Vijana kataa ndoa wako sahihi kabisa ndoa sio kwa kila mtu. Kuna makundi mengi duniani Hawaoi wala hawaolewe kama mapadri, ma sister, nk
Ila kwangu ndoa ni moja ya maendeleo makubwa ambayo nilitamani kuyapitia. Pia kitu ambacho nilikuwa natamani kupata watoto kwa mwanamke mmoja sikutaka kuwa na watoto kutoka matumbo mbalimbali
Pia nataka niache legacy kubwa kupitia my family line. Hata nikifa leo mawazo yangu, ndoto zangu, matokeo chanya yatabaki kwenye uzao wangu for many years😊 ingawa hii nimesema tu uko nje ya mada
Ndoa sio ya kila mtu. Kataa ndoa ushauri wangu msioe sio lazima kuoa. .