Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, haki yake alipata, ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Imagine mpaka walipanga kununua simu mpya ambayo wangetumia wakiwa kazini tu na ibaki hukohuko.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten.

Tanga kunani Lushoto, nakuja mwisho wa mwezi huu, huyu jamaa kumtoa Busha ni muhimu mahari yangu haikwenda bure bure.
Huyo mwanaume unamuonea tu. Kwani mkeo alibakwa au alilazimishwa au alitekwa akawa hana namna ya kukataa? Unaonekana hata bado hujakua upo kwenye 20s
 
Kwenye utamu ndo pana uchungu mzee, by the way this has nothing to do with age niwe na 50's, 20's haijalishi. Hongera wewe uliokua, ukichapiwa unamshukuru mkeo kwa kuchapiwa bila kubakwa.
 
Wakuu,

Hii sio Chit Chat wala Jokes bali ni The Most painful Day of my life.

Nimechapiwa mke wangu.

Hii ni baada ya kusafiri, mshikaji kapita na mke wangu Usiku wa Mei Mosi.

Wife katoka job, kaenda kumegwa kwa mwana akarudishwa saa nne usiku.

Picha la kwanza simu ilizimwa mda wote nikaja kuambiwa battery inasumbua baada ya show kuisha.

Nilitulia nikajiridhisha kwa 100% ni tukio la kweli, leo nimemwagia ushahidi mezani kabaki kumsingizia shetani.

Kichwa kinauma ila hatimaye nimekubali ndoa ni wizi wa mchana kweupe. Maana hela nilimpa, haki yake alipata, ila itoshe kusema huwezi kumridhisha kiumbe aliezaliwa na mwanadamu.

Imagine mpaka walipanga kununua simu mpya ambayo wangetumia wakiwa kazini tu na ibaki hukohuko.

Hapa sijamtimua bado maana nafikiria namna ya ku transition na mtoto huyu wa kindergarten.
Nakukumbusha tu kuna gunia mbili za mkaa zitakuhusu ukiendelea kuchelewesha hiyo nyama pori.
 
Watu wenye akili kama kina Isaac Newton, Nikola Tesla wala hawakuoa na walikaa kando na wanawake.

Watu maarufu na matajiri kama Ronaldo, Elon musk hawana ndoa.

Ninyi mnaojifanya mna akili ndio mnapigwa matukio kila kukicha na hizo ndoa zenu, halafu mnakuja kulia lia hapa JF.
Itakuwa huna mpango wa kuoa aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom