingira mfano dada wa kazi aliemfungulia saa nne usiku, Maana kwakua sikuwepo mimi aliniambia alirudi saa moja nyumbani.
Sawa mkuu kwaiyo tunaruhusiwa kuja PM..mimi nataka nianze kujifatilia mimi mwenyewe kwanza, maana Kuna muda nikiwaga kwenye kinywaji huwa nafuta sms zote kumbe nyingine zinakua jumbe za muhimu naishia kujilaumuNimehaid Nitaweka ila sio Leo mkuu. Na kwasababu za maoni mengi, it seems watu wanawaamini wapenzi wao saa, kiasi cha kutowafuatilia, kitu nafikiria ni kutoiweka Public bali kwa mtu na mtu atakavyotaka PM. Sitaki kuwa chanzo cha ndoa nyingi kuharibika zaidi.
Kama hujawahi kupiga nje kumsamehe ni ngumu lakini kama na wewe huwa unapiga nje msamehe maisha yaendelee😆😆😆Wakuu,
Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.
Nimechapiwa mke wangu.
Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.
Wife katoka job Bandari, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku kinondoni.
Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.
Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.
Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, show za kibabe ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.
Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten. Ila trust me sitaloweka tena kwake aende tu kwa bwana wake wa Impala Terminals.
Mama yetu Mlezi Mh. Dkt. Gwajima D sitakuangusha tumeaswa sana humu ndani sitanyanyua hata mkono wangu aende tu salama kama alivyokuja salama.
Usije kwasasa nikiandika, ntakua na copy na kupaste kwenu. Sijaiandaa bado hiyo process.Sawa mkuu kwaiyo tunaruhusiwa kuja PM..mimi nataka nianze kujifatilia mimi mwenyewe kwanza, maana Kuna muda nikiwaga kwenye kinywaji huwa nafuta sms zote kumbe nyingine zinakua jumbe za muhimu naishia kujilaumu
,Mimi hawa viumbe huwa sitaki kuwafatilia sana akiniambia naenda mbezi beach kwa ma mdogo kumsalimia sawa tuu namwambia nenda hata simu sipigi kama anakazwa huko atajua mwenyewe
Huna akiliMkuu b4 making hard decision.
Ebu jaribu kuangalia mtoto mtamuathiri kiasi gani baada ya kuachana,coz kama yuko chekechea bado sana ana itaji malezi ya wazazi wawili.
Ushauri.
1,Hili tukio kama ni mara ya kwanza toka muwe kwenye ndoa msamehe,then anza kusoma tabia zake na mienedo.
2,Washilikishe wazazi wenu pande zote mbili ili upate mawazo na ushauli,but ni aibu.na fedheha.
3,Endelea kumuonesha ushilikiano kama ni mzazi mwenzio ili kisudi kujenga kisaikolojia asije fanya maamuzi mabaya kama ya kuji ua au kunywa sumu,coz ni tukio la aibu.
4,Kuhusu tendo la ndoa apo sasa ni changamoto,coz lazma huna uaminifu tena.
Hii situations ni painful sana,but pole mkuu kwa majaribu ya ndoa.
Msaliti hasamehewi muwe mnaweka wazi hiyo ni kwa Wanawake na Wanaume hivyoMaumivu yake hayamithiliki ila fanya ufanyavyo, MSALITI HASAMEHEWI. Kila ukitaka kumsamehe, kumbuka pale ndonga la mwana wa Impala lilikuwa likichomoka, my wife wako alikuwa analirudishia ndani mwenyewe.
Wakuu,